Cameroon kuwa mwenyeji wa S.Leone
Cameroon imekubali kuandaa mikondo yote mbili ya mechi ya kufuzu kwa dimba la AFCON2015 dhidi ya Sierra Leone
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili21 Sep
Cameroon ni mwenyeji wa AFCON 2019
10 years ago
BBC![](http://news.bbcimg.co.uk/media/images/77769000/jpg/_77769573_454788924.jpg)
Sierra Leone ask to play in Cameroon
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-8_GrANS25ss/U-kNhLf895I/AAAAAAAF-oU/LVnvF0Vb9dw/s72-c/unnamed+(24).jpg)
Tanzania kuwa mwenyeji wa mashindano ya karate.
9 years ago
BBCSwahili06 Jan
Sudan kuwa mwenyeji wa Cecafa 2016
9 years ago
Michuzi06 Jan
MWANZA KUWA MWENYEJI WA MAOMBI YA KUMWOMBEA JPM.
Mkoa wa Mwanza unatarajiwa kuwa mwenyeji wa mkutano wa kumwombea Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli na Taifa kwa ujumla.
Maombi hayo yanatarajiwa kufanyika Jumatano ya wiki ijayo katika Viwanja vya Furahisha. Kauli hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa Good News For All Ministry Askofu Dkt.Charles Gadi wakati wa mkutano wake na waandishi wa wahabari leo jijini Dar es salaam.
Amesema kuwa wanachukua fursa hiyo kumuombea...
10 years ago
CloudsFM24 Nov
NJOMBE KUWA MWENYEJI KITAIFA, SIKU YA UKIMWI DUNIANI
Tume ya Kudhibiti Ukimwi (Tacaids), imesema kauli mbiu ya maadhimisho ya siku ya Ukimwi Duniani mwaka huu imelenga kutoa msukumo wa utekelezaji wa mikakati ya kudhibiti Ukimwi.
Mwenyekiti Mtendaji wa Tacaids, Dk. Fatma Mrisho, alisema kauli mbiu hiyo pia inalenga kudhibiti...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-iMkP_xYitWw/VQKWqX4oI-I/AAAAAAAHKBk/tjb2xOakgbE/s72-c/unnamed%2B(5).jpg)
Tanzania kuwa mwenyeji Tamasha la Kimataifa la Lugha na Utamaduni
![](http://1.bp.blogspot.com/-iMkP_xYitWw/VQKWqX4oI-I/AAAAAAAHKBk/tjb2xOakgbE/s1600/unnamed%2B(5).jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-nIo9UKcI5ds/U5J03Y-xJvI/AAAAAAAFoQg/x-cWfUBj5Jg/s72-c/unnamed+(14).jpg)
TANZANIA KUWA MWENYEJI WA MKUTANO WA NISHATI KWA NCHI ZA AFRIKA
![](http://3.bp.blogspot.com/-nIo9UKcI5ds/U5J03Y-xJvI/AAAAAAAFoQg/x-cWfUBj5Jg/s1600/unnamed+(14).jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-ITa1bi0FTN8/U5J05-RvVmI/AAAAAAAFoQo/UFP_VQ6uRVo/s1600/unnamed+(15).jpg)
10 years ago
Dewji Blog23 Mar
Tanzania kuwa mwenyeji wa mkutano wa wawekezaji wa nchi 5 za Afrika Mashariki
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam akitoa taarifa ya mkutano wa wawekezaji (Round Table Investment Forum) na wakuu wa nchi 5 za ukanda wa Afrika Mashariki utakaofanyika jijini Dar es salaam kuanzia Machi 25 hadi 26 mwaka huu.
Na Aron Msigwa –MAELEZO
Tanzania inatarajiwa kuwa mwenyeji wa mkutano wa wawekezaji (Round Table Investment Forum) na Marais wa nchi 5 za ukanda wa Afrika Mashariki utakaofanyika jijini Dar es salaam kuanzia Machi 25 hadi 26 mwaka huu.
Akitoa taarifa ya mkutano huo Mkuu...