Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MWALIMU AFA KIMIUJIZA

Stori: WAANDISHI WETU
Mwalimu Gloria Tarimo ‘Ticha Gloria’ (29) aliyekuwa akifundisha katika Shule ya Mbezi High School ya jijini Dar, amefariki dunia katika mazingira ya kutatanisha huku baadhi ya ndugu, jamaa na marafiki wakidai kifo chake ni cha kimiujiza.
Ticha Gloria ambaye alikuwa akikaimu nafasi ya mwalimu mkuu wa shule hiyo, alifariki dunia Desemba 6, mwaka huu katika Hospitali ya Muhimbili jijini Dar...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Mwalimu afa baada ya kujitosa ziwani

Kaimu Kamanda wa Polisi Tarime Rorya, Sweetbert Njewike MWALIMU wa Shule ya Msingi Kibumaye iliyopo tarafa ya Inchage wilayani Tarime mkoani Mara, Nelson Zachma (50) amekufa kwa kujitosa Ziwa Victoria.

 

9 years ago

Habarileo

Mwalimu afa kwa kuchomwa kisu, kisa wivu wa mapenzi

WATU wawili wamekufa katika matukio mawili tofauti mkoani Kilimanjaro, likiwamo la mwalimu wa shule ya sekondari Minja wilayani Mwanga, Tumaini Magila (27) kumuua mumewe Sweetbert Magila (48) kwa kumchoma kisu, kutokana na wivu wa kimapenzi.

 

11 years ago

GPL

MKE ATOWEKA KIMIUJIZA

Stori: Hamida Hassan na Gladness Mallya
USHIRIKINA.
Katika hali inayotafsiriwa kuwa ni imani za kishirikina, mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina la Merry Patrick  au Mama Jack, mkazi wa Magole B Ilala jijini Dar es Salaam, ametoweka kimiujiza nyumbani kwake usiku wa manane wiki iliyopita. Chacha Muhochi, mume wa mwanamke huyo, aliliambia gazeti hili kuwa siku ya tukio, saa tisa usiku akiwa nje ya nyumba akilinda mifugo...

 

10 years ago

Michuzi

msaada tutani: mwalimu wa kiswahili sweden anatafuta mwalimu mwenzie kubadilishana nondo

Mimi ni mwalimu wa Kiswahili Sweden natafuta mwalimu yoyote anayefundisha kiswahili hapa ili tuweze badilishana materials. Nashindwa kufundisha kwa ufasaha vile sijapata mwenzangu.Email yangu ni linda.johansson5@kungsbacka.se
Kwa mawasiliano nitumie email.

 

11 years ago

Michuzi

Mwalimu Dodoma matatani kwa tuhuma za kuua mwalimu mwenzake kisa deni la buku moja

JESHI la Polisi Mkoani Dodoma linamshikilia Mwalimu wa Shule ya Sekondari ya Hombolo Justus Jackson (28) kwa tuhuma ya kumuua mwalimu mwenzie kwa kukataa kulipa sh. 1,000 ya bili ya umeme aliyotakiwa kuchangia marehemu.  Kamanda wa Polisi mkoa wa Dodoma, David Missime amemtaja mwalimu aliyeuwawa kuwa ni Freddy Ndahani (29) mwalimu wa shule ya Hombolo.Kamanda  Misime amesema walimu hao wote wawili wanalikuwa wakiishi katika nyumba moja na walikuwa wakichangia bili ya umeme katika nyumba...

 

11 years ago

Mwananchi

Mwalimu adaiwa kumuua mwalimu mwenzake Kagera

>Mwalimu wa Shule ya Msingi Kaiho, Kijiji cha Rwigembe, mkoani Kagera, Tumaini Samson (42) anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kumuua mwalimu mwenzake, Samson Mwenda (26) kutokana na kumchoma kwa kisu kifuani na mgongoni.

 

11 years ago

GPL

MDUNGUAJI TARIME...AFA

Stori: Na Igenga Mtatiro, Tarime
MDUNGUAJI wa watu takriban tisa wilaya ya Tarime mkoa wa mara, alifariki dunia usiku wa kuamkia juzi alipokuwa akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Halmashauri ya Mji wa Tarime baada ya kuzidiwa na vipigo vya Jeshi la Polisi, akigoma kutaja washirika wake. Taarifa zilizotolewa na mganga mfawidhi wa Hospitali hiyo Roberty Onesmo zilisema muuaji huyo, Charles Range Kichune (38) alifariki dunia...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mwanaume afa maji

WATU wawili wameripotiwa kufariki dunia jijini Dar es Salaam juzi katika matukio tofauti likiwemo la kufa maji. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Temeke, Englibert Kiondo, alisema juzi saa 10 jioni,...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mrema afa na mtu

MWENYEKITI wa Tanzania Labour Party (TLP), Augustine Mrema, amekunjua upya makucha yake yaliyowahi kurarua viongozi wenzake akiwa katika NCCR-Mageuzi na TLP, na sasa amefukuza hadharani madiwani wawili wa chama chake...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani