Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwasisi wa iliyokuwa ligi ya muungano augua

Aliyewahi kuwa nahodha wa timu ya Tanganyika kwenye michezo ya kwanza ya Olimpiki mwaka 1964 na katibu mkuu wa zamani wa Chama cha Soka Tanzania (FAT), sasa TFF, Hassan Chabanga Dyamwale amepooza kwa miezi miwili sasa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

Ligi Kuu ya Muungano ya Netiboli yaendelea Uwanja wa Gymkhana, Zanzibar

Wachezaji wa Timu ya TTPL na Polisi Moro wakiwania mpira wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Muungano zinazofanyika katika viwanja vya Gymkhana Zanzibar timu ya Polisi Moro imeshinda 36--33.Mchezaji wa timu ya TTPL Mwanaasha Ali ( GS) akiwa na mpira huku mchezaji wa timu ya Polisi Moro Jawa Iddi (GD) akijiandaa kumzuiya katika mchezo wao wa kuwania Ubingwa wa Ligi Kuu ya Muungano ya Mchezo wa Netiboli yanayofanyika katika viwanja vya Gmykhana Zanzibar Timu ya Polisi Moro imeshinda...

 

10 years ago

Mwananchi

Weishaupt; mwasisi wa Illuminati - 2

Illuminati ni jina ambalo kihistoria lilianzia huko Bavaria nchini Ujerumani katika kipindi ambacho Ulaya ilikuwa katika mageuzi kutoka ulimwengu wa nadharia dhanifu kwenda ule wa nadharia yakinifu.

 

11 years ago

Mwananchi

Mwasisi wa Watupori anayepigania kutoka

Tafsiri ya jina lake siyo ‘swaga’ wala sanaa pekee, bali hata katika uhalisia wa maisha anayoishi sasa kutokana na kundi kubwa la Wanyama wa kufuga alilonalo nyumbani kwake.

 

9 years ago

Raia Mwema

Kingunge, Mwasisi wa CCM aliyekimbia kivuli chake

KINGUNGE Ngombale-Mwiru, mwanasiasa na msomi aliyejipembua kwa msimamo wa itikadi ya kisoshalisti

Mwandishi Wetu

 

9 years ago

Mtanzania

Mwasisi wa Msondo, Kapteni John Simon aaga dunia

Kapten aliyefarikiNA JIMMY CHIKA

MWANAMUZIKI mkongwe, Kapteni John Simon, ambaye ni mmoja kati ya wanamuziki walioanzisha bendi ya NUTA Jazz Msondo Ngoma mwaka 1964, amefariki dunia.

Kwa mujibu wa Katibu wa Chama cha Muziki wa Dansi Tanzania (Chamudata), Hassan Msumari, mkongwe huyo alifariki Jumatatu katika Hospitali ya Muhimbili alikokuwa amelazwa akitibiwa ugonjwa wa moyo.

Kiongozi wa bendi ya Shikamoo Jazz aliyokuwa akiitumikia hadi mwisho wa maisha yake, Ally Adinani, alisema mazishi ya mwanamuziki huyo...

 

10 years ago

Michuzi

Mwasisi wa Swahili Blues Leo Mkanyia Azidi Kutikisa Kimataifa

Embedded image permalinkGazeti la The Citizen la Tanzania linamwita 'lulu iliyofichika' hidden gem, kwa kimombo). Huyu ni Leo Mkamia, msanii wa Kitanzania na mwanzilishi wa aina ya muziki ujulikanao kama 'Swahili Blues.'
Siku chache zilizopita, Leo alirekodi wimbo wake mpya uitwao 'Pamoja.' Miongoni mwa yatakayoonekana katika video ya wimbo huo ni performance ya kihistoria ya msanii huyo katika moja ya vyuo vikuu vikubwa hapa Uingereza, Nottingham University, ambapo Leo alifanikiwa kuwaimbisha Kiswahili baadhi ya...

 

10 years ago

Vijimambo

Video na Picha: Mwasisi wa Swahili Blues Leo Mkanyia Azidi Kutikisa Kimataifa

Embedded image permalinkGazeti la The Citizen la Tanzania linamwita 'lulu iliyofichika' hidden gem, kwa kimombo). Huyu ni Leo Mkamia, msanii wa Kitanzania na mwanzilishi wa aina ya muziki ujulikanao kama 'Swahili Blues.'
Siku chache zilizopita, Leo alirekodi wimbo wake mpya uitwao 'Pamoja.' Miongoni mwa yatakayoonekana katika video ya wimbo huo ni performance ya kihistoria ya msanii huyo katika moja ya vyuo vikuu vikubwa hapa Uingereza, Nottingham University, ambapo Leo alifanikiwa kuwaimbisha Kiswahili baadhi ya...

 

10 years ago

Michuzi

CCM ZANZIBAR YAOMBOLEZA KIFO CHA MWASISI WA ASP MAREHEMU MAKAME MZEE SULEIMAN

Chama Cha Mapinduzi na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar wamepokea kwa mshituko, huzuni na masikitiko makubwa taarifa ya kifo cha aliyewakuwa Mwenyekiti wa Baraza la Wazee wa CCM Zanzibar marehemu Makame Mzee Suleiman, kilichotokea usiku wa tarehe  16 Januari, 2015, nyumbani kwake Amani, Unguja.
Marehemu Makame Mzee Suleiman, alizaliwa tarehe 14 Aprili, 1926, katika Kijiji cha Mitakawani, Wilaya ya Kati, Mkoa wa Kusini, Unguja.
Alipata Elimu ya Msingi katika Skuli ya  Uzini mwaka 1936. Aidha,...

 

10 years ago

Mwananchi

Maiti iliyokuwa ikigombewa Moshi yazikwa

Hatimaye mwili wa Rosemary Marandu uliohifadhiwa katika chumba cha kuhifadhia maiti cha Hospitali ya Rufaa ya KCMC kwa siku 53 umezikwa huku maziko hayo yakigubikwa na utata na kuhudhuriwa na wanaume sita.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani