Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MWANA FA KUANGUSHA BONGE LA SHOW NYUMBANI TANGA.

Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania,Rosalynn Mworia(katikati)akifafanua jambo kwa waandishi wa habari(hawapo pichani)wakati alipokuwa akizungumzia kuhusiana na shoo ya”Vodacom life is better”itakayofanywa na msanii wa muziki wa kizazi kipya MwanaFA (kushoto)siku ya ijumaa katika klabu ya La Casachika mjini Tanga.Kulia ni Meneja wa msanii huyo Lusajo Mwaisaka.Msanii wa muziki wa kizazi kipya MwanaFA (kushoto)akiongea na waandishi wa habari(hawapo pichani)kuhusiana...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MWANA FA KUANGUSHA BONGE LA SHOO NYUMBANI TANGA

Msanii wa muziki wa kizazi kipya MwanaFA(kushoto)akiongea na waandishi wa habari(hawapopichani)kuhusiana na maandiliziya shoo yakeya“Vodacom life is better”atakayoifanya siku ya ijumaa kwenye klabuya La Casachika mjini Tanga, Anaeshuhudia katikati ni Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano na Uhusianowa Vodacom Tanzania,Rosalynn Mworia na kulia ni Meneja wa msanii huyo LusajoMwaisaka.… ...

 

10 years ago

Michuzi

MwanaFA kuangusha bonge la shoo nyumbani Tanga

 Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania,Rosalynn  Mworia(katikati)akifafanua jambo kwa waandishi wa habari(hawapo pichani)wakati alipokuwa akizungumzia kuhusiana na shoo ya”Vodacom life is better”itakayofanywa na msanii wa muziki wa kizazi kipya MwanaFA (kushoto)siku ya ijumaa katika klabu ya La Casachika mjini Tanga.Kulia ni Meneja wa msanii huyo Lusajo Mwaisaka.Msanii wa muziki wa kizazi kipya MwanaFA (kushoto)akiongea na waandishi wa habari(hawapo...

 

10 years ago

Michuzi

ALLY KIBA KUANGUSHA BONGE YA SHOO DAR LIVE KATIKA TAMASHA LA MWANA CHINI YA VODACOM TANZANIA

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Ally Kiba(katikati)akifafanua jambo kwa waandishi wa habari(hawapo pichani)kuhusiana na jinsi anavyojiandaa kuwapagawisha mashabiki wake katika Tamasha la Mwana Dar Live lililodhaminiwa na Vodacom Tanzania na litakalofanyika katika ukumbi wa Dar Live Mbagala jijini Dar es Salaam siku ya Pasaka.Wengine katika picha kushoto Msanii wa nyimbo za mchiriku Sueleman Jabiri”Msaga Sumu” na Kiongozi wa kikundi cha Warriors Damian Darada(kulia). Meneja Uhusiano wa...

 

10 years ago

Michuzi

MwanaFA atembelea kituo cha watoto yatima kabla ya kuangusha bonge la shoo ya"Vodacom Life is better"Tanga

Mlezi wa kituo cha kulelea watoto yatima cha Diana kilichopo jijini Tanga Tatu Chamchuo Akipokea zawadi ya jezi kutoka mwanamziki wa muziki wa kizazi kipya Bongo fleva Mwana FA alizozikabidhi kwa niaba ya Vodacom Tanzania,Mwanamziki huyo alitembelea kituo hicho kabla ya kufanya shoo yake ya"Vodacom Life is better" katika ukumbi wa Lacasachika mjini Tanga hapo jana. Mwanamuziki wa muziki wa kizazi kipya Bongo fleva MwanaFA akipiga picha kwa kutumia simu yake ya mkononi pamoja na mshindi wa wa...

 

10 years ago

CloudsFM

Shetta kuangusha bonge la shoo nchini Norway

Staa wa Bongo Fleva,Shetta leo anatarajia kuangusha bonge la shoo jijini Oslo nchini Norway.

 

10 years ago

CloudsFM

Ali Kiba atua Moshi kuangusha bonge la shoo leo Club Laliga

Mkali wa Bongo Fleva,Ali Kiba leo ataangusha bonge la shoo kwenye klabu ya Laliga mjini Moshi,mkoani Kilimanjaro kwa na leo itakuwa ni mwendo wa LIVE BAND leo Moshi patakuwa hapatoshi.

 

10 years ago

Dewji Blog

Yamoto Band wazindua video yao kwa bonge la show Maisha Club, hizi ni picha za show nzima

Usiku wa Kuamkia leo Yamoto Band ambao wanafanya vizuri sana katika anga la Muziki kwa sasa, wamepiga Bonge la show ndani ya New Maisha Club wakiwa wanazindua Video ya wimbo wao Mpya “Niseme nisiseme” video ambayo imefanywa na Pabro kutoka kampuni ya D360,

Raymond Msanii kutoka Tiptop Connection nae alikuwepo kutoa sapoti kwa Yamoto Band.

IMG_9221

 

11 years ago

GPL

LOWASSA AANGUSHA BONGE LA PATI NYUMBANI KWAKE

Stori: Mwandishi Wetu, Arusha
WAZIRI  Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli (CCM), Edward Ngoyai Lowassa ameangusha bonge la pati la kuukaribisha mwaka 2014. Waziri mkuu mstaafu na mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa akizungumza katika sherehe ya mwaka mpya nyumbani kwake Ngarashi Monduli.Pembeni yake ni mkewe mama Regina…

 

10 years ago

Dewji Blog

Picha za msiba nyumbani kwa aliyekuwa Meneja wa TIPTOP Connection Abdu Bonge

Abdu Bonge alifariki jana Nyumbani majira ya Jioni alipokuwa akiamulia ugomvi wa watu wake wa karibu ndipo alianguka vibaya kwenye sakafu na kupoteza maisha, Mwili bado uko hospitali kwa uchunguzi zaidi na taratibu zikikamilika kesho mwili utasafirishwa kuelekea Morogoro Mbuyuni Kilometa takribani 100 kutokea Morogoro Mjini ambako ni Nyumbani kwa Marehemu. kwa sasa msiba upo Magomeni Njiapanda ya Kagera maskani ya Tiptop Connection.PICHA ZAIDI INGIA >>HARAKATI ZA BONGO

 MB Doggy...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani