Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MWANAHABARI WA CNN AKAMATWA AKIRIPOTI MUBASHARA

Ubaguzi waendelea Marekani, mwanahabari wa CNN akamatwa akiripoti mubasharaPolisi nchini Marekani wameendeleza vitendo vya kuwabagua Wamarekani wenye asilia ya Afrika na mara hii mwanahabari wa Televisheni ya CNN amekamatwa akiwa anarusha ripoti hewani mubashara kuhusu ghasia za kupinga ubaguzi wa rangi huko Minneapolis.Kwa mujibu wa taarifa Omar Jimenez, mwanahabari wa CNN alikuwa anarusha hewani ripoti mubashara kuhusu ukatili wa Polisi ya Marekani dhidi ya Wamarekani wenye asili ya Afrika wakati alipotiwa mbaroni na polisi.Katika tukio hilo la Ijumaa Omar...

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Mwanahabari aliyeandika kuhusu ufisadi Kenya akamatwa

Mwanahabari mashuhuri nchini Kenya anazuiliwa na maafisa wa usalama Kenya baada ya kudaiwa kuchapisha habari kuhusu tuhuma za ufisadi serikalini.

 

11 years ago

GPL

OFM KAZINI; KAMANDA WA OFM AKIRIPOTI JINSI ALIVYOMNASA MZUNGU AKIWA NA DENTI

Mshuhudie Kamanda hatari wa OFM aliyepania kuibadilisha Tanzania, akiripoti tukio la aina yake ambapo mara hii amemnasa mzungu aliyekuwa na denti wa kidato cha tatu gesti, tena usiku wa manane! Ungana na Global TV Online kupata full stori!

 

9 years ago

Africanjam.Com

CNN APOLOGISES TO KENYA


Cable News Network (CNN) has apologized to Kenya over a recent terrorism slur.In a televised CNN report preceding President Obama’s July trip to Kenya, the news network has referred to the East African country as a “hotbed of terror” while highlighting the possibility of an attack by Al-Shaabab militants during the President’s visit.
Kenyans were not amused by CNN’s labeling and immediately took to social media to hurl insults and sarcastic humor at CNN under the hashtag #SomeoneTellCNN,...

 

11 years ago

BBCSwahili

ICC:Mwanahabari wa Kenya kukamatwa

Mahakama nchini Kenya imetoa kibali cha kukamatwa kwa mwandishi wa habari Walter Barasa anayetuhumiwa kwa kuwahonga mashahidi wa ICC katika kesi inayomkabili naibu Rais William Ruto.

 

11 years ago

BBCSwahili

Misri kumuachilia mwanahabari wa Al Jazeera

Kiongozi wa mashtaka ya umma wa Misri ameamuru kuachiliwa kwa mwanahabari wa Al-jazeera Abdullah Elshamy kwa misingi ya kiafya.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wakili anayemtetea mwanahabari avamiwa

WAKILI, Karoli Mluge, anayemtetea mwandishi wa habari, Edith Majura, katika kesi ya kudai makazi yake kwa wasimamizi wa mirathi ya baba mzazi wa watoto wake wawili, marehemu Samweli Komba, amevamiwa...

 

11 years ago

BBCSwahili

Mwanahabari mfaransa auawa CAR

Baraza la usalama la Umoja wa Mataifa limelaani mauaji ya mwanahabari raia wa Ufaransa katika Jamuhuri ya Afrika ya Kati.

 

9 years ago

BBCSwahili

Mwanahabari wa Ufaransa ‘afukuzwa’ Uchina

Mwanahabari anayetoka Ufaransa amezuiwa kuendelea kufanya kazi nchini Uchina wiki chache baada yake kuandika makala akikosoa sera za taifa hilo.

 

9 years ago

BBCSwahili

Mchezaji aliyemtongoza mwanahabari aadhibiwa

Nahodha wa zamani wa timu ya kriketi ya West Indies, Chris Gayle amepigwa faini baada yake kumtongoza mwanahabari wakati wa mahojiano ya moja kwa moja.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani