Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MWANA-DIASPORA ANGARA KWENYE TAMASHA LA ELIMU DODOMA APEWA ALAMA YA DOLA GUMBA NA MHE. RAISI.

Mwana-daispora Walter anayeishi katika jiji la San Francisco - California akitoa maelezo mafupi kwa mweshimiwa raisi wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Mhe. Jakaya Kikwete kuhusu shughuli za organization yao (Powering Potential). Mdau Walter ni mwanadiaspora yuko Tanzania kuhudhuria Tamasha la Elimu lilofanyika mjini Dodoma kuanzia tarehe 11-15 May 2015. Mwana-diaspora Walter akiendelea kumwelekeza mheshimiwa raisi Jakaya Kikwete jinsi gani tekinolojia ya kompyuta ambayo...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU OFISI YA RAISI ZANZIBAR, MHE. SALUM MAULID AFUNGA MKUTANO WA TANZANIA DIASPORA BUSINESS CONVENTION 2015 NCHINI UINGEREZA

Mheshimiwa Katibu Mkuu, Balozi Liberata Mulamula (kati), Mheshimiwa Balozi wa Tanzania, Uingereza, Peter Kallaghe (pili kushoto), Mheshimiwa Katibu Mkuu Ofisi ya Raisi Zanzibar, Bwana Salum Maulid (kushoto), Mwenyekiti wa Watanzania waishio Birmingham, Prince Katega (pili kulia), dada Gradys Katega (MC) wakiwa pamoja na Kamati ya Mkutano wa Tanzania Diaspora Business Convention 2015.Mheshimiwa Katibu Mkuu, Balozi Liberata Mulamula (kati), Mheshimiwa Salum Maulid ,Katibu Mkuu Ofisi ya...

 

10 years ago

Michuzi

Waziri wa Elimu atembelea Banda la Mamlaka ya Elimu Tanzania kwenye maonyesho ya Elimu mjini Dodoma

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk. Shukuru Kawambwa akimsikiliza Kaimu Mkurugenzi wa Uhamasishaji rasilimali wa Mamlaka ya Elimu Tanzania, Sylvia Lupembe, alipotembelea Banda la Mamlaka ya Elimu Tanzania Jumatano Tarehe 13 Mei 2015.

 

11 years ago

Michuzi

mwana-Diaspora Boniface Makulilo azungumzia maisha katika jeshi la Marekani kwenye kipindi cha NJE-NDANI

Mwana-Diaspora Boniface Makulilo alipokuwa katika 
Jeshi la Maji la Marekani (Navy) Mtanzania Boniface Makulilo ametumikia Jeshi la Maji (NAVY) hapa Marekani kwa miaka miwili na sasa ni mwanajeshi mstaafu (Veteran) Amezungumza na Mubelwa Bandio wa Jamii Production kuhusu maisha yake ya jeshini na namna ambavyo watu toka nje ya nchi wanaweza kunufaika na mafao yaliyopo jeshini. Ameeleza mengi ya manufaa ambayo wengi hatuyajui kuhusu maisha katika jeshi hilo. Karibu uungane...

 

9 years ago

Vijimambo

FIRM: CONFIRMED: BEYOND THE REASONABLE DOUBT: MWANA DIASPORA KUELEKEA BUNGENI KWA SAUTI YA DIASPORA


Ndugu zangu wana Diaspora; Nimeanza kazi ya kutengeneza vipeperushi na harakati nyingine za kampeni. Tunatarajia kuzindua kampeni Jumapil August, 30, 2015.  Leo nimetengeneza vipeperushi vya kuvaa shingoni 500 kwa Tsh 400/= each. Vinahitajika atleast  20,000. Nimetengeneza 16 vikubwa vya kuweka kwenye magari, Tsh 6250/= each. Jimbo ni kubwa sana; lina wapiga kura 143,189.
Kwa leo nimetumia Tsh 300,000/= kwa vipeperushi 500 vya shingoni na 16 vikubwa kwaajili ya kuweka kwenye magari. Vya...

