Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwaka 1 tangu miraa ipigwe Maruku Ulaya

Ni mwaka mmoja tangu serikali ya Uingereza na mataifa ya ulaya kupiga marufuku uuzaji na utumiaji wa miraa.Wakulima wa zao hilo Kenya walalama

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Mwaka 1 tangu wanafunzi 43 kutoweka Mexico

Maandamano yamefanyika Mexico kuishinikiza serikali kutoa ukweli kuhusiana na kutoweka kwa wanafunzi 43

 

10 years ago

GPL

MEXICO YAADHIMISHA MWAKA 1 TANGU WANAFUNZI 43 KUTOWEKA

Maelfu ya watu wakiwa kwenye maandamano kuishinikiza serikali kutoa ukweli kuhusu vifo vya wanafunzi 43. Mwaka mmoja uliopita, wanafunzi 43 walipotea katika mji wa Iguala katika jimbo la Guerrero, kusini mwa Mexican.
Maelfu ya watu wanashiriki katika maandamano makubwa katika mji mkuu wa Mexico kuadhimisho mwaka mmoja tangu kutoweka kwa wanafunzi hao. Maandamano yakiendelea. Uchunguzi wa serikali ulidai kuwa, wanafunzi...

 

10 years ago

Raia Tanzania

Juma Nature: Pombe nimeacha tangu mwaka jana

KAMA kawaida ya safu hii inakuletea maisha ya watu mbalimbali maarufu kuona wanaishi vipi katika maisha yao ya kawaida. Leo tunaye mwanamuziki  mkongwe  wa Bongo Fleva  na kiongozi  wa kundi la Wanaume Halisi, Juma Kassim Kiroboto maarufu kama Juma Nature.

Juma Nature ni miongoni mwa wanamuziki wachache walioweza kudumu katika  Bongo Fleva kwa muda mrefu  na kuwa na mashabiki wengi ndani na nje ya Tanzania.

Mwanamuziki huyo alikuja na mtindo wa kipekee  katika muziki wake na...

 

11 years ago

CloudsFM

LANGA ATIMIZA MWAKA MMOJA TANGU AFARIKI DUNIA

Tarehe kama ya leo mwaka jana,msanii wa Hip Hop, Langa Lileo, rais wa gheto mida ya jioni alitangazwa kuwa amefariki dunia, kwa mujibu wa ripoti ya hospitali msanii huyo alikuwa anasumbuliwa na malaria kali, alilazwa siku moja katika hospitali ya taifa Muhimbili siku ya pili yake ndiyo akafariki. Safari ya Langa kimuziki ilianzia kwenye shindano la kusaka vipaji la Coca-Cola Pop Stars mwaka 2004, na wakapatikana washindi watatu wakaunda kundi la Wakilisha alikuwemo Langa, Shaa, na Witness,...

 

10 years ago

Bongo5

Shaa adai ana video 3 alizoshoot nje tangu mwaka jana

Malkia wa Uswazi, Shaa, amesema tayari ameshashoot video 3 nje ya nchi toka mwaka jana na sasa hivi zinasubiri muda wake ili zitoke. Shaa ameiambia Bongo5 kuwa anajisikia fahari kuwa kati ya wasanii wa kwanza waliovuka boda na kufanya video. “Mimi kwenye video tena kwenye release zangu zinazofuata ambazo nimesha-shoot video tatu nje toka mwaka […]

 

11 years ago

Dewji Blog

Mzee aishi wodini kwa miaka 45 tangu Januari mosi mwaka 1971

DSC07576

Mzee Abdi Nkhambi Lanjui (75) akiwa wodi namba nne katika hospitali ya mkoa mjini Singida. Mzee Lanjui mzaliwa wa kijiji cha Mhintiri tarafa ya Ihanja, aliyekuwa dereva wa kampuni ya mamlaka ya Pamba Mwanza, alipata ajali katikati ya mwaka 1968 na kulazwa katika hospitali ya Sekoture Mwanza na baadaye mwishoni mwa mwaka 1970,alihamishiwa hospitali ya mkoa wa Singida, ambako anaishi hadi sasa. Ajali hiyo ilisababisha kukatika mawasiliano kati ya kuanzia kiunoni na kushuka chini ambako...

 

10 years ago

Bongo5

Twende Sawa: EFM yazindua shehere za kutimiza mwaka mmoja tangu ianze kwenda hewani

Kituo cha radio EFM kimezindua sherehe za maadhimisho ya kutimiza mwaka mmoja tangu kuanzishwa kwake tarehe 2/4/2014. Mkurugenzi wa mawasiliano EFM, Dennis Ssebo (kulia) akiwa na mkuu wa vipindi EFM, Dickson Ponela Sherehe hiyo imepewa jina la ‘Twende Sawa’ kama njia ya kuwashukuru wasikilizaji kwa kwenda sawa tangu kuwashwa kwa mitambo ya EFM. Akizungumza na […]

 

9 years ago

Dewji Blog

Hii ndiyo listi ya makocha 10 ambao wametumia pesa nyingi kufanya usajili tangu mwaka 2006

mourinhofivenormal-600x300

Na Rabi Hume, Modewjiblog

Katika soka ili kupata kilicho bora unahitaji kufanya usajili licha ya kuwapo kwa makocha wachache ambao wamekuwa hawasajili sana na badili yake wamekuwa wakitumia wachezaji vijana ambao wanakuwa wakitokea katika vituo vya kukuzia vipaji [akademi] za klabu husika, kuchukua wachezaji ambao wapo huru au kununua wachezaji kwa gharama nafuu.

Modewjiblog imekuandalia listi ya makocha 10 ambao wametumia pesa nyingi kufanya usajili kwa kipindi miaka 10 iliyopita kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani