Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MV Serengeti yapata hitilafu, yashindwa kufika Bukoba

MV SERENGETI

Meli ya MV. Serengeti imekwama kufika Bukoba kutokana na kupata hitilafu katika propera zake, na inadaiwa kuwa ilipita eneo zilipotegwa nyavu za wavuvi na kusababisha taabu.

Meli hiyo ilianza safari ya Mwanza – Bukoba jana jioni na kwa kawaida ilitakiwa kuwasili Bukoba saa 12 leo asubuhi.

Tayari Kampuni ya MCS imetuma wazamiaji eneo la tukio kuangalia namna ya kunusuru abiria waliokuwa katika meli hiyo.

Chanzo: Star TV

Global Publishers

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Ndege ya Clinton yapata hitilafu angani

Dar/Dom. Ndege iliyokuwa imembeba rais mstaafu wa Marekani, Bill Clinton na mwanaye Chelsea, juzi ilipata hitilafu katika moja ya injini zake na kulazimika kutua Dodoma kwa ajili ya matengenezo kabla ya kuendelea na safari.

 

9 years ago

Dewji Blog

News Alert : MV.Magogoni yapata hitilafu ya kiufundi

Wananchi wakipigana vikumbo wakati walipokuwa wakishuka katika MV. Kigamboni na huku wengine wakiingia kwa kuhofia kubaki baada kwa wingi wa watu.  Wakishuka wananchi.

Wananchi waliokuwa wakisubiri kuingia katika MV. Kigamboni huku wakiwa na Baiskeli zao ambapo kwa wenye Magari wameambiwa wapite Darajani au mwenyekuweza apaki avuke.

  Wananchi wakiwa katika mshangao.

2 (3)

Kigamboni ikiwa inashusha upande wa Kigamboni.

Kigamboni ikiwa inashusha upande wa Kigamboni.

  MV. Kigamboni...

 

9 years ago

Mwananchi

Chopa ya Lusinde yapata hitilafu, aapa kutoipanda

Mgombea ubunge wa Jimbo la Mtera (CCM), Livingstone Lusinde ameapa kutotumia tena usafiri wa anga katika kampeni, baada ya helikopta aliyokuwa anatumia kupata hitilafu na kushindwa kuruka katika Kijiji cha Idifu wilayani hapa, juzi.

 

10 years ago

GPL

SHANGWE ZA SERENGETI FIESTA BUKOBA‏

MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Winfrida Josephat 'Rachel' akitoa burudani katika Tamasha la Serengeti Fiesta usiku wa kuamkia leo, Bukoba.
Rachel akiendelea kutoa burudani.…

 

10 years ago

Tanzania Daima

Serengeti Fiesta yagawa dozi ya burudani Bukoba

BAADA ya tamasha la Serengeti Fiesta linalodhaminiwa na kinywaji mashuhuri cha Premium Serengeti kutoa burudani murua jijini Mwanza wiki iliyopita, juzi burudani ilipiga kambi katika uwanja wa Kaitaba, mjini Bukoba....

 

10 years ago

Michuzi

TAMASHA LA TIGO LAFANA BUKOBA LEO! WASANII WA ORIGINAL COMEDY WAFUNIKA MJINI BUKOBA!

Mpoki(kulia) akitamba!!Wasanii wa Original Comedy wakiwapa buradani wananchi waliohudhuria Tamasha hilo katika uwanja wa Kaitaba Bukoba Mjini leo Jumapili Novemba 9, 2014. Nani zaidi??Mwana-FA akiimba mbele ya umati wa wakazi wa Bukoba leo kwenye Tamasha la Tigo lililofanyika leo Jumapili jioni kwenye Uwanja wa Kaitaba.Kiingilio ilikuwa ni wewe kuvaa uhusika wa Tigo!!Mwana-FAKwa picha zaidi BOFYA HAPA

 

10 years ago

Daily News

Bukoba residents demand rest of compensation over Bukoba airport


Bukoba residents demand rest of compensation over Bukoba airport
Daily News
ABOUT 18 people are demanding to be paid over 400m/- compensation as a result of the rehabilitation and upgrading of the Bukoba Airport. Bukoba Airport Manager, Mr Julius Mlungwana told the 'Daily News on Saturday' in an interview that government ...

 

11 years ago

Michuzi

KAMPUNI YA BIA YA SERENGETI YAENDESHA DROO YA KWANZA YA WINDA SAFARI YA BRAZILI NA SERENGETI.

   Meneja Masoko wa Kampuni ya Bia ya Serengeti Allan Chonjo akitangaza washindi wa droo ya kwanza ya Winda Safari ya Brazili na Serengeti inayoendeshwa na kampuni hiyo nchini kote, kushoto kwake ni Meneja wa bia ya Serengeti Rodney Rugambo, na kulia kwake ni Afisa Mwandamizi kutoka PWC Bwana Tumain iliyofanyika mapema leo jijini Dar es Salaaam.  Meneja Masoko wa Kampuni ya Bia  Serengeti Allan Chonjo akiongea kwa njia ya sinu na moja wa washindi wa droo ya kwanza ya Winda Safari ya...

 

10 years ago

Dewji Blog

Serengeti yatoa zawadi ya Limo Bajaj kwa mshindi wa kwanza wa promosheni ya “Tutoke na Serengeti”

4

Meneja wa Bia ya Serengeti, Rugambo Rodney (kulia) akiongea na waandishi wa habari hawapo Pichani, wakati wa kuchezesha droo ya kwanza ya Tutoke na Serengeti, ambapo Bi.Rukia Athuman Almas toka Kihonda-Morogoro ameibuka mshindi wa kwanza na kujinyakulia Limo Bajaji mpya yenye thamani ya tsh milioni tisa, kushoto ni mkaguzi toka bodi ya Michezo ya bahati nasibu.

2

Meneja wa Bia ya Serengeti, Rugambo Rodney (kulia) akiongea kwa njia ya simu ya mkononi na   Rukia Athuman Almas ambaye ni mshindi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani