Operesheni Sambaratisha CCM kuzinduliwa leo
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Temeke, Bernad Mwakyembe, amewaomba wananchi wa wilaya hiyo kuwaunga mkono katika Operesheni yao ya ‘Sambaratisha CCM, Mtaa kwa Mtaa Temeke’. Mwakyembe, alitoa...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima08 Dec
Mwananyamala Jogging kuzinduliwa leo
11 years ago
Michuzi01 Feb
RADIOMBAO KUZINDULIWA UPYA LEO
![My bad, nimesahau kuweka anwani ya mtandaoni ya RADIO MBAO. Ni www.radiombao.com na itakuwa hewani kuanzia Februari Mosi 2014. Sie tunaamini katika #SharingIsCaring , na RADIOMBAO inakuhamasisha nawe ku-share nasi habari yoyote ile . Usihofie kwamba “ah mie sio mwandishi” tutahariri habari yako na itasomwa/kusikika katika nchi 138 duniani. Na wala usikwazwe na “ah mie sijawahi kuandika” kwani kama unaweza kuandika SMS basi kwa hakika unaweza pia kuandika habari. Pia kila jambo lina mwanzo, mtoto hazaliwi akitembea. Kwahiyo yawezekana RADIOMBAO ikaibua kipaji chako…lakini ili hilo liwezekane basi usihofie ku-share nasi habari. Ni Jumamosi Februari 1, 2014, mahali pa kukutana ni www.radiombao.com #SharingIsCaring (at Glasgow)](http://31.media.tumblr.com/946bfbe0832fc2c069028f00eb9a104b/tumblr_n05ck7D7K71qzfdwuo1_500.jpg)
RADIO MBAO: Ninaomba kuwafahamisha kuwa mie na mwenzangu @djkvelli mkongwe wa masuala ya entertainment kama dj nchini Marekani na mmiliki wa kituo maarufu cha radio mtandaoni, RADIOMBAO, tumeunganisha nguvu, na kwa pamoja tunawaletea uzinduzi RADIOMBAO katika sura mpya. Licha ya matangazo ya radio, RADIOMBAO sasa inakuletea habari mbalimbali katika namna tofauti (bringing you news not in your traditional way). Uzinduzi rasmi utakuwa LEO Jumamosi ya Februari 1 mwaka huu 2014.
Tunataka...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/XewtWaR3V6bpBhld6WW5qyvRzUf9tHtsed4ty9b7v64TKoaAqWoC5JWIhOgXLyMODt-ewgULODCHLF12UFPIYTny9BTvXAat/3ESTERBULAYA.jpg?width=650)
MICHUANO YA ESTHER CUP KUZINDULIWA LEO
11 years ago
Tanzania Daima19 Feb
Ripoti ya ukatili wa kijinsia kuzinduliwa leo
CHAMA cha Wanahabari Wanawake Tanzania (Tamwa), leo saa 3:00 asubuhi kitazindua ripoti ya utafiti wa unyanyasaji wa kijinsia uliofanyika Desemba 2013 katika wilaya 20 za Tanzania Bara na Zanzibar. Taarifa...
10 years ago
Tanzania Daima18 Oct
Kampeni ya chanjo dhidi ya surua, rubella kuzinduliwa leo
KAMPENI ya chanjo dhidi ya ugonjwa surua na rubella kwa watoto wenye umri wa miezi tisa hadi miaka 15 inatarajia kuzinduliwa leo. Katika kampeni hiyo itakayodumu kwa siku saba, watoto...
9 years ago
Dewji Blog06 Oct
Taasisi ya Wanawake Wahasibu nchini (TAWCA) kuzinduliwa leo
Mratibu wa Taasisi ya Wanawake Wahasibu Tanzania (TAWCA), Rose Majuva (kulia), akizungumza katika mkutano huo. Katikati ni Mwenyekiti wa taasisi hiyo, Bahati Geuzye na Mmoja wa waanzilishi wa taasisi hiyo, Anna Shanalingingigwa.
Makamu Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake Wahasibu Tanzania (TAWCA), Neema Kiure- Mssusa (wa pili kulia), akiwaonesha waandishi wa habari (hawapo pichani) cheti cha usajili wa taasisi hiyo Dar es Salaam, wakati wa mkutano uliohusu uzinduzi wa taasisi hiyo...
9 years ago
Dewji Blog28 Nov
Kamanda Mpinga azindua Operesheni Paza Sauti, jijini Dar leo
Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani,DCP Mohamed Mpinga, akisalimiana na Mabalozi wa Usalama Barabarani, muda mfupi kabla ya kuzindua Operesheni ijulikanayo kwa jina la “Paza Sauti” yenye lengo la kuwaelimisha abiria ili waweze kutoa taarifa mara wanapoona kuna viashiria vya uvunjifu wa sheria za barabarani. Operesheni hii ilizinduliwa jijini Dar es Salaam leo.
Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani, DCP Mohammed Mpinga, akitoa maelekezo ndani ya moja ya basi linalofanya safari zake...
10 years ago
Dewji Blog24 Jul
Kampeni ya ‘Wazazi Nipendeni’ kuzinduliwa rasmi leo viwanja vya Mwembe Yanga jijini Dar
Mshauri wa masuala ya Malaria kutoka Taasisi ya Jhpiego, Jasmin Chadewa (kushoto), akitoa huduma ya kumpa dawa ya vitamini A, mtoto Rahim Simai, viwanja vya Mwembe Yanga Dar es Salaam leo asubuhi ikiwa ni utoaji huduma wa elimu ya afya kwa wajawazito na matumizi ya dawa aina ya SP, upimaji wa malaria pamoja na matumizi ya vyandarua kama muendelezo wa huduma za afya ya mama mjamzito na mtoto kuelekea uzinduzi wa awamu ya pili wa Kampeni ya Wazazi Nipendeni utakaofanyika kesho katika...