Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Koko Byanko Azidi Kutikisa

MUIGIZAJI Koko Byanko ameeleza kuwa, hatasahau namna alivyokuwa kambini wakati akiigiza filamu mpya ya MCC Machupachupa ambapo alikutana na jopo la wataalamu wa utengenezaji filamu lililomtia hamasa ya kuigiza kwa ustadi mkubwa kwenye filamu hiyo.


Koko alieleza kuwa, jopo hilo lililokuwa limekamilika kila idara, liliwafanya waigizaji wawe na ari kubwa wakati wote na hivyo kufanya vizuri wakati wakiigiza.


“Hapa nilipo kila wakati naweweseka kila ninapopata pongezi kutoka kwa mashabiki...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Mwasisi wa Swahili Blues Leo Mkanyia Azidi Kutikisa Kimataifa

Embedded image permalinkGazeti la The Citizen la Tanzania linamwita 'lulu iliyofichika' hidden gem, kwa kimombo). Huyu ni Leo Mkamia, msanii wa Kitanzania na mwanzilishi wa aina ya muziki ujulikanao kama 'Swahili Blues.'
Siku chache zilizopita, Leo alirekodi wimbo wake mpya uitwao 'Pamoja.' Miongoni mwa yatakayoonekana katika video ya wimbo huo ni performance ya kihistoria ya msanii huyo katika moja ya vyuo vikuu vikubwa hapa Uingereza, Nottingham University, ambapo Leo alifanikiwa kuwaimbisha Kiswahili baadhi ya...

 

10 years ago

Vijimambo

Video na Picha: Mwasisi wa Swahili Blues Leo Mkanyia Azidi Kutikisa Kimataifa

Embedded image permalinkGazeti la The Citizen la Tanzania linamwita 'lulu iliyofichika' hidden gem, kwa kimombo). Huyu ni Leo Mkamia, msanii wa Kitanzania na mwanzilishi wa aina ya muziki ujulikanao kama 'Swahili Blues.'
Siku chache zilizopita, Leo alirekodi wimbo wake mpya uitwao 'Pamoja.' Miongoni mwa yatakayoonekana katika video ya wimbo huo ni performance ya kihistoria ya msanii huyo katika moja ya vyuo vikuu vikubwa hapa Uingereza, Nottingham University, ambapo Leo alifanikiwa kuwaimbisha Kiswahili baadhi ya...

 

10 years ago

CloudsFM

9 years ago

Raia Mwema

Ukawa kutikisa

UMOJA wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) unakusudia kutumia vikao vya Bunge, kikiwamo cha ufunguzi wik

Mwandishi Wetu

 

10 years ago

Tanzania Daima

IPTL kutikisa Bunge

HATIMAYE sakata lililosumbua Bunge lililopita na kuzungumziwa nje ya Bunge kuhusu ufisadi wa fedha zaidi ya sh bilioni 200 katika akaunti ya Escrow, ripoti yake imekamilika na imefikishwa kwa Katibu...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Malaika Music kutikisa Ijumaa

BAADA ya mapumziko ya wiki moja bendi ya muziki wa dansi ya Malaika Music ‘Wafalme wa Masauti’ inayoongozwa na Christian Bella, inatarajia kuendelea na kazi kuanzia Ijumaa itakapotoa burudani katika...

 

10 years ago

Mtanzania

Usajili Yanga wazidi kutikisa

NA JUDITH PETER, DAR ES SALAAM

USAJILI mpya wa mabingwa wapya wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga umezidi kutikisa kutokana na jindi klabu hiyo inavyosajili kiufundi.

Baada ya kuinasa saini ya kiungo mshambuliaji wa Mbeya City, Deus Kaseke ambaye anarithi mikoba ya Mrisho Ngassa aliyetimkia Afrika Kusini, klabu hiyo imeendelea na mipango mizito ya usajili wa wachezaji wengine wazawa na wale wa kimataifa ambao wanatarajiwa kutua nchini wiki hii kufanya majaribio.

Uongozi wa timu hiyo jana usiku...

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

Mjadala mkali kutikisa bunge


NA SELINA WILSON, DODOMA
MJADALA mkali unatarajiwa kutikisa Bunge leo, wakati wabunge watakapoanza kuchangia bajeti ya serikali kwa mwaka 2014/2015 iliyowasilishwa bungeni Alhamisi iliyopita.
Bajeti hiyo iliwasilishwa na Waziri wa Fedha, Saada Mkuya Salum,  na kufuatiliwa kwa karibu na wadau wa maendeleo wa ndani na nje ya nchi huku baadhi yao wakipata fursa ya kuwepo bungeni ilipowasilishwa.
Hoja zinazotarajiwa kuteka mjadala huo ni pamoja na kodi ya Payee wanayokatwa wafanyakazi ambayo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani