Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwanamume akiwa wodi ya wazazi ni sawa na askari mwoga aliyeenda vitani

Kulingana na desturi za Kiafrika, mjamzito anapopatwa na uchungu, mama, dada au shangazi huwa ni watu muhimu wanaomsindikiza hospitali kwenda kujifungua.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Mwanamume mwenye jina sawa na Taylor Swift

Mwanamume mmoja nchini Marekani amekuwa akikabiliwa na wakati mgumu kutokana na kuwa na jina sawa na mwanamuziki Taylor Swift.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Chibulunje ataka wodi ya wazazi

SERIKALI imeshindwa kujenga jengo la wodi ya wazazi katika hospitali ya Rufaa Mkoani hapa  kwa miaka minane iliyopita. Hata hivyo mpaka sasa haijulikani ujenzi huo utakamilika lini kwani kutokuwepo kwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kunguni watesa wodi ya wazazi

WODI ya wazazi katika Hospitali ya Wilaya ya Igunga, mkoani Tabora inakabiliwa na matatizo ya wadudu aina ya kunguni. Wakizungumza kwa nyakati tofauti katika wodi hiyo, mwanamke mmoja aliyejitambulisha kwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Exim yaisaidia wodi ya wazazi Mwananyamala

BENKI ya Exim ya Tanzania imeadhimisha Sikukuu ya Mama Duniani kwa kuchangia magodoro 60 katika wodi ya wazazi ya Hospitali ya Mwananyamala, Dar es Salaam. Kwa sasa, hospitali hiyo ambayo...

 

11 years ago

GPL

WODI YA WAZAZI HOSPITALI YA MWANANYAMALA WAKABIDHIWA VIFAA

Wauguzi wa Hospitali ya Mwananyamala wakifurahi baada ya kukabidhiwa vifaa maalumu kwa ajili ya huduma ya uzalishaji. Baadhi ya manesi wakiwa na mwakilishi wa Upendo Women's Group Belgium baada ya kukabidhi vifaa kwa ajili ya kupunguza matatizo ya kina mama wajawazito…

 

10 years ago

GPL

SAA WATOA MADAWA KWA WODI YA WAZAZI TEMEKE

Mlezi wa chama cha Washereheshaji Nchini Tanzania ‘Sherehe Arts Association(SAA), Ahmed chombo (mwenye shati la drafti) akikabidhi dawa katika hospitali ya Temeke. Mganga mfawidhi, Amani Malima (wa pili kulia) akipokea dawa hizo na kuahidi kuzifikisha kwa walengwa.…

 

11 years ago

Mwananchi

Machafuko nje; askari 9 wa JWTZ wauawa vitani 2013

>Itakumbukwa Tanzania ilishiriki katika kuondoa machafuko katika nchi mbalimbali hasa DRC Kongo, Sudan na Sudan Kusini kutokana na azimio la Umoja wa mataifa la kulinda amani katika mataifa yenye machafuko ya amani namba 6&7.

 

10 years ago

Michuzi

WIZARA YA AFYA ZANZIBAR YATILIANA SAINI MAKUBALIANO YA UJENZI WA WODI YA WATOTO NA WAZAZI

Katibu Mkuu Wizara ya Afya Zanzibar Dkt. Saleh M. Jidawi (wa kulia waliokaa) na Meneja wa Kampuni ya Simed International Services ya Uholanzi Nd. Michor Pleijzer wakitia saini mkataba wa uboreshwaji wa wodi ya wazazi na watoto Unguja na Pemba huku wakishuhudiwa na Waziri wa Afya Rashid Seif Suleiman na Balozi wa Uholanzi Nchini Tanzania Mr. Jaap Frederiks katika hafla iliyofanyika Wizara ya Afya Mjini Zanzibar. Katibu Mkuu Wizara ya Afya Zanzibar Dkt. Saleh M. Jidawi (kulia)na Meneja wa...

 

10 years ago

Vijimambo

Wizara ya Afya Zanzibar Yatiliana Saini ya Makubaliano ya Ujenzi Wodi ya Watoto na Wazazi.

Balozi wa Uholanzi Nchini Tanzania Mr. Jaap Frederiks akizungumza na baadhi ya watendaji wakuu wa Wizara ya Afya kabla ya utiaji saini makubaliano ya uboreshwaji wa wodi ya wazazi na watoto Unguja na Pemba, hafla hiyo imefanyika Wizara ya Afya Zanzibar.Katibu Mkuu Wizara ya Afya Zanzibar Dkt. Saleh M. Jidawi (wa kulia waliokaa) na Meneja wa Kampuni ya Simed International Services ya Uholanzi Nd. Michor Pleijzer wakitia saini mkataba wa uboreshwaji wa wodi ya wazazi na watoto Unguja na Pemba...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani