Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MUUNGANO WA SERIKALI 2: Miaka 50 ya dhoruba

MCHAKATO wa kuandika Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania umeleta mjadala mpana na wenye utata juu ya mfumo na muundo wa serikali. Serikali mbili, kwa mujibu wa asili ya...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MIAKA 50 YA MUUNGANO YAFANA

Doria ya farasi wa polisi wakikatisha katika Uwanja wa Uhuru  leo  kuhakikisha usalama. Magari  mbalimbali kutoka  idara  tofauti  serikalini yakiwa  yamepaki  katika  Uwanja wa  Uhuru. Hao ni askari wa paredi …

 

11 years ago

BBCSwahili

Miaka 50 ya Muungano wa Tanzania

Wiki hii Aprili 26 ,Tanzania inaadhimisha miaka 50 ya Muungano tangu Tanganyika na Zanzibar zilipoungana na kuunda nchi ya Tanzania. Kuna nini cha kusherehekewa?

 

11 years ago

BBCSwahili

Tanzania yatimiza miaka 50 ya Muungano

Sherehe za kuhadhimisha miaka 50 ya Muungano wa Tanzania zimefanyika leo mjini Dar es Salaam.

 

11 years ago

Mwananchi

Miaka 50 ya Muungano tuachiwe tupumue

Jumamosi, Muungano wa Tanganyika na Zanzibar utatimiza miaka 50 na katika miaka hii kuna mengi ya kujiuliza, hususan sasa wakati wa mchakato wa kuandika Katiba mpya ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

 

11 years ago

Mwananchi

Miaka 50 ya Muungano ilivyonufaika Watanzania

Ukuaji wa uchumi katika Serikali ya Mapinduzi Zanzibar umeimarika kwa asilimia 7.0 katika kipindi cha mwaka 2012 huku Pato la Taifa kwa bei za miaka husika limefikia jumla ya Sh1,354 bilioni mwaka 2012 ikilinganishwa na Sh1,198 bilioni kwa mwaka 2011, kwa mujibu wa taarifa ya Serikali inayozungumzia hali ya fedha mwaka uliopita.

 

11 years ago

Tanzania Daima

BoT na mafanikio ya miaka 50 ya Muungano

“BENKI Kuu ya Tanzania (BoT) ilianzishwa mwaka 1966 kwa sheria iliyopitishwa na Bunge la Tanzania mwaka 1965 na kupewa uwezo wa kutekeleza majukumu yake ya msingi.” Hivyo ndivyo anavyoanza kuzungumza...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Miaka 50 ya Muungano iliyozaa mauzauza

JANA Watanzania wote walijumuika kusherehekea Jubilei ya miaka 50 ya Muungano wa nchi mbili za Tanganyika na Zanzibar, uliofanyika Aprili 26, 1964 ulioasisiwa na Mwalimu Julius Kambarage Nyerere na Sheikh...

 

11 years ago

Mwananchi

‘Miaka 50 ya Muungano inatosha kufanya mabadiliko’

Arusha. Wakati Muungano unatimiza miaka 50 mwaka huu, licha ya kuwa na mafanikio kadhaa una changamoto nyingi ambazo zimeufanya uonekane kuwa unapitia katika kipindi kigumu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani