Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwanamke aliyepona corona azungumza

Huku virusi vipya vya corona vikiendlea kusambaa kote duniani na kuchukua maisha ya watu, pia kuna maelfu ya watu ambao wameweza kupona.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: Jinsi damu ya mtu aliyepona corona inavyoweza kuwa tiba

Matumaini ni kwamba molekyuli walizozitengeneza zitasaidia kupambana na virusi vilivyo kwa wengine.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Simulizi ya mlimbwende wa zamani wa Rwanda aliyepona virusi

Viviane Uwizeye anasema binafsi aliwaita wahudumu wa afya baada ya kuhisi ana dalili za Covid-19

 

10 years ago

Vijimambo

BARAZA KUU LA USALAMA LAJADILI NAFASI YA MWANAMKE: PINDI CHANA AZUNGUMZA

Taswira ya Ukumbi wa Baraza Kuu la Usalama ulivyosheheni wajumbe na Washiriki wa Majadiliano kuhusu Azimio la Wanawake, Usalama na Amani, majadiliano ambayo pia yalihudhuriwa na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki Moon na wawakilishi kutoka mataifa mbalimbali.Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Mhe. Pindi Chana akizungumza mbele ya Baraza Kuu la Usalama la Umoja wa Mataifa, wakati Baraza hilo lilipokutana kwa siku zima ya Jumanne kujadili Azimio 1325, Azimio ...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: Mfahamu mwanamke aliyebaini virusi vya corona kabla ya Covid-19

June Almeida alikuwa bingwa wa ugunduzi wa virusi, lakini alikuwa amesahaulika mpaka mlipuko wa corona ulipoibuka ndio akakumbukwa.

 

11 years ago

BBCSwahili

Aliyepona Ebola akimbiwa na kutengwa

Baadhi ya walioambukizwa ugonjwa wa ebola wamepona lakini pamoja na kupona bado haiwafanyi kukwepa kunyanyapaliwa.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Walivuta matititi yangu na kusema, 'Wewe ni mwanamke '

Amri ya kutotoka nje inawaruhusu wanawake wa wanaume Panama kubadilishana kwa siku kutoka nje - lakini watu walio na jinsia mbili hali imekua ngumu kwao.

 

11 years ago

BBCSwahili

Muingereza aliyepona Ebola kurejea Afrika

Mwanaume wa kwanza Muingereza kuambukizwa Ebola, akiwa Afrika anatarajiwa kurejea Afrika ambako aliambukizwa.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona Ecuador: Wakati familia zinatafuta wapendwa wao mwanamke apatikana akiwa hai

Ecuador ikiwa imeathirika vibaya na ugonjwa wa Covid-19 familia ziko mbioni kutafuta miili ya wapendwa waohuku mama aliyesemekana amekufa akipatikana akiwa hai.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Mwanamke Aliyezaa watoto wawili na Assange kwa siri ubalozini aeleza hofu yake

Mwanasheria Stella Morris anasema wawili hao walianza mapenzi yao mwaka 2015 wakati Asange akiwa mafichoni kwenye ubalozi wa Ecuador jijini London.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani