Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwananyamala Jogging kuzinduliwa leo

p>KLABU ya Mwananyamala Jogging, inatarajiwa kufanya sherehe maalumu za kuizindua tangu ilipoanzishwa. Akizungumza na Tanzania Daima jijini Dar es Salaam jana, Katibu Mkuu wa klabu hiyo, Salum Nyumba ‘Chisco’, alisema...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

RADIOMBAO KUZINDULIWA UPYA LEO

My bad, nimesahau kuweka anwani ya mtandaoni ya RADIO MBAO. Ni www.radiombao.com na itakuwa hewani kuanzia Februari Mosi 2014. Sie tunaamini katika #SharingIsCaring , na RADIOMBAO inakuhamasisha nawe ku-share nasi habari yoyote ile . Usihofie kwamba “ah mie sio mwandishi” tutahariri habari yako na itasomwa/kusikika katika nchi 138 duniani. Na wala usikwazwe na “ah mie sijawahi kuandika” kwani kama unaweza kuandika SMS basi kwa hakika unaweza pia kuandika habari. Pia kila jambo lina mwanzo, mtoto hazaliwi akitembea. Kwahiyo yawezekana RADIOMBAO ikaibua kipaji chako…lakini ili hilo liwezekane basi usihofie ku-share nasi habari. Ni Jumamosi Februari 1, 2014, mahali pa kukutana ni www.radiombao.com #SharingIsCaring  (at Glasgow)
RADIO MBAO: Ninaomba kuwafahamisha kuwa mie na mwenzangu @djkvelli mkongwe wa masuala ya entertainment kama dj nchini Marekani na mmiliki wa kituo maarufu cha radio mtandaoni, RADIOMBAO, tumeunganisha nguvu, na kwa pamoja tunawaletea uzinduzi RADIOMBAO katika sura mpya. Licha ya matangazo ya radio, RADIOMBAO sasa inakuletea habari mbalimbali katika namna tofauti (bringing you news not in your traditional way). Uzinduzi rasmi utakuwa LEO  Jumamosi ya Februari 1 mwaka huu 2014.
 Tunataka...

 

11 years ago

Michuzi

NYUMBA YATEKETEA KWA MOTO MWANANYAMALA JIJINI DAR LEO

Gari ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji likiwa eneo la Mwanyamala mapema leo mchana,ambapo moto mkubwa umezuka na kuteketeza nyumba nzima na  mali zilizokuwemo,ambazo thamani yake haikujulikana mapema,tukio hilo limetokea maeneo ya Mwananyamala jirani na hospitali ya Mwananyamala.Baadhi ya watu wakishuhudia tukio la Moto lililotokea mapema leo mchana,ambapo moto huo umeteketeza nyumba nzima na mali zilizokuwemo,ambazo thamani yake mpaka Globu ya jamii inaondoka eneo la tukio haikufahamika.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Operesheni Sambaratisha CCM kuzinduliwa leo

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Temeke, Bernad Mwakyembe, amewaomba wananchi wa wilaya hiyo kuwaunga mkono katika Operesheni yao ya ‘Sambaratisha CCM, Mtaa kwa Mtaa Temeke’. Mwakyembe, alitoa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ripoti ya ukatili wa kijinsia kuzinduliwa leo

CHAMA cha Wanahabari Wanawake Tanzania (Tamwa), leo saa 3:00 asubuhi kitazindua ripoti ya utafiti wa unyanyasaji wa kijinsia uliofanyika Desemba 2013 katika wilaya 20 za Tanzania Bara na Zanzibar. Taarifa...

 

11 years ago

GPL

MICHUANO YA ESTHER CUP KUZINDULIWA LEO

Mbunge wa Viti Maalum wa Chama cha Mapinduzi(CCM), Wilayani Bunda, mkoani Mara, Esther Bulaya akiongea na wanahabari (hawapo pichani). Wanahabari wakimsikiliza Esther Bulaya (kushoto) katika Hoteli ya Atrium iliyopo Sinza, Afrikasana jijini Dar.…

 

10 years ago

Michuzi

MKUU WA WILAYA KINONDONI AFANYA ZIARA HOSPITALI YA MWANANYAMALA NA PALESTINA LEO

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni,Paul Makonda akisikiliza maelekezo kutoka kwa Daktari Hawa  Omary wa Hospitali ya Mwananyamala Jiji Dar es Salaam leo,wakati alipotembelea kuoa maendeleo ya Hospitali hiyo.Wa pili kulia ni Mganga Mkuu wa Hospitali hiyo,Dkt. Sophinias Ngonyani.Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni,Paul Makonda akizungumza na wananchi waliofika katika Hospitali ya Rufaa ya Mwanyamala kupatiwa huduma ya matibabu,leo jijini Dar es Salaam.Kulia ni Mganga Mkuu wa Hospitali hiyo,Dkt. Sophinias...

 

9 years ago

Michuzi

WAZIRI WA AFYA AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA HOSPITALI YA MWANANYAMALA JIJINI DAR LEO

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mh.Ummy Mwalimu akimjulia hali mmoja wa watoto waliolazwa kwenye wadi ya Watoto, Hospitali ya Mwananyamala Jijini Dar es salaam, wakati alipofanya ziara ya kushtukiza ili kujionea hali ilivyo Hospitalini hapo.Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mh.Ummy Mwalimu akimsalimia mmoja wa mama aliyelazwa kwenye wodi ya kina mama wajawazito, Hospitali ya Mwananyamala Jijini Dar es salaam leo. Kulia ni Katibu Mkuu wa...

 

11 years ago

Dewji Blog

Maduka matatu ikiwemo nyumba vyateketea kwa moto karibia na Hospitali ya Mwananyamala leo

1 Moto ukiwa umeanza kama utani, watu wakiwa wanaendelea na kazi kama kawaida.(Picha zote na Dar es salaam yetu Blog).

*******

Moto mkubwa uliosababishwa na hitilafu ya Umeme umewaka eneo la jirani na Hospitali ya Mwananyamala na kusababisha kuungua kwa Maduka matatu pamoja na nyumba moja ambayo ilikuwa imeungana na duka moja wapo ambamo walikuwa wanauza vitambaa na kushona nguo.

Moto huo ulichukua zaidi ya masaa mawili ambapo wakazi wa eneo hilo ndio waliosaidia kwa kiasi kikubwa kuzima...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani