Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwalimu aliyefumaniwa akajeruhi atwangwa faini

MWALIMU wa Shule ya Msingi Katani, Lingston Nelson (36) amelipa faini ya Sh 400,000 baada ya kujeruhi kwa panga na msumeno katika tukio la kufumaniwa na mke wa mtu. Mwalimu huyo ametiwa hatiani na Hakimu wa Mahakama ya Hakimu Mkazi wa Nkasi, mkoani Rukwa, Ramadhan Mgamalila.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Mwalimu aliyefumaniwa akwepa hukumu

MWALIMU wa Shule ya Msingi Katani wilayani Nkasi, Rukwa Ringtone Rayson (36) amehukumiwa kwenda jela miaka miwili au kulipa faini ya sh 100,000 kwa makosa ya kufumaniwa na kumjeruhi mume...

 

10 years ago

GPL

JACK PATRICK ATWANGWA TALAKA AKIWA JELA

Na Imelda Mtema
Masikini! Wakati akiendelea kutumikia kifungo cha miaka saba jela huko Macau nchini China, mwanamitindo mwenye mvuto wa kipekee Bongo, Jacqueline Fitzpatrick Cliff ‘Jack Patrick, ametwangwa talaka na aliyekuwa mumewe, Abdullatif Fundikira ‘Tiff’ na tayari amemuoa Miss Tanzania 2011, Salha Israel. Wakati mwanamitindo Bongo, Jacqueline Fitzpatrick Cliff ‘Jack Patrick akiwa na mumewe,...

 

11 years ago

Habarileo

Aliyefumaniwa atupwa miaka 5 jela

MKAZI wa Kijiji cha Kasokola wilayani Mlele, Makanga Vipawa (43) aliyefumaniwa na mke wa mtu akifanya mapenzi shambani mwa mume wa mwanamke huyo, amehukumiwa kifungo cha miaka mitano jela baada ya kupatikana na hatia ya kuua bila kukusudia.

 

10 years ago

Michuzi

msaada tutani: mwalimu wa kiswahili sweden anatafuta mwalimu mwenzie kubadilishana nondo

Mimi ni mwalimu wa Kiswahili Sweden natafuta mwalimu yoyote anayefundisha kiswahili hapa ili tuweze badilishana materials. Nashindwa kufundisha kwa ufasaha vile sijapata mwenzangu.Email yangu ni linda.johansson5@kungsbacka.se
Kwa mawasiliano nitumie email.

 

11 years ago

Michuzi

Mwalimu Dodoma matatani kwa tuhuma za kuua mwalimu mwenzake kisa deni la buku moja

JESHI la Polisi Mkoani Dodoma linamshikilia Mwalimu wa Shule ya Sekondari ya Hombolo Justus Jackson (28) kwa tuhuma ya kumuua mwalimu mwenzie kwa kukataa kulipa sh. 1,000 ya bili ya umeme aliyotakiwa kuchangia marehemu.  Kamanda wa Polisi mkoa wa Dodoma, David Missime amemtaja mwalimu aliyeuwawa kuwa ni Freddy Ndahani (29) mwalimu wa shule ya Hombolo.Kamanda  Misime amesema walimu hao wote wawili wanalikuwa wakiishi katika nyumba moja na walikuwa wakichangia bili ya umeme katika nyumba...

 

11 years ago

Mwananchi

Mwalimu adaiwa kumuua mwalimu mwenzake Kagera

>Mwalimu wa Shule ya Msingi Kaiho, Kijiji cha Rwigembe, mkoani Kagera, Tumaini Samson (42) anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kumuua mwalimu mwenzake, Samson Mwenda (26) kutokana na kumchoma kwa kisu kifuani na mgongoni.

 

9 years ago

BBCSwahili

FA yamtoza faini Mourinho

Chama cha soka cha England FA, kimempa adhabu Meneja wa klabu ya Chelsea Jose Mourinho

 

9 years ago

Habarileo

Ukichafua Sumbawanga faini elfu 50/-

HALMASHAURI ya Manispaa ya Sumbawanga mkoani Rukwa imeonya kuwa itatoza faini ya Sh 50,000 kwa wakazi wa mjini Sumbawanga watakaobainika kutiririsha maji machafu ili kuhakikisha manispaa hiyo inabaki kuwa safi na salama.

 

10 years ago

BBCSwahili

UEFA yaitoza faini Celtic

Klabu ya Celtic imetozwa faini ya paundi 7,300 na Shirikisho la Soka la Ulaya UEFA.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani