Mwanamuziki hodari wa Kenya apofuka
Je unamkumbuka mwanamuziki hodari wa Kenya Teddy Kalanda na bendi yake ya Them Mushrooms?
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/--yg8ggibPlI/VBsGkgzLPKI/AAAAAAABZgc/ECW2NAXNiOU/s72-c/uhuru%2B2.jpg)
MWANAMUZIKI MAARUFU WA MAREKANI AKONI AMTEMBELEA RAIS WA KENYA UHURU KENYATA
![](http://2.bp.blogspot.com/--yg8ggibPlI/VBsGkgzLPKI/AAAAAAABZgc/ECW2NAXNiOU/s640/uhuru%2B2.jpg)
10 years ago
BBCSwahili26 Jun
Wamaasai ni wasusi hodari Tz
10 years ago
BBCSwahili10 Jun
Sokwe ni walevi Hodari :Utafiti
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/JcikeZL6OiLReFOV2YALf9ab7jvq0EoZPbHjRBu0yDF6nXH1xaDy1ZXZX2FPq3CdNphw-ojWhyOm0r4IRG1NcDXn30jPyjgH/Mastaa.jpg?width=650)
MASTAA HODARI WA KUFICHA MIMBA
11 years ago
Habarileo23 Apr
Seif atajwa mtetezi hodari serikali 2
MAKAMU wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Seif Sharif Hamad, ametajwa katika Bunge Maalumu la Katiba, kuwa miongoni mwa viongozi wa mstari wa mbele kupinga muundo wa serikali tatu mwaka 1984, huku akiwaita wanaoutaka kuwa ni wahaini wanaostahili kuchukuliwa hatua.
10 years ago
Vijimambo10 Aug
Lowassa: CCM hodari wa kuiba kura
![](http://www.mwananchi.co.tz/image/view/-/2826456/highRes/1085316/-/maxw/600/-/o1sbuaz/-/lowassa.jpg)
Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharif Hamad na mgombea urais wa muungano wa Ukawa, Edward Lowassa wakiwapungia mkono wananchi waliofurika makao makuu ya CUF, Buguruni jijini Dar es Salaam jana. Picha na Anthony Siame Kwa ufupiLubuva ataka aeleze jinsi wizi unavyofanyikaMtikisiko mwingine CCM, Mwenyekiti Arusha atimkaBy Nuzulack Dausen na Suzan Mwillo, Mwananchi
Dar es Salaam. Mgombea wa urais kupitia Chadema, Edward Lowassa ameituhumu CCM kuwa ni hodari wa kuiba kura hivyo akawataka wananchi...
10 years ago
Mwananchi08 Jul
‘Balozi Mahiga alikuwa hodari tangu shuleni’
10 years ago
Bongo Movies27 Mar
Hawa Ndio Mastaa Hodari Kuficha Mimba
Kupata mimba ni jambo la heri na heshima kwa mwanamke. Mwanamke anaposhika mimba hujiona amekamilika lakini yule ambaye siku zinakwenda lakini kila akitega hanasi, hujisikia vibaya.
Hata hivyo, suala la ujauzito limekuwa likipokewa kwa hisia tofauti na mastaa wa Bongo. Wapo ambao wakipata mimba, dunia nzima itajua. Watajipiga picha na kuzitundika mtandaoni huku kila sehemu zenye mikusanyiko wakijiachia.
Lakini wapo ambao wakinasa, hata shughuli zao zinasimama. Hutawaona mtaani, wakiulizwa...