Chopa ya Lusinde yapata hitilafu, aapa kutoipanda
Mgombea ubunge wa Jimbo la Mtera (CCM), Livingstone Lusinde ameapa kutotumia tena usafiri wa anga katika kampeni, baada ya helikopta aliyokuwa anatumia kupata hitilafu na kushindwa kuruka katika Kijiji cha Idifu wilayani hapa, juzi.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi01 May
Ndege ya Clinton yapata hitilafu angani
9 years ago
Dewji Blog04 Nov
News Alert : MV.Magogoni yapata hitilafu ya kiufundi
Wananchi waliokuwa wakisubiri kuingia katika MV. Kigamboni huku wakiwa na Baiskeli zao ambapo kwa wenye Magari wameambiwa wapite Darajani au mwenyekuweza apaki avuke.
Wananchi wakiwa katika mshangao.
Kigamboni ikiwa inashusha upande wa Kigamboni.
Kigamboni ikiwa inashusha upande wa Kigamboni.
9 years ago
Global Publishers06 Jan
MV Serengeti yapata hitilafu, yashindwa kufika Bukoba
Meli ya MV. Serengeti imekwama kufika Bukoba kutokana na kupata hitilafu katika propera zake, na inadaiwa kuwa ilipita eneo zilipotegwa nyavu za wavuvi na kusababisha taabu.
Meli hiyo ilianza safari ya Mwanza – Bukoba jana jioni na kwa kawaida ilitakiwa kuwasili Bukoba saa 12 leo asubuhi.
Tayari Kampuni ya MCS imetuma wazamiaji eneo la tukio kuangalia namna ya kunusuru abiria waliokuwa katika meli hiyo.
Chanzo: Star TV
11 years ago
Mwananchi12 Jul
HITILAFU: Abiria 48 wa PrecisionAir wanusurika
10 years ago
Tanzania Daima24 Oct
Wananchi wadai kuchoshwa na Lusinde
WANANCHI wa Mtera wameeleza kuchoshwa na mbunge wao Livingstone Lusinde (CCM), kwa madai kuwa ni mzigo kutokana na kutumia muda mwingi kutukana wapinzani badala ya kujenga hoja za maendeleo. Wakizungumza...
9 years ago
Mwananchi06 Sep
Lusinde ampiga kijembe Mbatia
11 years ago
Habarileo13 Mar
Balozi Lusinde ataka serikali 1
MWANASIASA mkongwe nchini Balozi mstaafu Job Lusinde (83) amesema angependelea muundo wa serikali moja ili kupambana na kero za Muungano zilizopo.
10 years ago
Dewji Blog10 Mar
Ziara ya Kinana jimbo la LUSINDE
![](http://1.bp.blogspot.com/-OTq-O52rS7o/VP3vgXlWQxI/AAAAAAAAXx8/iPugK3AuB6Q/s1600/1.jpg)
Mbunge wa Jimbo la Mtera Ndugu Livingstone Lusinde akielezea maendeleo ya ujenzi wa Shule ya msingi Lowasa kwa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana katika kijiji cha Muungano wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma.
![](http://3.bp.blogspot.com/-BsZByfBu_9s/VP3vkzceftI/AAAAAAAAXzE/bj8R06Bmij0/s1600/2.jpg)
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana(kushoto) akimuonyesha Mbunge wa Jimbo la Mtera Ndugu Livingstone Lusinde namna ya kufyatua matofali wakati wa kushiriki ujenzi wa shule ya msingi Lowasa.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki kupampu maji ya...
10 years ago
Tanzania Daima13 Oct
Balozi Lusinde achokonoa UKAWA
MWANASIASA mkongwe nchini, Balozi Job Lusinde amewataka vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCC), kupambana na kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) ili kuhakikisha katiba mpya inayopendekezwa inapita kwenye...