Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Music: Chiba wa ajabu – Zero

Chiba wa ajabu

Wimbo mpya wa msanii Chiba wa ajabu unaitwa “Zero” Producer Christone.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Bongo5

New Music: Papaa Masai Ft. Tunda Man — Sioni Ajabu

Huu ni wimbo Mpya kutoka kwa Papaa Masai akimshirikisha Tunda Man ngoma inaitwa “Sioni Ajabu” Producer Fraga Studio Uprise Music

 

11 years ago

GPL

NDOA YA AJABU

Stori: Dustan Shekidele, MOROGORO
KANISA la Romani Katoliki Tanzania Jimbo Kuu la Morogoro, Jumamosi iliyopita lilifungisha ndoa iliyotafsiriwa na watu kuwa ni ya ajabu kufuatia bi harusi  kuwa na matatizo ya wazi ya akili, Uwazi lilikuwepo. Bibi na bwana harusi wakiwa wenye nyuso za furaha baada ya kufunga ndoa. Bi harusi huyo anaitwa Maria Omar (25) baada ya kubatizwa siku hiyohiyo ya ndoa. Awali aliitwa Jamini. Bwana...

 

11 years ago

Mwananchi

Ustaarabu wa ajabu

Hivi hawa wanaokula laki tatu za kanuni wiki hadi wiki wametambua kweli jinsi watu walivyokasirika?

 

10 years ago

GPL

GONJWA LA AJABU

Na Makongoro Oging’ MAAJABU ya Mungu! Ukisema wewe unaumwa sana, inawezekana hujawaona wagonjwa wengine! Faiza Masaka Paga (23)(pichani), mkazi wa Chanika –Msumbiji, Ilala jijini Dar amekumbwa na gonjwa la ajabu ambalo mpaka sasa madaktari hawajajua ni nini kwani sehemu ya kiuno na kalio upande wa kushoto imevimba na kumfanya aonekane ana kama nundu kubwa ya kutisha! Faiza Masaka mkazi wa Chanika akionyesha jinsi...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Viumbe wa ajabu wa baharini

WATU wengi wanadhani kuwa utafiti kuhusiana na wanyama umekamilika. Lakini ukweli ni kuwa bado kuna maswali mengi sana kuhusiana na maisha ya wanyama mbalimbali ambayo hayajapatiwa majibu. Ndio maana kila...

 

11 years ago

GPL

MTOTO WA AJABU DAR

Na Hamida Hassan na Imelda Mtema
AMA kweli ukistaajabu ya Musa utayaona ya Farao, Andrea Marcus (13), mkazi wa Mbezi-Kibanda cha Mkaa, Dar anadaiwa kuwa wa ajabu kutokana na vitendo vyake.
Mtoto huyu amedaiwa kuwa ni wa kichawi kutokana na maajabu yafuatayo: Mkazi wa Mbezi-Kibanda,  Andrea Marcus. Ana uwezo wa kula ubwabwa sufuria moja la familia, anamudu kunywa maji ndoo moja, ana uwezo wa kuingiza tumboni mikate...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani