GAIDI ALIVYOJIRUSHA GHOROFANI
![](http://api.ning.com:80/files/-gJiCE87YYrABo22BHWuZ6WC2uuuDzwdk7AdPRoKEkjN7KxP3Xblwgfyj*1ILoqdzNZqEPCwDdx7PcYc25cH2OgPaY2PBL2X/Gaidi.jpg?width=650)
Makongoro Oging’ na Haruni Sanchawa. Katika hali isiyokuwa ya kawaida, Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam chini ya Kamishna Suleman Kova wameachwa midomo wazi baada ya mtuhumiwa wa ugaidi, Ali Mohamed Uletule (65) kujirusha kutoka ghorofa ya tatu na kudondoka chini kwa lengo la kutaka kutoroka, Uwazi lina mkanda kamili. Mtuhumiwa huyo akiwa hoi baada ya kujirusha. Tukio hilo lilijiri wiki iliyopita wakati Uletule...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/JQbgrkxt9ufR-VOe7vO0xN3z5Sr6Y48PCFFBVQbAoUu4*2he-GmL-799uLFLv4*2MhNsvHOHZXZyjkvwCzkl4zPouGZDb-k-/baba.jpg?width=650)
BABA AMRUSHA MWANAYE GHOROFANI
9 years ago
Habarileo15 Sep
Mtuhumiwa ugaidi ajirusha ghorofani
POLISI Kanda Maalumu ya Dar es Salaam imewakamata watuhumiwa 26 wanaojihusisha na vitendo vya ugaidi, huku Ally Ulatule anayetajwa kama kinara wa vikundi hivyo akijaribu kutoroka au kujiua kwa kujirusha kutoka ghorofa ya tatu wakati akihojiwa na polisi.
10 years ago
Mtanzania18 Mar
Mwanafunzi UDSM aliyejirusha ghorofani asimulia
Hadia Khamis na Mwantumu Saadi, Dar es Salaam
MWANAFUNZI wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Cecilia Mosha (26) aliyejirusha kutoka ghorofa ya tatu hadi chini kutokana na hofu ya moto uliotokea katika Hosteli ya Mabibo, amevunjika mfupa wa bega.
Mwanafunzi huyo alijirusha kupitia dirishani juzi katika harakati za kujiokoa na moto baada ya jengo la wasichana, Block A kushika moto huku wanafunzi wakiwa vyumbani wakiendelea na shughuli zao.
Akizungumza na MTANZANIA jana, Cecilia ambaye ni...
9 years ago
Mwananchi14 Sep
Mtuhumiwa wa ugaidi ajaribu kujiua kwa kujirusha ghorofani
10 years ago
Mtanzania28 Mar
‘Gaidi’ wa Amboni Tanga mbaroni
NA OSCAR ASSENGA, HANDENI
JESHI la Polisi mkoani Tanga, limedai kufanikiwa kumkamata mmoja wa watuhumiwa aliyehusika kwenye tukio lenye sura ya kigaidi katika mapango ya Amboni.
Zaidi Jeshi hilo limemuhusisha mtuhumiwa huyo na tukio la uporaji silaha kwa askari waliokuwa doria eneo la barabara ya nne na tano Mtaa wa Makoko jijini Tanga, Januari 26 mwaka huu.
Takribani mwezi mmoja uliopita, tukio hilo la Amboni ambalo msingi wa kujulikana kwake ulitokana na kuporwa kwa silaha hizo,...
10 years ago
BBCSwahili05 Apr
Tishio la gaidi lakatiza ibada Mombasa
9 years ago
BBCSwahili26 Aug
Msichana wa miaka 16 akiri kuwa gaidi
10 years ago
Raia Mwema01 Jul
Neno ‘gaidi’ linavyopotoshwa nchini Marekani
HIVI karibuni nchini Marekani, kijana wa kizungu mwenye umri wa miaka 21, Dylann Roof, aliingia
Nizar Visram
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Uf5Jdma8M33kYTSd6sLgUZr**d-z97HrHDBwwVdeKph3W2mMERjkj1mE6SqA4XJWMYd4185LGddfQvfUKcolUbTciizWanKY/FRONTUWAZI.jpg?width=650)
GAIDI WA KISOMALI AUAWA, AZIKWA KWA SIRI