MDUNGUAJI TARIME...AFA
![](http://api.ning.com:80/files/z7xKGPrSF9BGci0w6jXUMV*SrGIEQFNxHpmsPO2E6tIxqaM1xr7-qonhWL6Y7Zi6GLnEd9VIEkTeC6XohQaK15XUmDB3dT4b/mdunguaji.jpg)
Stori: Na Igenga Mtatiro, Tarime MDUNGUAJI wa watu takriban tisa wilaya ya Tarime mkoa wa mara, alifariki dunia usiku wa kuamkia juzi alipokuwa akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Halmashauri ya Mji wa Tarime baada ya kuzidiwa na vipigo vya Jeshi la Polisi, akigoma kutaja washirika wake. Taarifa zilizotolewa na mganga mfawidhi wa Hospitali hiyo Roberty Onesmo zilisema muuaji huyo, Charles Range Kichune (38) alifariki dunia...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo29 Jan
Mdunguaji avamia Tarime na kuua
JESHI la Polisi limeanzisha operesheni maalumu ya kumsaka mtu anayedaiwa kuwa jambazi, ambaye anaendelea kufanya mauaji wilayani Tarime.
9 years ago
Mwananchi11 Sep
Mmoja afa, watano wajeruhiwa Tarime
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/dm99ly9wi64CjaLLu5AYOEAjX8lEY8jkqNz8WvqsJAEzyHdWuoS7taoO9uaqIVYPquShu1emlNBZodyPc-cRewb*KLNA4CmR/Mara.gif?width=650)
MDUNGUAJI MARA AIBUKA TENA!
11 years ago
Tanzania Daima02 May
Mtoto afa maji
MTOTO Yunus Abijan (4) mkazi wa Keko Mwanga, Dar es Salaam, amefariki dunia baada ya kutumbukia kwenye kisima cha maji. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Temeke, Englibert Kiondo, alisema juzi...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/6vIMLmuhUcpvcrKySTlWOVrdDdJpI0h4ZHB3W28J1xpaWfAWJSRIossCAwO5ObQQk*e7uFgNjt5nCkiKJi8mvwc0X4D56n6h/MWALIMU.jpg?width=650)
MWALIMU AFA KIMIUJIZA
11 years ago
Tanzania Daima31 Mar
Mwanachuo afa maji
MWANAFUNZI wa Chuo cha Utumishi jijini Dar es Salaam, Deus Josephat (21), mkazi wa Mjimwema, amefariki dunia alipokuwa akiogelea na wenzake ufukweni mwa Bahari ya Hindi eneo la Maweni Beach...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/tlB4pKQX5miokYxpuUEfSTACUNrwff601e3yJPIxYqDlQR69XgdYHMMiZVSncmNx2aUo95gs4DBYd*awCvURxer5-Z1YFAlE/msaniikifo.jpg)
MSANII AFA GHAFLA!
10 years ago
Mwananchi31 Aug
Mfanyabiashara afa ‘gesti’
11 years ago
Tanzania Daima17 Jan
Afa akiendesha baiskeli
WATU wawili wamefariki dunia juzi jijini Dar es Salaam katika matukio mawili tofauti akiwemo mwanamume aliyetambuliwa kwa jina la Mashaka Mkani aliyefariki dunia akiwa anaendesha baiskeli. Kamanda wa Polisi wa...