Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Taasisi ya Wanawake Wahasibu nchini (TAWCA) kuzinduliwa leo

IMG_5876

Mratibu wa Taasisi ya Wanawake Wahasibu Tanzania (TAWCA), Rose Majuva (kulia), akizungumza katika mkutano huo. Katikati ni  Mwenyekiti wa taasisi hiyo, Bahati Geuzye na Mmoja wa waanzilishi wa taasisi hiyo, Anna Shanalingingigwa.

1

Makamu Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake Wahasibu Tanzania (TAWCA), Neema Kiure- Mssusa (wa pili kulia), akiwaonesha waandishi wa habari (hawapo pichani) cheti cha usajili wa taasisi hiyo Dar es Salaam, wakati wa mkutano uliohusu uzinduzi wa taasisi hiyo...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

TAWCA, KUSAIDIA WANAWAKE WAHASIBU NCHINI

Mwanachama mwanzilishi wa Taasisi ya Wanawake Wahasibu, Anna Shanalingigwa (kushoto anayezungumza), akiwa na makamu wake, Neema Kiure, na Mratibu wa taasisi hiyo, Rose Majuva. Neema Kiure Mssusa (katikati) akionesha cheti chao cha usajili wa taasisi hiyo.…

 

9 years ago

Vijimambo

TAASISI YA WANAWAKE WAHASIBU TANZANIA KUZINDULIWA HOTELI YA HYATT REGENCY KILIMANJARO DAR ES SALAAM KESHO

 Makamu Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake Wahasibu Tanzania (TAWCA), Neema Kiure- Mssusa (wa pili kulia), akiwaonesha waandishi wa habari cheti cha usajili wa taasisi hiyo Dar es Salaam leo asubuhi, wakati wa mkutano uliohusu uzinduzi wa taasisi hiyo utakaofanyika leo Hoteli ya Hyatt Regence (Kilimanjaro Hoteli). Kutoka kulia ni Mratibu wa Taasisi hiyo, Rose Majuva, Mwenyekiti, Bahati Geuzye na mmoja wa waanzilishi wa taasisi hiyo, Anna Shanalingingigwa. Wanahabari wakichukua taarifa hiyo.

 

11 years ago

Michuzi

Taasisi ya Handeni Kwetu Foundation kuzinduliwa August 5

SIKU chache baada ya kusajiliwa rasmi chini ya Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Taasisi inayojulikana kama Handeni Kwetu Foundation, imepangwa kuzinduliwa August 5 mwaka huu, katika Ukumbi wa Vijana Social Hall, Kinondoni, jijini Dar es Salaam.
Kuanzishwa kwa taasisi hiyo ni kutafuta namna ya kusaidiana na serikali katika mambo mbalimbali, ikiwamo Kujenga uwezo kwa jamii kujikwamua kiuchumi na kuhamasisha utawala.
Akizungumza jana jijini Dar es Salaam, Msemaji wa taasisi hiyo,...

 

9 years ago

Dewji Blog

Maafisa Wahasibu na wataalamu wa manunuzi na ugavi nchini watakiwa kujiepusha na vishawishi vya rushwa!

SAM_0202

KatibuMkuu Wizara ya Fedha,Bwana Servacius Likwelile akizungumza na wahitimu  wa taasisi ya Uhasibu kampas za Mwanza,Kigoma na Singida(Picha zote Na,Jumbe Ismailly) Na.Jumbe Ismailly [SINGIDA] Maafisa  Wahasibu pamoja na Wataalamu wa manunuzi na ugavi nchini wametakiwa kujiepusha na vishawishi au vitendo vya rushwa na ubadhirifu wawapo makazini,kutokana na vitendo vya rushwa na ubadhirifu kuwa na madhara makubwa kwa maisha ya mtu mmoja mmoja na uchumi wa taifa kwa ujumla.Katibu Mkuu Wizara...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mwananyamala Jogging kuzinduliwa leo

p>KLABU ya Mwananyamala Jogging, inatarajiwa kufanya sherehe maalumu za kuizindua tangu ilipoanzishwa. Akizungumza na Tanzania Daima jijini Dar es Salaam jana, Katibu Mkuu wa klabu hiyo, Salum Nyumba ‘Chisco’, alisema...

 

11 years ago

Michuzi

RADIOMBAO KUZINDULIWA UPYA LEO

My bad, nimesahau kuweka anwani ya mtandaoni ya RADIO MBAO. Ni www.radiombao.com na itakuwa hewani kuanzia Februari Mosi 2014. Sie tunaamini katika #SharingIsCaring , na RADIOMBAO inakuhamasisha nawe ku-share nasi habari yoyote ile . Usihofie kwamba “ah mie sio mwandishi” tutahariri habari yako na itasomwa/kusikika katika nchi 138 duniani. Na wala usikwazwe na “ah mie sijawahi kuandika” kwani kama unaweza kuandika SMS basi kwa hakika unaweza pia kuandika habari. Pia kila jambo lina mwanzo, mtoto hazaliwi akitembea. Kwahiyo yawezekana RADIOMBAO ikaibua kipaji chako…lakini ili hilo liwezekane basi usihofie ku-share nasi habari. Ni Jumamosi Februari 1, 2014, mahali pa kukutana ni www.radiombao.com #SharingIsCaring  (at Glasgow)
RADIO MBAO: Ninaomba kuwafahamisha kuwa mie na mwenzangu @djkvelli mkongwe wa masuala ya entertainment kama dj nchini Marekani na mmiliki wa kituo maarufu cha radio mtandaoni, RADIOMBAO, tumeunganisha nguvu, na kwa pamoja tunawaletea uzinduzi RADIOMBAO katika sura mpya. Licha ya matangazo ya radio, RADIOMBAO sasa inakuletea habari mbalimbali katika namna tofauti (bringing you news not in your traditional way). Uzinduzi rasmi utakuwa LEO  Jumamosi ya Februari 1 mwaka huu 2014.
 Tunataka...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ripoti ya ukatili wa kijinsia kuzinduliwa leo

CHAMA cha Wanahabari Wanawake Tanzania (Tamwa), leo saa 3:00 asubuhi kitazindua ripoti ya utafiti wa unyanyasaji wa kijinsia uliofanyika Desemba 2013 katika wilaya 20 za Tanzania Bara na Zanzibar. Taarifa...

 

11 years ago

GPL

MICHUANO YA ESTHER CUP KUZINDULIWA LEO

Mbunge wa Viti Maalum wa Chama cha Mapinduzi(CCM), Wilayani Bunda, mkoani Mara, Esther Bulaya akiongea na wanahabari (hawapo pichani). Wanahabari wakimsikiliza Esther Bulaya (kushoto) katika Hoteli ya Atrium iliyopo Sinza, Afrikasana jijini Dar.…

 

10 years ago

Tanzania Daima

Operesheni Sambaratisha CCM kuzinduliwa leo

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Temeke, Bernad Mwakyembe, amewaomba wananchi wa wilaya hiyo kuwaunga mkono katika Operesheni yao ya ‘Sambaratisha CCM, Mtaa kwa Mtaa Temeke’. Mwakyembe, alitoa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani