Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kocha wa Barcelona hajui hatma yake

Kocha wa Barcelona Luis Enrique amekataa kuzungumzia kuhusu hatma yake ama kuthibitisha iwapo atasalia katika timu hiyo msimu ujao licha ya yeye kushinda mataji matatu na klabu hiyo.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Kocha wa Liverpool ahofia hatma yake

Mkufunzi wa timu ya liverpool Brendan Rodgers amesema kuwa anakabiliwa na tishio la kufutwa kutokana na msururu wa matokeo mabaya.

 

9 years ago

Vijimambo

AUDIO : LEMBELI AELEZA HATMA YAKE BAADA YA KUUKOSA UBUNGE, AJIBU TETESI JUU YAKE IKIWEMO YA KUUZA REDIO YAKE


Aliyekuwa mgombea ubunge wa jimbo la Kahama Mjini, James Lembeli ameelezea kinachoendelea katika maisha yake ya kisiasa hasa baada ya kushindwa katika uchaguzi wa mwaka huu akiwa ndani ya chama chake kipya cha Chadema.
Akiongea katika taarifa rasmi kwa wananchi wa jimbo hilo, Lembeli amesema kuwa hivi sasa atajikita zaidi katika shughuli za chama chake pamoja na shughuli alizokuwa akizifanya kabla ya kuwa mbunge wa jimbo hilo.
Alisema kuwa ataendelea kufanya kazi zake na mashirika ya kimataifa...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Phiri hajui kesho yake Simba

KOCHA Mkuu wa timu ya Simba, Patrick Phiri amesema tiketi ya kubaki katika kibarua hicho au kuondoka kurejea kwao Zambia, imeshikiliwa na Kamati ya Utendaji chini ya Rais wake Evance...

 

9 years ago

Bongo5

Fabregas hajui nini tatizo katika klabu yake Chelsea kuhusu matokeo mabaya

Fabregas

Kiungo Cesc Fabregas wa Chelsea na timu ya taifa ya Hispania ameelezea hasira kutokana na matokeo duni ya klabu ya Chelsea msimu huu kwao umekua mbaya sana na kwamba hajui nini kinaenda vibaya katika kikosi hicho cha kocha Jose Mourinho.

Fabregas

Akiongea kwa uchungu sana na Gazeti la kihispania Marca., Cesc ameonesha kukasirishwa sana na jinsi msimu unavyoenda huku akisema matokeo hayawatendei haki kwani wanacheza vizuri kuliko matokeo wanayopata uwanjani.

”Kwa hakika sifahamu ninikimetusibu msimu...

 

10 years ago

BBCSwahili

Oscar Pistorius kujua hatma yake

Mahakama nchini Afrika Kusini leo itatoa uamuzi katika kesi ya mauaji inayomkabili mwanariadha mlemavu wa Oscar Pistorius

 

10 years ago

GPL

PISTORIUS KUJUA HATMA YAKE LEO

Mwanariadha wa Afrika Kusini Oscar Pistorius yuko mahakamani mjini Pretoria ambako jaji anatoa hukumu dhidi yake leo. Mwanariadha wa Afrika Kusini Oscar Pistorius yuko mahakamani mjini Pretoria ambako jaji anatoa hukumu dhidi yake . Hii ni baada ya mwanariadha huyo mlemavu kupatikana na hatia ya kumuua mpenziwe Reeva Steenkamp mwaka uliopita. Mwanariadha wa Afrika Kusini… ...

 

10 years ago

Habarileo

'Wabunge ifikirieni nchi yenu na hatma yake'

MJADALA wa wazi wa Bunge Maalumu la Katiba kuhusu Rasimu ya Katiba inayopendekezwa, umehitimishwa jana kwa Makamu Mwenyekiti wa Bunge, Samia Suluhu, kuruhusu wajumbe wazee watoe neno la maridhiano.

 

10 years ago

BBCSwahili

EPL:Meneja wa WBA ahofia hatma yake

Kocha wa West Bromwich Albion Alan Irvine anahofia hatma yake katika kilabu hiyo baada ya kichapo cha mabao 3-1

 

11 years ago

BBCSwahili

Scolari kuamua hatma yake baada ya kombe

Mkufunzi wa Brazil Luiz Felipe Scolari amesema ataamua mustakabali wake baada ya fainali ya kombe

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani