Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MWANACHUO ALIYEJIRUSHA KUTOKA GHOROFA YA TATU AVUNJIKA MFUPA WA BEGA

Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam , Cecilia Mosha (26) aliyejirusha kutoka ghorofa ya tatu hadi chini akiugulia maumivu.

Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam , Cecilia Mosha (26) aliyejirusha kutoka ghorofa ya tatu hadi chini kutokana na hofu ya moto uliotokea katika Hosteli ya Mabibo, amevunjika mfupa wa bega. Mwanafunzi huyo alijirusha kupitia dirishani juzi katika harakati za kujiokoa na moto baada ya jengo la wasichana, Block B kushika moto. " Nilisikia kelele za moto...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

POLE: MWANACHUO ALIYEJIRUSHA KUTOKA GHOROFA YA TATU AVUNJIKA MFUPA WA BEGA

Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam , Cecilia Mosha (26) aliyejirusha kutoka ghorofa ya tatu hadi chini akiugulia maumivu. Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam , Cecilia Mosha (26) aliyejirusha kutoka ghorofa ya tatu hadi chini kutokana na hofu ya moto uliotokea katika Hosteli ya Mabibo, amevunjika mfupa wa bega. Mwanafunzi huyo alijirusha kupitia dirishani juzi katika harakati za kujiokoa na moto baada ya jengo la...

 

10 years ago

Habarileo

Nyalandu: Vigogo serikalini wako bega kwa bega na majangili

Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu.WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu amedai kuwa majangili wote wanaotiwa mbaroni na vikosi vya Askari wa Wanyamapori, wanadaiwa wanatumwa na watu waliopo kwenye ofisi za serikali na wengine nje ya nchi.

 

5 years ago

Michuzi

MERIDIANBET INAWAJIBIKA KWA JAMII: Afya na burudani vinaenda bega kwa bega!


KAMPUNI inayowajibika kwa jamii na kujali afya na utu wa wananchi, Meridianbet inataka kukuhimiza kufuata taratibu na kanuni zilizowekwa na mamlaka husika.
Sisi kama jamii ni lazima tujali afya zetu na wananchi wengine na kuonesha mshikamano kati yetu.
Tunafahamu kiasi cha msongo wa mawazo na hali ya mabadiliko katika maisha yetu, hali hii imepelekea watu wengi kutumia muda mwingi kukaa majumbani na kujitenga.
Hivyo, kwa ajili ya kufanya hali iwe rahisi katika kipindi hiki ambacho wote tupo,...

 

10 years ago

Mtanzania

Mwanafunzi UDSM aliyejirusha ghorofani asimulia

Pg 1Hadia Khamis na Mwantumu Saadi, Dar es Salaam
MWANAFUNZI wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Cecilia Mosha (26) aliyejirusha kutoka ghorofa ya tatu hadi chini kutokana na hofu ya moto uliotokea katika Hosteli ya Mabibo, amevunjika mfupa wa bega.
Mwanafunzi huyo alijirusha kupitia dirishani juzi katika harakati za kujiokoa na moto baada ya jengo la wasichana, Block A kushika moto huku wanafunzi wakiwa vyumbani wakiendelea na shughuli zao.
Akizungumza na MTANZANIA jana, Cecilia ambaye ni...

 

10 years ago

Habarileo

Marufuku kutoka nje siku tatu

SIERRA Leone jana ilianza siku tatu za kujifungia ndani kwa wananchi wote, ikiwa ni hatua ya kukabiliana na kusambaa kwa ugonjwa wa ebola.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mwanachuo afa maji

MWANAFUNZI wa Chuo cha Utumishi jijini Dar es Salaam, Deus Josephat (21), mkazi wa Mjimwema, amefariki dunia alipokuwa akiogelea na wenzake ufukweni mwa Bahari ya Hindi eneo la Maweni Beach...

 

5 years ago

CCM Blog

SERIKALI YAPOKEA TANI TATU YA VIFAA KUTOKA CHINA VYA KUKABILIANA NA CORONA

MJW – Dar es Salaam 
Serikali ya Tanzania mepokea msaada wa vifaa kinga kutoka China kwa ajili ya kusaidia kukabiliana na mlipuko wa maambukizi ya homa kali ya mapafu inayosababishwa na virusi vya Corona (COVID-19) kutoka taasisi ya Jack Ma na Alibaba.

Akipokea vifaa hivyo kwa niaba ya Serikali, Mganga Mkuu wa  Serikali, Prof. Muhammed Bakari Kambi amesema msaada huo ambao umetolewa na Taasisi ya Jack Ma na Alibaba ni pamoja na mavazi (PPE) 1,000 ya kujikinga wakati wa kuhudumia watu...

 

10 years ago

GPL

UNYAMA WA KUTISHA, MWANACHUO ABAKWA, AUWAWA

Muonekano wa Chuo hicho. Mwanafunzi mmoja wa kike kutoka Chuo cha Moi huko Eldoret, Kenya amekutwa amefariki dunia karibu na moja ya hosteli za chuo hicho baada ya kubakwa na kuuwawa kikatili.
Mwanafunzi huyo inasemekana kuwa ni wa mwaka wa tatu chuoni hapo akichukulia masomo ya Sanaa na Sayansi ya Jamii. Tukio hilo la kinyama, limetokea usiku wa kuamkia leo na bado polisi haijawatia hatiani washtakiwa ama wahusika wa tukio...

 

10 years ago

Mwananchi

Mwanachuo Udom jela miaka sita

>Mahakama ya Wilaya ya  Ilala imemhukumu kifungo cha miaka sita jela, Melkiad Kabunduguru(28) baada ya kupatikana na hatia ya kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu na kukutwa na noti bandia.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani