Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Barabara mbadala kujengwa

Adha ya msongamano katika Jiji la Dar es Salaam imeanza kupatiwa ufumbuzi baada ya Wakala wa Barabara nchini (Tanroads) kuanza kuzifanyia matengenezo barabara mbadala ambazo zitatumika kupunguza hali hiyo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Sinza kujengwa barabara za lami

MEYA wa Kinondoni, Yusuph Mwenda, amesema Kata ya Sinza inatarajiwa kuwa na mfumo wa barabara za kiwango cha lami za kisasa zitakazowekwa kutokana na vyanzo vya fedha za ndani na...

 

10 years ago

Vijimambo

BARABARA YA IGAWA — UBARUKU KUJENGWA KWA LAMI.


Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli (pichani) amesema serikali itajenga barabara ya Igawa hadi Ubaruku KM 18 kwa kiwango cha lami ili kuinua fursa za uchumi za wilaya ya Mbarali na kuwezesha magari makubwa kupita kwa urahisi kufuata mazao katika eneo hilo.Waziri Dkt. Magufuli amesema hayo katika ziara yake inayoendelea mkoani Mbeya ambapo leo ameweka jiwe la msingi  ujenzi wa barabara ya igawa-ubaruku  yenye urefu wa KM 18 na kusisitiza barabara hiyo ni muhimu kwa uchumi wa mkoa wa...

 

9 years ago

GPL

BARABARA YA JUU (FLY OVER) KUJENGWA TAZARA, DAR

Ramani ya Barabara ya Juu (Fly Over) itakavyokuwa baada ya ujenzi kukamilika unaoanza mwezi ujao kukamilika Oktoba  2018. Mkataba wa ujenzi wa barabara hiyo utakaogharimu sh. bilioni 100 umesainiwa jana chini ya usimamizi wa Waziri wa Ujenzi, Dk John Magufuli Waziri wa Ujenzi, ambaye pia ni Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli (aliyesimama katikati) akishuhudia utiaji wa saini mkataba wa ujenzi wa barabara...

 

11 years ago

Mwananchi

Barabara ya Moshi Baa hadi Mombasa kujengwa - Silaa

Manispaa ya Ilala inatarajiwa kutumia zaidi ya Sh91.5 milioni kwa ajili ya ujenzi wa barabara ya kilomita tatu ya Moshi Baa hadi Mombasa.

 

5 years ago

CCM Blog

DARAJA LIKIENDELEA KUJENGWA BARABARA KUU YA DODOMA NA MOROGORO

   Kazi ya Kutengeneza Daraja Lililokatika Barabara Kuu ya Dodoma- Morogoro Inaendelea Vizuri....Barabara Hiyo Itafunguliwa muda wowote kuanzia sasa  Usiku huu

 

10 years ago

Habarileo

Barabara zaidi za lami kujengwa kuokoa muda, fedha

RAIS Jakaya Kikwete amesema Serikali itaendelea na jitihada za ujenzi wa barabara za lami, kupanua shughuli za kiuchumi na kuendeleza dhana ya maisha bora kwa kila Mtanzania.

 

5 years ago

Michuzi

Kilomita 39 za Barabara za Lami Zaanza Kujengwa Mji wa Serikali Mtumba Dodoma

Ujenzi wa barabara za lami katika mji wa Serikali Mtumba Jijini Dodoma  waanza kwa kasi ili kuimarisha mawasiliano na huduma kwa wananchi.
Akizungumza leo Machi 20, 2020 katika mahojiano maalum, Katibu wa Kikosi Kazi cha Taifa cha Kuratibu Mpango wa Serikali kuhamia Dodoma Bw. Meshack  Bandawe amesema kuwa ujenzi huo  unahusisha barabara zenye urefu wa kilomita 39 ndani ya mji huo.
 “Serikali inaimarisha miundombinu ndani ya mji wa Serikali ikiwemo ujenzi wa barabara  za njia mbili zenye urefu...

 

11 years ago

Michuzi

BARABARA ZAIDI ZA KUPUNGUZA MSONGAMANO WA MAGARI KUENDELEA KUJENGWA JIJINI DAR

Waziri wa Ujenzi Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli (aliyenyoosha mikono) akitoa taarifa kuhusu maendeleo ya utekelezaji wa ujenzi wa barabara za kupunguza msongamano katika jiji la Dar es Salaam wakati alipokutana na Kamati ya Bunge ya Miundombinu. Kulia kwa Waziri Magufuli ni Naibu Waziri wa Wizara ya Ujenzi Eng. Gerson Lwenge na anayefuata ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Eng. Joseph Nyamhanga. Kushoto kwa Waziri ni Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Miundombinu Mhe. Peter Serukamba na...

 

10 years ago

Vijimambo

DARAJA LA KISASA KUJENGWA BAHARINI ENEO LA AGHA KHAN HADI BARABARA YA KENYATA

Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli akionesha sehemu ambazo daraja hilo jipya litakapojengwa pembezoni mwa daraja la Selander kuanzia hospitali ya Aghakan hadi barabara Kenyata. Sehemu ya Daraja hilo pekee litakuwa na urefu wa km 1.03Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Dkt.Servacius Likwelile akiwa na ujumbe kutoka Serikali ya Korea Kusini pamoja na Wizara ya Ujenzi mara baada ya kusaini Mkataba wa Muhtasari wa Majadiliano leo jijini Dar es Salaam.Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Dkt.Servacius...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani