Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MV KIGAMBONI YAPOTEZA MWELEKEO NI BAADA YA KUPIGWA NA UPEPO

Wananchi wakiangalia kivuko cha Mv. Kigamboni baada ya kupoteza mwelekeo kufuatia kupigwa na upeopo hivyo abiria waliokuwemo kwenye gati la upande wa Kigamboni mapema leo Jumapili Julai 19, 2015.Baada ya kupakia Abiria na magari upande wa kigamboni likiwemo gari maalumu la kubebea wagonjwa lilifanikiwa kutoka upande wa kigamboni na lilipofika jirani na gati upande wa Magogoni lilipoteza mwelekeo kwa dakika kadhaa hatimaye kushusha upande wa magogoni. (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MV KIGAMBONI LAPOTEZA MWELEKEO UPANDE WA KIGAMBONI‏

Wananchi wakitazama kivuko cha Mv. Kigamboni baada ya kupoteza mwelekeo na kushindwa kushusha abiria na magari.  Kivuko cha MV Magogoni baada ya kupakia abiria na magari upande wa Kigamboni kilifanikiwa kutoka na kilipofika jirani na gati upande wa Magogoni kilipoteza mwelekeo kwa dakika kadhaa ila baadaye kilifanikiwa kushusha. (PICHA ZOTE NA KHAMIS MUSSA)… ...

 

10 years ago

Michuzi

TAIFA STARS BADO NGOMA NGUMU COSAFA, YAPOTEZA MCHEZO WA PILI KWA KUPIGWA 2-0 NA MADAGASCER

Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) jana imepoteza mchezo wa pili mfululizo katika michuano ya kombe la Cosafa, baada ya kufungwa mabao 2 - 0 na Madagascar, mchezo uliofanyika katika uwanja wa Royal Bafokeng jijini Rustenburg.
Kwa Taifa Stars kupoteza mchezo huo, moja kwa moja inakua imeaga michuano katika hatua ya makundi, kutokana na kubakisha mchezo mmoja tu wa kukamilisha ratiba dhidi ya Lesotho utakaochezwa kesho ijumaa katika uwanja wa Moruleng.Katika mchezo huo wa jana, Taifa Stars...

 

9 years ago

Mwananchi

Wanafunzi 70 wapoteza mwelekeo wa shule baada ya bomoabomoa Dar

 Zaidi ya wanafunzi 70 wa shule za msingi na sekondari huenda wakashindwa kuendelea na masomo, baada ya familia zao kukumbwa na bomoabomoa kwenye Bonde la Mto Msimbazi, na kukosa mahali pa kushi.

 

10 years ago

Vijimambo

STARS YAPOTEZA MCHEZO WA PILI BAADA YA KUPATA KICHAPO CHA BAO 2-0 KUTOKA KWA MADAGASCAR

Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) jana imepoteza mchezo wa pili mfululizo katika michuano ya kombe la Cosafa, baada ya kufungwa mabao 2 - 0 na Madagascar, mchezo uliofanyika katika uwanja wa Royal Bafokeng jijini Rustenburg.  Kwa Taifa Stars kupoteza mchezo huo, moja kwa moja inakua imeaga michuano katika hatua ya makundi, kutokana na kubakisha mchezo mmoja tu wa kukamilisha ratiba dhidi ya Lesotho utakaochezwa kesho ijumaa katika uwanja wa Moruleng.
Katika mchezo huo wa jana, Taifa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mchezaji afariki baada ya kupigwa

Mchezaji wa soka raia wa Cameroon amefariki baada ya kupigwa katika kichwa nchini Algeria.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mchezaji afariki baada ya kupigwa kichwa

Mchezaji wa Argentina Franco Nieto ,amefariki baada ya kupigwa kwenye kichwa wakati wa mechi siku ya jumamosi.

 

11 years ago

Michuzi

Familia yaishi chooni ni baada ya nyumba yao kuezuliwa na upepo wilayani Hai, Kilimanjaro

 Aziza Mohamed(55)akiwa na mjukuu wake katika choo ambacho hivi sasa wamekigeuza kuwa makazi baada ya mvua iliyoambatana na upepo mkali kuezua nyumba yake wilayani Hai.  Aziza Mohamed(55)akiwa na mjukuu wake katika choo ambacho hivi sasa wamekigeuza kuwa makazi baada ya mvua iliyoambatana na upepo mkali kuezua nyumba yake wilayani Hai.
 Nyumba ambayo familia ya Aziza Maohamed ilikuwa ikiishi awali kabla ya kuezuliwa na upepo mkali ulioambatana na mvua katika kitongoji cha Kijweni...

 

10 years ago

Bongo Movies

Kajala Anaendelea Vizuri Baada ya Kupigwa Chupa Usoni

Staa wa Bongo Movies, Kajala Masanja anaendelea vizuri baada yakupigwa chupa na kijana mmoja usiku ya kuamkia jana wakiwa kwenye show ya mwanamziki Mabeste aliyoiandaa ili kuchangisha pesa kwa ajili ajili ya matibabu ya Mkeo.

Leo kupitia ukurasa wake mtandaoni, kajala ameweka picha hiyo hapo juu  na kuandika  “Maisha yanaendelea au sio......” kuonyesha kuwa yupo poa na anaendelea na masiha yake yakawida.

Akilezea tukio hilo la kupigwa na chupa hapo jana alipofanya mahojiano na mtangazaji...

 

10 years ago

Bongo5

Ex wa Nicki Minaj afikiria kujiua baada ya kupigwa kibuti!

Aliyekuwa boyfriend wa Nicki Minaj ameumizwa na kitendo cha kupigwa kibuti kiasi kwamba anafikiria kujiua. Kwa mujibu wa mtandao wa TMZ, Safaree Samuels amewaambia washkaji zake kuwa ameumizwa na kuvunjika kwa uhusiano wake wa miaka 12 na Nicki. Kutokana na hali hiyo amekuwa akijifungia ndani usiku na mchana akivuta bangi na amezungumza wazi kuhusu kutaka […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani