Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwanga yapiga hatua kielimu

WILAYA ya Mwanga mkoani Kilimanjaro imepiga hatua katika elimu, kutokana na juhudi kubwa inayofanywa na Serikali kwa kushirikiana na sekta binafsi. Mbunge wa Mwanga, Profesa Jumanne Maghembe, alisema hayo hivi karibuni alipozungumza na waandishi wa habari.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Tanzania yapiga hatua maendeleo ya uchumi

OFISI ya Taifa ya Takwimu imesema Tanzania imepiga hatua katika maendeleo ya uchumi kwa nchi za Afrika Mashariki kutokana na  kupungua kwa mfumuko wa bei, hali inayoleta unafuu wa maisha...

 

5 years ago

Michuzi

TANZANIA YAPIGA HATUA KUGUNDUA WAGONJWA WA TB

Na. Catherine Sungura-Dodoma

Serikali kupitia wizara ya afya, maendeleo ya jamii, jinsia, wazee na watoto imeweza kupiga hatua kwa kuwa na uwezo mkubwa wa kugundua wenye kifua kikuu(TB) nchini kwa ongezeko la asilimia 18.

Hayo yamebainishwa leo na Mkurugenzi wa Idara ya Kinga Dkt. Leonard Subi wakati akifungua kikao cha mapitio na tathimini wa mpango wa taifa wa kudhibiti kifua kikuu na ukoma(NTLP) ambao unajumuisha wadau mbalimbali wa kifua kikuu nchini.

“Kikao hiki ni cha mapitio na tathimini...

 

5 years ago

Michuzi

SIHA YAPIGA HATUA KWA MAENDELEO


Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Siha Mkoani Kilimanjaro, Ndaki Mhuli akizungumza kwenye kikao cha Baraza la Madiwani wa Halmashauri hiyo, kulia ni Mwenyekiti wa Halmashauri hiyo Godson Ngomuo na Makamu Mwenyekiti Juma Juni.

*********************
HALMASHAURI ya Wilaya ya Siha Mkoani Kilimanjaro, imetumia sh69 bilioni kwa ajili ya miradi mbalimbali ya maendeleo kupitia mapato ya halmashauri, fedha za ruzuku za serikali kuu, michango ya wananchi na wadau wa maendeleo. 
Mkurugenzi...

 

10 years ago

Mwananchi

EAC yapiga hatua utangamano wa kibiashara

Nchi Wananchama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), zimepiga hatua kubwa kuelekea utangamano miongoni mwao kwa kuridhia na kutekeleza mikataba na makubaliano mengi mwaka 2014 kulinganisha na mwaka juzi.

 

10 years ago

Dewji Blog

Mtwara yapiga hatua upatikanaji wa maji safi na salama

1

Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Halima Dendegu akiwakaribisha wajumbe wa Kamati Ndogo ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji iliyowasili mkoani humo kukagua miradi ya maji.

2

Mwenyekiti wa Kamati Ndogo ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji Amina Makilagi akieleza lengo la ziara ya kamati hiyo mkoani Mtwara.

3

Mwenyekiti wa Kamati Ndogo ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji Amina Makilagi, akizungumza na wanahabari kuhusu ziara ya kamati hiyo ambayo inahitimishwa leo wilayani Masasi mkoani Mtwara.

4

Mhandisi wa...

 

10 years ago

Michuzi

NEPAD YAPIGA HATUA KATIKA VIPAUMBELE VYAKE - DKT. MAYAKI

Picha ya pamoja ya Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Nchi wanachama wa Umoja wa Afrika baada ya Mkutano wao kufunguliwa rasmi jijini Addis Ababa leo.
Na Ally Kondo, Addis AbabaKamati ya Uongozi ya NEPAD imekutana leo Jumatatu jijini Addis Ababa, Ethiopia kutathmini utekelezaji wa programu mbalimbali wa chombo hicho. Akitoa taarifa ya utekelezaji wa shuguli za NEPAD kwa mwaka 2014, Mtendaji Mkuu wa NEPAD, Dkt. Ibrahim Mayaki alieleza kuwa Chombo hicho kimepiga hatua kubwa katika maeneo ya kipaumbele...

 

10 years ago

Vijimambo

NEPAD YAPIGA HATUA KATIKA VIPAUMBELE VYAKE, DKT. MAYAKI

Picha ya pamoja ya Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Nchi wanachama wa Umoja wa Afrika baada ya Mkutano wao kufunguliwa rasmi jijini Addis Ababa leo.

Na Ally Kondo, Addis AbabaKamati ya Uongozi ya NEPAD imekutana leo Jumatatu jijini Addis Ababa, Ethiopia kutathmini utekelezaji wa programu mbalimbali wa chombo hicho. Akitoa taarifa ya utekelezaji wa shuguli za NEPAD kwa mwaka 2014, Mtendaji Mkuu wa NEPAD, Dkt. Ibrahim Mayaki alieleza kuwa Chombo hicho kimepiga hatua kubwa katika maeneo ya...

 

9 years ago

Dewji Blog

Miaka 10 ya ustawi, serikali yapiga hatua katika sekta ya Tehema na Sayansi na Teknolojia

Untitled

1.Katika Miaka 10 ya ustawi, serikali imekuwa katika jitihada za kuendeleza utekelezaji wa mipango na mikakati mbalimbali kwa lengo la kuinua Sekta ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia ili kufikia maendeleo ya kijamii na kiuchumi.

2.  Katika Miaka 10 ya ustawi, tumeimarisha Utendaji wa Tume ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) kwa kupitia upya Sheria ya Tume ili kuipa COSTECH mamlaka ya kiudhibiti pamoja na kutambua mchango wa ubunifu.https://youtu.be/ZaXEKpIn-cI

3.  Katika Miaka 10 ya...

 

10 years ago

Michuzi

kenya yapiga hatua katika kutambua watu wenye jinsia mbili baada ya hukumu ya kihistoria kutolewa

Mahakama moja nchini Kenya imeiamuru serikali kutoa hati ya kuzaliwa kwa mtoto wa umri wa miaka mitano aliyezaliwa akiwa na jinsia za kike na kiume. 


Wakati alipozaliwa mtoto huyo, wafanyakazi wa hospitali waliweka alama ya kuuliza penye kisanduku cha jinsia kwenye fomu ya uzazi mwaka 2009 baada ya kushindwa kuamua kama ni wa kike ama wa kiume.

Wakili wa mtoto huyo ameeleza kufurahishwa na hukumu hiyo akisema ni hatua moja kwenda mbele katika kutambua watu wenye jinsia mbili wanaojulikana...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani