Mwasisi wa Swahili Blues Leo Mkanyia Azidi Kutikisa Kimataifa
Gazeti la The Citizen la Tanzania linamwita 'lulu iliyofichika' hidden gem, kwa kimombo). Huyu ni Leo Mkamia, msanii wa Kitanzania na mwanzilishi wa aina ya muziki ujulikanao kama 'Swahili Blues.'
Siku chache zilizopita, Leo alirekodi wimbo wake mpya uitwao 'Pamoja.' Miongoni mwa yatakayoonekana katika video ya wimbo huo ni performance ya kihistoria ya msanii huyo katika moja ya vyuo vikuu vikubwa hapa Uingereza, Nottingham University, ambapo Leo alifanikiwa kuwaimbisha Kiswahili baadhi ya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo09 Nov
Video na Picha: Mwasisi wa Swahili Blues Leo Mkanyia Azidi Kutikisa Kimataifa

Siku chache zilizopita, Leo alirekodi wimbo wake mpya uitwao 'Pamoja.' Miongoni mwa yatakayoonekana katika video ya wimbo huo ni performance ya kihistoria ya msanii huyo katika moja ya vyuo vikuu vikubwa hapa Uingereza, Nottingham University, ambapo Leo alifanikiwa kuwaimbisha Kiswahili baadhi ya...
11 years ago
Bongo524 Oct
Video: Mfahamu Leo Mkanyia, mwanzilishi wa Swahili Blues
10 years ago
Vijimambo
LEO MKANYIA WA BAND YA SWAHILI BLUES BAND


11 years ago
Mwananchi14 Dec
Swahili Music Band; Inapiga muziki uliofanyiwa utafiti, Mkanyia akiiongoza
10 years ago
Bongo Movies15 Jul
Koko Byanko Azidi Kutikisa
MUIGIZAJI Koko Byanko ameeleza kuwa, hatasahau namna alivyokuwa kambini wakati akiigiza filamu mpya ya MCC Machupachupa ambapo alikutana na jopo la wataalamu wa utengenezaji filamu lililomtia hamasa ya kuigiza kwa ustadi mkubwa kwenye filamu hiyo.
Koko alieleza kuwa, jopo hilo lililokuwa limekamilika kila idara, liliwafanya waigizaji wawe na ari kubwa wakati wote na hivyo kufanya vizuri wakati wakiigiza.
“Hapa nilipo kila wakati naweweseka kila ninapopata pongezi kutoka kwa mashabiki...
10 years ago
Michuzi
Ziara Ya Swahili Blues Band Mjini Nairobi

Makadam na Prasad wakiwajibika

Baada ya ziara ya mafanikio ya mwezi mmoja mjini Addis Ababa, bendi ya Swahili Blues chini ya uongozi wa Leo Mkanyia imefanya ziara nyingine mjini Nairobi.
Bendi hiyo yenye maskani yake katika hoteli ya nyota tano ya Serena iliyo katikati ya mji wa Dar es Salaam ilianza ziara yake katika klabu maarufu inayojulikana kama Choices iliyopo katika barabara ya Baricho kwenye kitongoji cha Industrial Area. Shoo hiyo kabambe ilifanyika siku...
10 years ago
Vijimambo
SWAHILI BLUES BAND WANG'A KATIKA TAMASHA LA DOADOA

Mkamuzi yalikuwa siyo ya kitoto kama unavyoona kwenye picha


Baada ya ziara ya mafanikio katika jiji la maraha la Nairobi, kundi zima la Swahili Blues Band chini ya uongozi wa Leo Mkanyia walielekea mjini Jinja Uganda kushiriki katika Tamasha la muziki la DoaDoa.
Tamasha la DoaDoa ni maalumu kwa wanamuziki kutoka Afrika ya Mashariki kushiriki na kutambulishwa kwenye jukwaa la kimataifa. DoaDoa wanatoa fursa mahsusi kwa...
10 years ago
Michuzi
SWAHILI BLUES BAND WAKANDAMIZA VILIVYO KATIKA TAMASHA LA DOADOA

Mkamuzi yalikuwa siyo ya kitoto kama unavyoona kwenye picha


Baada ya ziara ya mafanikio katika jiji la maraha la Nairobi, kundi zima la Swahili Blues Band chini ya uongozi wa Leo Mkanyia walielekea mjini Jinja Uganda kushiriki katika Tamasha la muziki la DoaDoa.Tamasha la DoaDoa ni maalumu kwa wanamuziki kutoka Afrika ya Mashariki kushiriki na kutambulishwa kwenye jukwaa la kimataifa. DoaDoa wanatoa fursa mahsusi kwa...
10 years ago
VijimamboSWAHILI BLUES BAND YA ANZA KUJIPATIA UMAARUFU NJE YA NCHI YA TANZANIA
Leo Mkanyia and Swahili Blues Band iko mjini Addis Ababa Ethiopia kwa mwaliko maalumu toka kwa gwiji la muziki barani Afrika na ulimwenguni kote Dr Mulatu Astakte.
Swahili Blues Band ilifika mjini...