Mwanahabari aliyeandika kuhusu ufisadi Kenya akamatwa
Mwanahabari mashuhuri nchini Kenya anazuiliwa na maafisa wa usalama Kenya baada ya kudaiwa kuchapisha habari kuhusu tuhuma za ufisadi serikalini.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
5 years ago
CCM Blog30 May
MWANAHABARI WA CNN AKAMATWA AKIRIPOTI MUBASHARA
![Ubaguzi waendelea Marekani, mwanahabari wa CNN akamatwa akiripoti mubashara](https://media.parstoday.com/image/4bv98989ff41411nvbg_800C450.jpg)
11 years ago
BBCSwahili14 May
ICC:Mwanahabari wa Kenya kukamatwa
Mahakama nchini Kenya imetoa kibali cha kukamatwa kwa mwandishi wa habari Walter Barasa anayetuhumiwa kwa kuwahonga mashahidi wa ICC katika kesi inayomkabili naibu Rais William Ruto.
11 years ago
BBCSwahili03 Feb
EU yaonya kuhusu ufisadi Ulaya
Kamishna wa bara ulaya anayesimamia maswala ya ndani ya bara hilo ameonya kuhusu viwango vikuu vya ufisadi miongoni mwa nchi wanachama wa bara hilo.
9 years ago
BBCSwahili15 Dec
Mshukiwa akamatwa kuhusu mauaji ya Paris
Polisi nchini Ufaransa wamemkamata mwanamume eneo la Paris kwenye uchunguzi wao kuhusu mashambulio ya Novemba 13.
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/sc-xA_49dck/default.jpg)
11 years ago
BBCSwahili06 Aug
Mshukiwa wa Al shabaab akamatwa Kenya
Maafisa wa polisi nchini Kenya wanasema wamemnasa mshukiwa mkuu wa Al-Shabaab ambaye aliingia nchini humo kutafuta matibabu.
10 years ago
BBCSwahili16 Mar
Mshukiwa wa Al Shabab akamatwa Kenya
Mshukiwa mmoja wa kundi la wapiganaji wa Al Shabab amekamatwa kufuatia shambulizi la kigaidi Kaskazini mwa Kenya
10 years ago
BBCSwahili19 Jun
Mawaziri 2 washtakiwa na ufisadi Kenya
Waziri wa ardhi nchini Kenya aliyesimamishwa kazi Charity Ngilu amefikishwa mahakamani na kujibu mashtaka ya kuwazuia maafisa wa shirika la kupambana na ufisadi kuchunguza stakabadhi za ardhi moja ambayo umiliki wake una utata jijini Nairobi
10 years ago
BBCSwahili25 May
Ufisadi:Mawaziri 4 kushtakiwa Kenya
Kiongozi wa mashtaka nchini kenya amesema kuwa mawaziri wanne watashtakiwa kwa makosa ya ufisadi.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania