Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mvuto wa Darasa:Wanafunzi hufanya vyema

Watafiti wanasema kuwa Mazingira mazuri ya Darasa huongeza ari ya Mwanafunzi kujifunza

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Nusu ya wanafunzi darasa la saba hawawezi Kiingereza cha darasa la pili

>Asilimia 24 ya wanafunzi wa darasa la saba nchini hawawezi kusoma hadithi rahisi iliyoandikwa kwa lugha ya Kiswahili kwa ajili ya wanafunzi wa darasa la pili ambapo asilimia 50 ya wanafunzi hao, hawawezi kusoma hadithi ya Kiingereza ya darasa la pili.

 

11 years ago

GPL

AIRTEL YATOA SOMO KWA WANAFUNZI KUTUMIA VYEMA MAENDELEO YA TEKNOLOJIA

Wanafunzi wa shule za sekondari kote nchini wameaswa kutumia vizuri maendeleo ya teknolojia yanayotokea kwa sasa ili kuongeza kiwango cha ufaulu nchini. Madai hayo yalitolewa na Meneja Biashara wa Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel kanda ya ziwa Raphael Daudi wakati akikabidhi kompyuta kwa wanafunzi wa shule ya sekondari ya Kalangalala iliyopo mkoani Geita.

Meneja huyo alisema kumekuwa na wimbi la wanafunzi ambao hutumia...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wanafunzi 204 darasa moja

UKIINGIA katika darasa la elimu ya awali la shule za Chemchem, iliyopo katika Manispaa ya Tabora, huwezi kuamini kama ile ni sehemu ya wanafunzi kupata elimu. Unaweza ukadhani ni mkutano...

 

10 years ago

Vijimambo

DARASA MOJA, WANAFUNZI 370

Wanafunzi wa darasa la pili katika shule ya msingi Nyamarere mkoani Geita wakiwa darasani. Picha na Jackline Masinde. Na Jackline Masinde, MwananchiNi ‘majanga’ ya elimu katika baadhi ya shule za msingi mkoani Geita ambako hadi leo wanafunzi wanasomea chini ya miti, wanaketi kwenye mawe.Geita. Tunaweza kusema ni majanga ya elimu. Tunasema hivi maana ni kama hakuna lugha rahisi ya kuelezea hiki kinachoonekana katika shule mbili za msingi; Nyamarere na Bweya zilizopo katika Halmashauri ya...

 

10 years ago

Vijimambo

UANDIKISHAJI WA WANAFUNZI DARASA LA KISWAHILI DMV



UONGOZI WA JUMUIYA YA  WATANZANIA DMV UNAWATAARIFU 
KUHUSU UFUNGUZI RASMI WA MADARASA YA LUGHA YA KISWAHILI

Uandikishaji wa shule ya kujifunza lugha ya kiswahili utaanza rasmi tarehe 1/12/2014
Kutakuwa na madarasa mawili kila Jumamosi kuanzia tarehe 10/1/2015 saa 9:00 mchana hadi saa 11:00 Jioni.
Kuandikisha watoto wa miaka 3 hadi 5 wasiliana naBernadeta Kaiza namba (240) 704-5891.Kwa  umri wa miaka 6 na kuendelea, hata watu wazima  wasiliana na Asha Nyang’anyi namba (301) 793-2833.
...

 

9 years ago

Mwananchi

Kila la heri wanafunzi darasa la saba

Wanafunzi wa darasa la saba nchini, leo wanatarajiwa kufanya mtihani wa kumaliza elimu ya msingi, huku wakiwa na shauku kubwa kufanya mtihani huo kwa kutumia mfumo mpya wa ufanyaji na usahihishaji wa mitihani ambao ulianza kutumika nchini miaka mitatu iliyopita.

 

9 years ago

StarTV

Hali ya Wanafunzi wa darasa la 7 wanaofanya mitihani yao ya mwisho

Ikiwa ni siku ya kwanza ya watahiniwa wa Darasa la Saba kufanya mtihani wao wa kuhitimu elimu ya msingi nchi nzima, baadhi ya Shule za msingi jijini Dar Es Salaam zimeoneka kuwa katika hali ya utulivu na amani .

Wanafunzi wameendelea na maandalizi ya mtihani huo, wengine wakiwa wamekaa katika makundi wakijadiliana namna walivyoanza mtihani wengi wao wakiwa na matarajio ya kufanza vyema katika mitihani hiyo.

StarTv imepita katika Shule ya Msingi Kinondoni iliyopo katika Manispaa ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Wanafunzi darasa la kwanza hadi la saba wasomea madarasa matatu

Shule nyingi za msingi katika Manispaa ya Morogoro zinakabiliwa na changamoto mbalimbali, lakini kwa Shule ya Msingi Ujirani Mwema, changamoto hizo zimezidi kipimo.

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Wanafunzi 808,111 wa darasa la saba kufanya mitihani leo


NA RACHEL KYALASERIKALI imewataka wakaguzi wa elimu katika ngazi zote nchini, kuhakikisha idadi ya wanafunzi 808,111 wanaopaswa kufanya mtihani wa darasa la saba inatimia.Aidha, imewataka wakaguzi hao kuchukua hatua kali dhidi ya wazazi na walezi watakaowaelekeza wanafunzi hao kufanya vibaya katika mitihani hiyo kama ambavyo imekuwa ikitokea kwa sababu zisizo za msingi.Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Jenista Mhagama, alisema jana kuwa, kumekuwa na tabia ya baadhi ya wazazi na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani