Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MWANZA KUWA MWENYEJI WA MAOMBI YA KUMWOMBEA JPM.

Na Nyakongo Manyama-MAELEZO

Mkoa wa Mwanza unatarajiwa kuwa mwenyeji wa mkutano wa kumwombea Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli na Taifa kwa ujumla.
Maombi hayo yanatarajiwa kufanyika Jumatano ya wiki ijayo katika Viwanja vya Furahisha. Kauli hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa  Good News For All Ministry  Askofu Dkt.Charles Gadi wakati wa mkutano wake na waandishi wa wahabari leo jijini Dar es salaam.
Amesema kuwa wanachukua fursa hiyo kumuombea...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Cameroon kuwa mwenyeji wa S.Leone

Cameroon imekubali kuandaa mikondo yote mbili ya mechi ya kufuzu kwa dimba la AFCON2015 dhidi ya Sierra Leone

 

11 years ago

Michuzi

Tanzania kuwa mwenyeji wa mashindano ya karate.

Na Rose Masaka-MAELEZO Umoja wa Wapiganaji wa Sanaa ya Mapigano Duniani (UPAM) unaandaa shindano la kimataifa la wapiganaji ambalo linatarajiwa kufanyika nchini kati ya Mwezi Desemba mwaka huu na mwanzoni mwa mwaka ujao kutokana na ruhusa itakayotolewa na Serikali kwa mamlaka zinazohusika. Kauli hiyo imetolewa leo na Rais wa UPAM Prof. Maurizi Mardina alipokuwa akiongea na waandishi wa habari jijini Dar es salaam Profesa Mardina amesema kuwa mchezo wa kupigana ni mchezo mzuri ambao unahitaji...

 

9 years ago

BBCSwahili

Sudan kuwa mwenyeji wa Cecafa 2016

Sudan ndiyo itakayokuwa mwenyeji wa michuano ya Kombe la Cecafa mwaka huu, Shirikisho la Soka Afrika Mashariki na Kati limetangaza.

 

10 years ago

Michuzi

Tanzania kuwa mwenyeji Tamasha la Kimataifa la Lugha na Utamaduni

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mhe. Dkt. Fenella Mukangara akizungumza na wageni waliofika ofisini kwake kumjulisha kuhusu Tamasha la Kimataifa la Lugha na Utamaduni lililoandaliwa na Kilimanjaro Dialogue Institute litakalofanyika nchini Tanzania na kuhusisha nchi 18 tarehe 21 na 22 Machi mwaka huu. Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel, wakwanza kulia ni Bw. Ramadhani Madabida na anayefuata ni Rais wa...

 

10 years ago

CloudsFM

NJOMBE KUWA MWENYEJI KITAIFA, SIKU YA UKIMWI DUNIANI

UKIWA unaendelea kuongoza kitaifa kwa kuwa na kasi kubwa ya maambukizi ya Virusi vya Ukimwi (VVU), mkoa wa Njombe utakuwa mwenyeji kitaifa wa maadhimisho ya siku ya Ukimwi Duniani, ambayo hufanyika Desemba 1, kila mwaka.
Tume ya Kudhibiti Ukimwi (Tacaids), imesema kauli mbiu ya maadhimisho ya siku ya Ukimwi Duniani mwaka huu imelenga kutoa msukumo wa utekelezaji wa mikakati ya kudhibiti Ukimwi.

Mwenyekiti Mtendaji wa Tacaids, Dk. Fatma Mrisho, alisema kauli mbiu hiyo pia inalenga kudhibiti...

 

10 years ago

Mwananchi

Afrika Kusini yajitoa mapema kuwa mwenyeji AFCON 2015

Waziri wa Michezo wa Afrika Kusini, Fikile Mbalula amesema nchi yake hapo tayari kuandaa fainali za Mataifa ya Afrika 2015 kama Morocco watajitoa.

 

11 years ago

Michuzi

TANZANIA KUWA MWENYEJI WA MKUTANO WA NISHATI KWA NCHI ZA AFRIKA

 Waziri wa Nishati  na Madini Profesa Sospeter Muhongo akiongea wakati wa mkutano wa Mawaziri wanaohusika na  masuala ya   Nishati ambapo aliwatangazia wajumbe hao kwamba Tanzania itakuwa mwenyeji wa Mkutano wa  Bara la Afrika  kuhusu  Nishati Endelevu katika muda utaopangwa na Umoja wa Mataifa.  Ujumbe wa Tanzania katika Mkutano wa siku tatu wa Nishati Endelevu kwa Wote ( SE4ALL)  ulioandaliwa na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa.  Eng. Yahya  Samamba Katibu wa Waziri na  Eng. Styden...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani