Mwanahabari mfaransa auawa CAR
Baraza la usalama la Umoja wa Mataifa limelaani mauaji ya mwanahabari raia wa Ufaransa katika Jamuhuri ya Afrika ya Kati.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania16 Nov
Samatta, Ulimwengu wamdatisha Mfaransa
NA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM
KOCHA Mkuu wa timu ya Taifa ya Algeria ‘The Desert Foxes’, Christian Gourcuff, ameukubali uwezo ulioonyeshwa na wachezaji wa Tanzania ‘Taifa Stars’ wakiwemo nyota wa kikosi hicho, Mbwana Samatta na Thomas Ulimwengu.
Kauli ya Mfaransa huyo imekuja baada ya Stars kutoa sare ya mabao 2-2 dhidi ya kikosi chake kwenye mchezo wa kufuzu Fainali za Kombe la Dunia 2018 nchini Urusi uliofanyika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam juzi.
Licha ya Samatta kufunga moja ya...
11 years ago
Tanzania Daima03 Jul
Mfaransa afanya shoo mitaani Dar
MWANAMICHEZO kutoka nchini Ufaransa, leo anatarajiwa kuonesha shoo ya bure ya utundu wa kuchezea mpira katika mitaa mbalimbali huku akicheza sarakasi na kucheza dansi. Mfaransa huyo Sean Garnier aliyetua nchini...
10 years ago
Mwananchi02 Feb
Claude LeRoy: Mfaransa mwenye heshima Afrika
11 years ago
Tanzania Daima03 Jul
Mfaransa kizimbani kwa kumjeruhi dada wa kazi
FOLKERSMAN Laurent (41), mkazi wa Tabata raia wa Ufaransa, amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam, akikabiliwa na makosa ya kumpiga na kumjeruhi mfanyakazi wake...
11 years ago
Habarileo03 Jul
Mfaransa atuhumiwa kumdhuru mfanyakazi wake wa ndani
RAIA wa Ufaransa , Folkertsma Laurent (41), amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Ilala, jijini Dar es Salaam, kujibu mashitaka ya kumdhuru mfanyakazi wake wa ndani.
10 years ago
Dewji Blog21 Jul
Mfaransa kuinoa stand United, ni chini ya ufadhili wa ACACIA
![](http://3.bp.blogspot.com/-eogiPeGfKbY/Vaz8FxNwNkI/AAAAAAAAWYo/8NKf1UZ-bAA/s640/b3.jpg)
KOCHA Mfaransa, Patrick Liewig, akizungumzia mikakati yake ya kiufundi baada ya kusaini mkataba wa miaka miwili kuifundisha timu ya soka ya Stand United ya Shinyanga, kwenye makao makuu ya kampuni ya Acacia jijini Dar es Salaam jana Jumatatu Julai 20, 2015. Mkataba huo ni chini ya udhamini mnono wa kampuni ya Acacia, inayomiliki migodi mitatu ya kuchimba dhahabu ya Bulyanhulu, Buzwagi na North Mara.
Na K-VIS MEDIA
KLABU ya soka ya Stand United ya mjini Shinyanga, imesaini mkataba wa...
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-OCyHcf_ShvE/VY1lr5IjeBI/AAAAAAAAQIY/cFi8as_xZQk/s72-c/CAR%2B1.jpg)
MAN LEAVES HIS CAR AT CAR WASH,CAME BACK TO THIS
![](http://4.bp.blogspot.com/-OCyHcf_ShvE/VY1lr5IjeBI/AAAAAAAAQIY/cFi8as_xZQk/s640/CAR%2B1.jpg)
11 years ago
Dewji Blog03 Jul
Mfaransa Sean Garnier aja Tanzania kuonyesha umahiri wa kucheza mpira wa mtaani huku akibinuka sarakasi na kucheza dansi
![](http://4.bp.blogspot.com/-QPs1TCNPQ_s/U7SMT4j_A3I/AAAAAAAA8q4/sZAuSqbdn_o/s1600/IMG_0323.jpg)
Meneja Masoko wa Kampuni ya Mohan’s John Ntuli (kulia) akizungumza na waandishi wa habari wakati wa kumtambulisha Mwanamichezo kutoka nchini Ufaransa Sean Garnier (katikati) ambaye yuko nchini Tanzania kwa ziara maalum ya kimichezo. Pembeni ni Mkurugenzi wa Masoko Kampuni ya Mohan’s Vijay Joshi.
![](http://4.bp.blogspot.com/-MC27xq5WgXg/U7SMj-6jXtI/AAAAAAAA8rI/HFjggw3kBL0/s1600/IMG_0331.jpg)
Mwanamichezo kutoka nchini Ufaransa Sean Garnier (katikati) ambaye yuko nchini Tanzania kwa ziara maalum ya kimichezo akifafanua machache mbele ya waandishi wa habari mara baada ya...
11 years ago
GPL![](http://4.bp.blogspot.com/-QPs1TCNPQ_s/U7SMT4j_A3I/AAAAAAAA8q4/sZAuSqbdn_o/s1600/IMG_0323.jpg)
MFARANSA SEAN GARNIER AJA TANZANIA KUONYESHA UMAHIRI WA KUCHEZA MPIRA WA MTAANI HUKU AKIBINUKA SARAKASI NA KUCHEZA DANSI