Mwanafunzi UDSM aliyejirusha ghorofani asimulia
Hadia Khamis na Mwantumu Saadi, Dar es Salaam
MWANAFUNZI wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Cecilia Mosha (26) aliyejirusha kutoka ghorofa ya tatu hadi chini kutokana na hofu ya moto uliotokea katika Hosteli ya Mabibo, amevunjika mfupa wa bega.
Mwanafunzi huyo alijirusha kupitia dirishani juzi katika harakati za kujiokoa na moto baada ya jengo la wasichana, Block A kushika moto huku wanafunzi wakiwa vyumbani wakiendelea na shughuli zao.
Akizungumza na MTANZANIA jana, Cecilia ambaye ni...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
5 years ago
BBCSwahili17 Feb
Coronavirus: Mwanafunzi wa Cameroon asimulia alivyopona
11 years ago
Habarileo06 Aug
Meneja, mwanafunzi UDSM kortini
MENEJA wa kituo cha mafuta cha Gudal Petrol Station cha Ubungo, Kibangu pamoja na mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), wamepandishwa kizimbani kwa mashitaka mawili likiwamo la wizi.
9 years ago
Global Publishers16 Dec
Mwanafunzi UDSM auawa kwa risasi
Mwanafunzi wa UDSM, Mutaengerwa Mafwiri enzi za uhai wake.
Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Mutaengerwa Mafwiri ameuawa kwa kupigwa risasi na watu wanaosadikiwa kuwa majambazi jana usiku eneo la Msewe jijini Dar es Salaam.
Akizungumza na www.globalpublishers.co.tz kwa njia ya simu, Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Kipolisi wa Kinondoni, Camillus Wambura amekiri kutokea kwa tukio hilo.
Kwa mujibu wa Kamanda Wambura tukio hilo lilitokea jana usiku majira ya saa mbili...
11 years ago
Tanzania Daima01 Jun
Mwanafunzi UDSM akutwa amekufa chumbani kwake
WATU wawili wamefariki dunia katika matukio tofauti jijini Dares Salaam akiwemo mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) Sekabenga Mwakimenya (22) kukutwa amekufa chumbani kwake. Kamanda wa Polisi...
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/-gJiCE87YYrABo22BHWuZ6WC2uuuDzwdk7AdPRoKEkjN7KxP3Xblwgfyj*1ILoqdzNZqEPCwDdx7PcYc25cH2OgPaY2PBL2X/Gaidi.jpg?width=650)
GAIDI ALIVYOJIRUSHA GHOROFANI
10 years ago
Vijimambo18 Mar
MWANACHUO ALIYEJIRUSHA KUTOKA GHOROFA YA TATU AVUNJIKA MFUPA WA BEGA
![](http://api.ning.com/files/afJNJUtdOc5wwPtZBOHxGAi7UgNMwN7-VdnynqZ5VP9h1a6L0q-cYNIgC8sVzebbCet8l5ze4OO8nD9k9-AUXGM9ZjChsyU3/MWANACHUO.png?width=650)
Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam , Cecilia Mosha (26) aliyejirusha kutoka ghorofa ya tatu hadi chini kutokana na hofu ya moto uliotokea katika Hosteli ya Mabibo, amevunjika mfupa wa bega. Mwanafunzi huyo alijirusha kupitia dirishani juzi katika harakati za kujiokoa na moto baada ya jengo la wasichana, Block B kushika moto. " Nilisikia kelele za moto...
9 years ago
Habarileo15 Sep
Mtuhumiwa ugaidi ajirusha ghorofani
POLISI Kanda Maalumu ya Dar es Salaam imewakamata watuhumiwa 26 wanaojihusisha na vitendo vya ugaidi, huku Ally Ulatule anayetajwa kama kinara wa vikundi hivyo akijaribu kutoroka au kujiua kwa kujirusha kutoka ghorofa ya tatu wakati akihojiwa na polisi.
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/JQbgrkxt9ufR-VOe7vO0xN3z5Sr6Y48PCFFBVQbAoUu4*2he-GmL-799uLFLv4*2MhNsvHOHZXZyjkvwCzkl4zPouGZDb-k-/baba.jpg?width=650)
BABA AMRUSHA MWANAYE GHOROFANI
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/afJNJUtdOc5wwPtZBOHxGAi7UgNMwN7-VdnynqZ5VP9h1a6L0q-cYNIgC8sVzebbCet8l5ze4OO8nD9k9-AUXGM9ZjChsyU3/MWANACHUO.png?width=650)
POLE: MWANACHUO ALIYEJIRUSHA KUTOKA GHOROFA YA TATU AVUNJIKA MFUPA WA BEGA