Music: Julio Batalia Ft. Kimkadah — Hajui
Wimbo mpya wa msanii Julio Batalia unaitwa “Hajui” amemshirikisha Kimkadah. Studio Chaidaz Records Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi
Julio batalia show 2015 escape 1..Release of Vuvula and Kaunyaka video
11 years ago
Dewji Blog06 Jun
VIDEO ya Haina Noma — Julio Batalia Ft Chege na Madee hii hapa
Hatimaye Video ya Haina Noma Ya – Julio Batalia ambaye alikuwa mshiriki wa shindano la BIGBROTHER AFRICA SEASON 7 (StarGame) mwaka 2012 imeshakwisha na video hiyo imekabidhiwa rasmi na director mkubwa wa kampuni ya NEXTLEVEL -Adam Juma (AJ) Akiwa na camera yenye vigezo vikubwa duniani REDCAMERA.
Video hii ambayo wameshirikishwa wasanii wakubwa wawili CHEGE CHIGUNDA kutoka TMK wanaume family na Madee ali Raisi wa Manzese kutoka TIPTOP Connection imeandaliwa katika location ya CLUB 601,...
10 years ago
BBCSwahili30 Jan
Wenger:Paulista hajui kizungu
11 years ago
Tanzania Daima23 Mar
Rais Kikwete hajui afanyalo?
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kisitafute muda mrefu wa kupoteza kwa kudhani kuwa waasisi wa nchi mbili za Tanganyika na Zanzibar walikurupuka kutafuta muafaka wenye maridhiano ya kihistoria ya kuziunganisha nchi...
11 years ago
Mwananchi29 Jan
Nape hajui anapambana na nani CCM
10 years ago
Tanzania Daima12 Nov
Phiri hajui kesho yake Simba
KOCHA Mkuu wa timu ya Simba, Patrick Phiri amesema tiketi ya kubaki katika kibarua hicho au kuondoka kurejea kwao Zambia, imeshikiliwa na Kamati ya Utendaji chini ya Rais wake Evance...
10 years ago
Mwananchi09 Sep
Mgombea urais anapokiri hajui siasa!
10 years ago
BBCSwahili09 Feb
Wenger hajui Wilshere atarudi lini
10 years ago
BBCSwahili07 Jun
Kocha wa Barcelona hajui hatma yake