 

10 years ago

Dewji Blog

Tigo yazidi kuwapagawisha wananchi wa Dodoma kwenye Tamasha la Welcome Pack

MWANAMUZIKI EMENUEL BRYSON SIMWINGA (IZZO BUSINES)

Msanii Emmanuel Simwinga maarufu Izzo Business akipiga bonge la shoo kwenye Tamasha la Tigo Welcome Pack uwanja wa Jamhuri Mkoani Dodoma. Kifurushi cha welcome pack kinatoa muda wa maongezi wa dakika 20, MB175, sms bila kikomo na shilingi mia 500 kwenye akaunti yake ya tigopesa, yote hayo kwa shilingi 1000 mteja atakaponunua laini yake ya Tigo.

ORIGINAL COMEDI KATIKA SHOW  1

Wasanii wa Original Komedi wakiwapa burudani wananchi waliojitokeza kwenye uzinduzi wa welcome pack kwenye uwanja wa Jamhuri Mkoani Dodoma mwishoni...

 

10 years ago

Vijimambo

DIASPORA KUTOKA MAREKANI WAWAKILISHA KWENYE KONGAMANO LA DIASPORA DAR

 Diaspora toka Marekani wakihudhuria kongamano la Diaspora 2015 lililoanza leo katika hotel ya Serena iliyopo jijini Dar Es Salaam Kutoka kushoto ni Rais wa Jumuiya ya Watanzania DMV Bwn. Idd Sandaly, Bi. Agnetta Kamgisha na Mariam Kalala Nyang'oro kutoka Jumuiya ya Watanzania Nort CarolinaWatanzania wakiwakilisha Diaspora kutoka Marekani wakihudhuria kongamano la Diaspora la Ubia SMEs 2015 Serena Hotel jijini Dar. Kutoka kushoto ni Agnetta Kamgisha, Mariam Kalala Nyang'oro na Asha...

 

10 years ago

BBCSwahili

Rais masikini zaidi apewa dola milioni 1

Rais wa Uruguay Jose Mujika anasema kuwa amepewa dola millioni 1 ili kuuza gari lake aina ya Volkswagen.

 

10 years ago

Michuzi

MHE. CHIKU GALLAWA AMEFANYA ZIARA YA UKAGUZI KWENYE MACHINJIO YA KISASA KIZOTA MKOANI DODOMA

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Chiku Gallawa akifanya ziara ya ukaguzi kwenye machinjio ya Kisasa Kizota Mjini Dodoma Januari 9, 2015. Muu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Chiku Gallawa (kushoto) akikaga vifaa vinavyotumika kwenye uchinjaji mifugo na uandaji wa nyama kwenye machinjio ya Kisasa Kizota Mjini Dodoma Januari 9, 2015. Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Chiku Gallawa akikagua utunzaji wa nyama kwenye chumba maalumu cha kutunzia nyama zinazosubiri kusafirishwa kwenye machinjio ya Kisasa Kizota Mjini...

 

11 years ago

Michuzi

MUIMBAJI WA INJILI BAHATI BUKUKU APATA AJALI DODOMA AKIELEKEA KAHAMA KWENYE TAMASHA
















Mwimbaji wa Nyimbo za Injili Bahati Bukuku akiwa kwenye moja ya kazi zake ya uimbaji.
Na: Sylvester Onesmo wa Jeshi la Polisi Dodoma.

Gari lenye namba IT 7945 aina ya Toyota Nadia ikiendeshwa na EDSON S/O MWAKABUNGU, Mnyakyusa, Miaka 31 mkazi wa Tabata – Dar es Salaam liliacha njia na kugonga gema na kusababisha majeruhi kwa watu watatu baada ya kugongwa na gari lingine linalosadikiwa kuwa ni Fuso.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi DAVID MISIME – SACP...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani