MWANAMUZIKI MARIAH CAREY APATA WAKATI MGUMU PALE ALIPOTELEZA KWENYE NGAZI
![](http://2.bp.blogspot.com/-pFDRfNBrd2Q/VZUK0qWPydI/AAAAAAABBxo/VNhC0HNmT_0/s72-c/Bi.jpg)
Mwanamuziki Mariah Carey amepata wakati mgumu pale alipoteleza kwenye ngazi za boti ya kifahari ya mpenzi, huku mpenzi wake huyo James Packer akibaki anamuangalia tu wakati akipata msaada wa mmoja wa walinzi.
Mlinzi huyo alikuwa na kazi kubwa ya kumsaidia Mariah asidondoke
Wakati Mariah akijaribu kujinusuru asianguke huku akiwa amevalia viatu vyenye visigino virefu bilionea Packer (47) alikuwa amekaa tu akipata mionzi ya jua katika boti yake hiyo huku akimuangalia mpenzi wake...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi09 Aug
Mkwasa apata wakati mgumu
9 years ago
Mwananchi14 Sep
Dk Kigwangala apata wakati mgumu kuitetea CCM
10 years ago
Bongo513 Oct
Mariah Carey — kufuli nje nje kwenye show ya China (Picha)
10 years ago
Bongo505 Jun
New Video: Mariah Carey — Infinity
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/lgc1mBk2ypmWdrZxG8BRRcy46E9aMJyHrEOzXssicvUp8d-yNGLgK8rThA9958jxdiq7QEz0BYAN71iqoROkin6aT3I-ypfE/mariahcareystylehasdinneratcraigsrestaurantjan.2015_1.jpg?width=650)
MARIAH CAREY: SASA NAWEZA KUPENDA
10 years ago
Africanjam.Com![](http://2.bp.blogspot.com/-r49MQBx0NiY/VUMvsIpbb9I/AAAAAAAABa8/96cdH4DNJII/s72-c/Mariah-Carey-%E2%80%93-Infinity.jpg)
9 years ago
Bongo517 Dec
Mariah Carey to perform in South Africa in 2016
![mariah SA](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/mariah-SA-300x194.jpg)
On Monday (14 December) Live Nation and Big Concerts announced that American singer-songwriter and actress Mariah Carey is making her first trip to the country in 2016 for her ‘Sweet Sweet Fantasy’ tour.
Following the success of her Las Vegas residency the diva is set to entertain adoring fans on 1 & 2 May 2016 at Ticketpro Dome.
The star has said, “Lambily, it’s been too long!! I’m so excited to be coming to South Africa to perform for you all. I promise we’re going to share the most...
10 years ago
Bongo521 Aug
Mariah Carey na Nick Cannon watengana, talaka inafuata