Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Muwakilishi wa Watanzania waishio Marekani wafanya ziara ya gereza la isanga Dodoma

 Alhaj Issihaka Kibodya  muwakilishi wa Watanzania waishio marekani na ustadh Sefu Jongo toka Masjid Noor barabara ya 9 hapa Dodoma walifanya juhudi ya kuwasiliana na gereza la Isanga hapa Dodoma na kupata mahitaji ya wafungwa wa kiislaam na taratibu ya kupeleka dawa, vifaa tiba, sabuni na dawa za mswaki.Pichani ustadh Sefu Jongo kushoto, Alhaj Issihaka Kibodya katikati wakimkabidhi mkuu wa Gereza la Isanga afande SSP Fredrick Wambura na pembeni yake ni Dr. Pantaleo mganga Mkuu wa Gereza la...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

WAZIRI MAVUNDE AMWAGA MISAADA YA VIFAA VYA KUJIKINGA NA CORANA GEREZA KUU ISANGA, LEO JIJINI DODOMA






Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulia Kazi, Vijana na Ajira Mhe. Anthony Mavunde akizungumza nje ya Gereza akikabidhi vifaa vya kujikinga na janga la corona katika Gereza Kuu Isanga, jijini Dodoma. Mhe. Mavunde amekabidhi msaada uliojumuisha vifaa mbalimbali ikiwemo sabuni, ndoo za maji pamoja na vitakasa mikono(Sanitizer).
Baadhi ya vifaa hivyo vilivyokabidhiwa katika Gereza Kuu Isanga na Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulia Kazi, Vijana na Ajira Mhe. Anthony...

 

5 years ago

Michuzi

MTANDAO WA VIONGOZI WANAWAKE WAKABIDHI VIFAA VYA CORONA VYA SH MILIONI TANO GEREZA LA ISANGA DODOMA

Na Mwandishi Wetu, DodomaMTANDAO wa Viongozi Wanawake Wanaochipukia katika Utumishi wa Umma Tanzania ujulikanao kama Emerging Women Leaders in Tanzania (EWLT) umetoa vifaa vya usafi kwa ajili ya kujikinga na ugonjwa wa Corona kwa gereza la Isanga.
Akizungumza wakati wa kukabidhi msaada huo,  mmoja wa Waanzilishi wa mtandao huo, Beatrice Kimoleta amesema hatua hiyo wameifanya ikiwa ni kuunga mkono kwa vitendo juhudi kubwa zinazofanywa na Serikali katika kupambana na ugonjwa wa Corona.
“  Mhe....

 

10 years ago

Vijimambo

MHE. BALOZI WA TANZANIA NCHINI MAREKANI ANAWAKARIBISHA WATANZANIA WOTE WAISHIO MAREKANI KATIKA HAFLA YA KUWAAGA ITAKAYOFANYIKA JUMAMOSI TAREHE 25 JULAI 2015.





 The Ambassador of the United Republic of Tanzania


                                                      to the United States of America
 H.E. Ambassador Liberata Mulamula

 


has the pleasure to cordially invite you
 to a Barbeque Farewell


 Saturday, July 25th 2015
from Three - Seven in the evening (3:00 – 7:00pm)

at 


 Ambassador’s Residence


1 Highboro Court
Bethesda, MD...

 

10 years ago

Vijimambo

TASWIRA MBALIMBALI MKUTANO WA JIONI WA WASABATO WATANZANIA WAISHIO NCHINI MAREKANI


Mchungaji Geoffrey Mbwana ambaye pia ni makamu wa Rais wa Wasabato Duniani akielezea hali ya kanisa lilivyo leo huku pia akiongoza kuimbisha nyimbo mbalimbali kwenye mkutano mkubwa wa neno la Mungu wa Wasabato Watanzania waishio nchini Marekani uliofanyika mida ya jioni siku ya Jumamosi April 18, 2015 Silver Spring, Maryland.
Mchungaji Celeb Migomvbo akielezea somo la wanandoa na vitu gani vya kuepeka vinavyosababisha kuvunja mahusiano ya wapendanao.
Maliyatabu mmoja ya waratibu wa mkutano...

 

11 years ago

CloudsFM

OMMY DIMPOZ AKWEA PIPA KWENDA MAREKANI KUWABURUDISHA WATANZANIA WAISHIO HUKO

STAA wa ngoma ya Ndagushima,Omar Nyembo, Mr. Poz Kwa Poz,leo anaelekea nchini Marekani kwa ajili ya Ndagushima Night, shoo ambayo imeandaliwa maalum kwa ajili ya watanzania watakaokuwa wamemaliza mkutano na rais Jakaya Kikwete jijini Houston Marekani.

 

10 years ago

Vijimambo

MKUTANO MKUBWA WA NENO LA MUNGU WA WASABATO WATANZANIA WAISHIO NCHINI MAREKANI WATOTO WATENGEWA SEHEMU YAO.

 Watoto wakiwa sehemu yao chini ya uangalizi maalumu huku wazazi wao wakihudhuria mkutano mkubwa wa neno la Mungu unaondelea DMV kwa siku nne ikiwa leo Jumampili April 19, 2015 ndio hitimisho la mkutano huo. Watoto wakiangalia vipindi vya watoto kwenye luninga. Msimamizi wa watoto Tanya Muganda akielekeza jambo. Tanya Muganda akiwapatia zawadi watoto

 

10 years ago

GPL

WATANZANIA WAISHIO BOTSWANA WAVUTIWA NA KUJIUNGA KWA WINGI KATIKA GEPF DIASPORA SCHEME (GDS) ULIOANZISHWA MAALUM KWA WATANZANIA WAISHIO NJE NA MFUKO WA GEPF.

Bw Kisasi mwenyekiti wa jumuiya ya Watanzania waishio Botswana akitoa hotuba ya kumkaribisha mgeni rasmi. Bi Rosemary Chambe Jairo Mkurugenzi kutoka wizara ya mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa anaeshughulikia dawati la diaspora akifungua rasmi mkutano huo.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani