Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mutabingwa wa Escrow apata dhamana

Meneja Misamaha ya Kodi TRA, Kyabukoba Leonard Mutabingwa anayekabiliwa na kesi ya kuomba na kupokea rushwa ya zaidi ya Sh 1.6 bilioni kutoka akaunti ya Tegeta Escrow amekamilisha masharti ya dhamana leo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Mtuhumiwa wa Escrow apata dhamana

Kyabukoba MutabingwaMENEJA Misahama ya Kodi TRA, Kyabukoba Mutabingwa anayekabiliwa na kesi ya kupokea rushwa ya Sh bilioni 2 ikiwa ni sehemu ya fedha zilizokuwa kwenye akaunti ya Tegeta Escrow amepata dhamana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.

 

9 years ago

Mwananchi

Masha apata dhamana

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuachia huru aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani nchini, Lawrence Masha (45) baada ya kukamilisha masharti ya dhaman

 

10 years ago

GPL

CHID BENZ APATA DHAMANA

Chid Benz akiwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar. HATIMAYE  msanii wa muziki wa kizazi kipya, Rashid Makwiro 'Chid Benz' leo asubuhi amepata dhamana baada ya kutimiza masharti ya kesi yake ya kukamatwa na dawa za kulevya. Msanii huyo, jana alipandishwa kizimbani kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam na kusomewa mashitaka matatu ya kukutwa na madawa ya kulevya ambapo alishindwa kutimiza...

 

10 years ago

CloudsFM

HATIMAYE CHID BENZ APATA DHAMANA

Hatimaye msanii wa Bongo Fleva,Rashid Makwiro 'Chid Benz' leo asubuhi amepata dhamana baada ya kutimiza masharti ya kesi yake ya kukamatwa na dawa za kulevya.
Msanii huyo, jana alipandishwa kizimbani kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam na kusomewa mashitaka matatu ya kukutwa na madawa ya kulevya ambapo alishindwa kutimiza masharti ya dhamana ya shilingi milioni 1 pamoja na wadhamini wawili wasiokuwana hatia.

Kesi yake itasikilizwa tena Novemba 11 mwaka huu.

 

9 years ago

Mwananchi

Masha apanda kizimbani, apata dhamana

Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Lawrance Masha jana alipandikishwa kizimbani pamoja na viongozi  sita wa Chadema mkoani Katavi, wakishtakiwa kwa tuhuma za kufanya mkutano wa hadhara na kuingia bila kibali kwenye kambi ya wakimbizi ya  Katumba wilayani Mlele.

 

10 years ago

GPL

GWAJIMA APATA DHAMANA MAHAKAMA YA KISUTU, DAR

Kiongozi wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima leo amepata dhamana Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar atarudi mahakamani hapo Mei 4, 2015. Josephat Gwajima ameshitakiwa kwa makosa mawili kutoa lugha ya matusi na kushindwa kutunza slaha. (Habari: Deogratius Mongela/GPL)

 

9 years ago

Mwananchi

Mgombea ubunge wa Chadema Dodoma mjini apata dhamana

Ulinzi mkali leo umewekwa katika mahakama ya hakimu mkazi mkoa wa Dodoma ili kuzuia wafuasi wa Chadema waliokwenda kusikiliza kesi inayomkabili mgombea ubunge wa jimbo la Dodoma mjini Benson Kigaila na kusababisha lango la kuingilia lifungwe.

 

10 years ago

Bongo5

Chidi Benz apata dhamana baada ya kutimiza masharti

Rapper Rashid Makwiro aka Chidi Benz amepata dhamana baada ya kutimiza masharti ya kesi yake ya kukamatwa na dawa za kulevya. Jana Chidi alipandishwa kizimbani kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam na kusomewa mashtaka matatu ya kukutwa na madawa ya kulevya ambapo alishindwa kutimiza masharti ya dhamana ya shilingi milioni 1 […]

 

10 years ago

GPL

HATIMAYE CHID BENZ APATA DHAMANA KATIKA KESI YA MADAWA YA KULEVYA

Chid Benzi akitoka lango la mahakama ya Kisutu. ...Akifungua mlango wa gari lililokuwa likimsubiri. MSANII wa muziki wa kizazi kipya Rashid Makwiro ’Chid Benz’amepata dhamana mapema hii leo katika  Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu baada ya kukamilisha taratibu zote za wadhamini wawili baada ya hapo jana kurudishwa rumande alipokuwa… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani