MWAKILISHI MPYA WA WHO ZANZIBAR ATAMBULISHWA
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mwakilishi wa Mpya wa Shirika la Afya Duniani (WHO) hapa Zanzibar Dr. Andemichael Ghirmay Redae alipofika kutambulishwa na Mwakilishi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Nchini Tanzania Rofaro Chatora (katikati) halfa hiyo ilifanyika leo Ikulu Mjini Zanzibar leo.[Picha na Ikulu.] Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza Mwakilishi wa Shirika la Afya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi20 Feb
Mwakilishi afariki ghafla Zanzibar
11 years ago
Mwananchi06 Jun
Mwakilishi ataka Zanzibar imiliki silaha za kivita
10 years ago
GPLMWAKILISHI WA JIMBO LA MAGOMENI ZANZIBAR AFARIKI DUNIA
10 years ago
VijimamboLOWASSA ASHIRIKI MAZIKO YA MWAKILISHI JIMBO LA MAGOMENI ZANZIBAR
10 years ago
MichuziSERIKALI YAMKARIBISHA MWAKILISHI MKAZI MPYA WA JICA NCHINI
10 years ago
MichuziBREAKING NYUZZZ...: MWAKILISHI WA JIMBO LA MAGOMENI ZANZIBAR AFARIKI DUNI GHAFLA MCHANA HUU
Habari iliyotufikia hivi punde toka Visiwani Zanzibar,inaeleza kuwa Mwakilishi wa Jimbo la Magomeni,Mhe. Salmin Awadh amefariki dunia mchana huu baada kuanguka hafla akiwa kikaoni katika Afisi kuu ya CCM kisiwandui,mjini Unguja Zanzibar.
Pichani ni Mwili wa Mwakilishi huyo ukipakiwa kwenye gari ukitolewa kwenye hospitali ya Mnazi Mmoja kwenda nyumbani kwake kwa matayarisho ya mazishi.
taarifa kamili tutapeana hapo baadae.
10 years ago
Dewji Blog19 Feb
JK amtumia salamu za rambirambi Dkt. Shein kufuatia kifo cha Mwakilishi wa jimbo la Magomeni, Zanzibar
Marehemu Mh. Salmin Awadh enzi za uhai wake.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amempelekea Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mheshimiwa Dkt. Ali Mohamed Shein, salamu za rambirambi kuomboleza kifo cha Mheshimiwa Salmin Awadh Salmin, Mwakilishi wa Jimbo la Magomeni katika Baraza la Wawakilishi na Mwenyekiti wa Kamati ya Fedha ya Baraza hilo.
Mheshimiwa Salmin ambaye alikuwa pia Katibu wa Kamati ya Wabunge wa Chama cha Mapinduzi...
5 years ago
MichuziMWAKILISHI WA JIMBO LA UZINI ATOA MSAADA VITU MBALIMBALI KWA AJILI YA KUPAMBANA NA KORONA ZANZIBAR
10 years ago
VijimamboMWAKILISHI WA KIKWAJUNI MHE MAHMOUD ATOWA ELIMU YA KATIBA MPYA KWA WANANCHI WA JIMBO LAKE