Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwanamke kujengwa kiuchumi Mbagala

Tamasha la Mwanamke na Akiba, limeweka mikakati ya kumuelimisha mwanamke kuhusu umuhimu wa kuweka akiba na kujitengenezea fursa mbalimbali za kiuchumi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Mimute na harakati za kumkomboa mwanamke kiuchumi

VITENDO vya unyanyasaji, ukatili dhidi ya wanawake  ni matokeo ya mila gandamizi ambazo ni kikwazo katika ukombozi wa wanawake kiuchumi,mkijamii na kisiasa. Wanawake wengi hasa waishio vijijini, wamekua wakipigwa ovyo,...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Angels Moment kumkomboa mwanamke kiuchumi

LICHA ya  jamii kuwa katika harakati ya kupiga  vita  aina zote za unyonyaji na ukandamizaji dhidi ya wanawake, bado hali hiyo inaongezeka  na kuendelea kushika kasi  nchini. Hali hii hufanya ...

 

11 years ago

Michuzi

mama asha bilali afungua Tamasha la mwanamke na akiba leo Dar Live, Mbagala

 Mkurugenzi  Mkuu wa Angles Moments  Naima Malima  akisoma risala ya kumkaribisha mgeni rasmi Mke wa Makamo wa Rais, Mama Asha Bilali katika ufunguzi wa  tamasha la Mwanawake weka akiba litakalofanyika kwa siku tatu katika viwanja vya Dar live Mbagala.   Mke wa makamu wa Rais Mama Asha Bilali ambaye alikuwa mgeni rasmi wa Tamasha la   Mwanawake weka akiba, akisoma hotuba  ya ufungunzi wa tamasha hilo,leo jijini Dar es salaam katika viwanja vya Dar live Mbagala.  Mke wa Waziri Mkuu...

 

11 years ago

GPL

MWANAMKE ALIYEMKWAPULIA 20,000/= MWANAMKE MWENZAKE ‘ATAITIWA’ DAR

Umati wa watu ukiwa unashangaa kitendo cha mwanadada (kushoto mwenye kitambaa cha zambarau kichwani) aliyemkwapulia 20,000 mwenzake.  Wengine wakitaka apigwe kama mwizi, wengine wakiomba asamehewe.…

 

11 years ago

GPL

TUZO YA MWANAMKE BORA, HESHIMA YA KWELI YA MWANAMKE, PINDA NI MSOMI WA UWAZI

Mgeni rasmi, Waziri Mkuu Mizengo Pinda, akihutubia kabla ya kukabidhi tuzo. Na Luqman Maloto Mwanamke wa…

 

11 years ago

Mwananchi

Barabara mbadala kujengwa

Adha ya msongamano katika Jiji la Dar es Salaam imeanza kupatiwa ufumbuzi baada ya Wakala wa Barabara nchini (Tanroads) kuanza kuzifanyia matengenezo barabara mbadala ambazo zitatumika kupunguza hali hiyo.

 

10 years ago

Mwananchi

Maghala ya mafuta kujengwa nchini

Kampuni ya ENOC Africa inayojihusisha na ununuzi wa mafuta, gesi na usafirishaji nchini imejipanga kupanua shughuli zake kwa kujenga maghala ya kuhifadhia bidhaa ya mafuta ya petroli, jitihada zitakazohakikisha kuwa Tanzania na nchi za jirani zinakuwa na akiba ya kutosha katika miezi miaka michache ijayo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Sinza kujengwa barabara za lami

MEYA wa Kinondoni, Yusuph Mwenda, amesema Kata ya Sinza inatarajiwa kuwa na mfumo wa barabara za kiwango cha lami za kisasa zitakazowekwa kutokana na vyanzo vya fedha za ndani na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani