Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwekezaji amshukuru RC

MWEKEZAJI wa Shamba la Tanzania Plantation, Pradeep Lodhia ameishukuru Serikali kupitia kwa Mkuu wa Mkoa wa Mkoa wa Arusha, Magesa Mulongo kwa kutoa maamuzi ya kuwa anamiliki shamba kihalali na si kama ilivyodaiwa awali kuwa shamba hilo ni mali ya Serikali.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Mtoto aliyeungua mwili amshukuru JK

KIJANA Bakari Katumbaku (20) aliyeungua moto mwili mzima akiwa na miaka 6, amemshukuru Rais Jakaya Kikwete kwa msaada wa matibabu na elimu aliompatia.

 

9 years ago

Mtanzania

Pogba amshukuru Pirlo kumpa elimu

Paul-Pogba-JuventusTURIN, ITALIA

KIUNGO wa klabu ya Juventus, Paul Pogba, amesema anamshukuru sana kiungo wa zamani wa klabu hiyo, Andrea Pirlo, kwa kumpa elimu ya kupiga mipira ya adhabu.

Pogba juzi alifanikiwa kupachika bao kwa mpira wa adhabu katika mchezo wa Kombe la Copa Italia dhidi ya Torino, ambapo Juventus ilishinda mabao 4-0, hivyo akasema ujuzi huo ameupata kwa Pirlo.

“Pirlo alikuwa ni mtu ambaye alikuwa anapenda kunifundisha kupiga mipira ya adhabu wakati tukiwa pamoja katika klabu hii,...

 

9 years ago

BBCSwahili

Trump amshukuru Putin kwa kumsifia

Kwenye hotuba kwa taifa Putin alimtaja Donald Trump kama mtu anayependeza na mwenye ujuzi. Trump naye amemsifu sana Rais Putin

 

10 years ago

Habarileo

Chibulunje amshukuru Mungu kwa miaka 20 ya utumishi

Ezekiah ChibulunjeMBUNGE wa Jimbo la Chilonwa wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma Ezekiah Chibulunje (CCM) amesema anamuomba Mungu apatikane kiongozi bora kurithi nyayo zake katika kuongoza jimbo hilo.

 

10 years ago

Bongo Movies

Shamsa Ford Amshukuru Nay Kwa Kumvisha Pete!

Kupitia ukurasa wake kwenye mtandao picha wa Instagram, staa wa Bongo Movies Shamsa Ford amemshukuru ‘Cousin’ wake Nay Wa Mitego kwa kumvisha pete.

“Thank u my cousin .nimeipenda kidole kinang'aaaa” Shamsa aliandika mara baada ya kuweka picha hiyo akiwa amavalia pete hiyo.

Kwa muda sasa mastaa hao wanaendelea kukanusha kuwa kwenye mahusiano ya kipenzi mbali na kuonekana kuwa na ukaribu unaotiliwa mashaka.

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS WA TFF JAMAL MALINZI AMSHUKURU LEODGER TENGA

Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF), Jamal Malinzi amemshukuru Rais wa CECAFA, Leodgar Tenga kwa kuipa Tanzania uenyeji wa mashindano ya Vilabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati (Kagame Cup) iliyomalizika jana kwa klabu ya Azam FC kutawazwa Mabingwa wapya wa michuano hiyo.
Aidha Malinzi ameishukuru Kamati ya Ndani ya Uendeshaji ya Michuano hiyo (LOC) kwa kazi nzuri waliyoifanya ya kuandaa na kuhakikisha michuano hiyo inafanyika na kumalizika katika hali ya usalama na amani. ...

 

10 years ago

Dewji Blog

Magufuli amshukuru Balozi wa Japan nchini kuchangia miradi ya maendeleo

DSC_8983

Balozi wa Japan nchini, Mh. Masaki Okada (kulia) na Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili Dkt. Hussein Kidanto wakitiliana saini mkataba wa fedha za ruzuku shilingi milioni 70/ zilizotolewa na serikali ya Japan kwa ajili ya kununua magari mawili ya wagonjwa (Ambulance). Tukio hilo lilishuhudiwa na viongozi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili pamoja na Mkurugenzi wa Hospitali hiyo aliyemaliza muda wake Dkt. Marina Njelekela.(Picha zote na Zainul Mzige wa modewjiblog).

Na...

 

10 years ago

GPL

MAGUFULI AMSHUKURU BALOZI WA JAPAN NCHINI KUCHANGIA MIRADI YA MAENDELEO‏

Mbunge wa Chato ambaye pia ni Waziri wa Ujenzi, Dk. John Magufuli akitoa shukrani kwa serikali ya Japan inayowakilishwa na Balozi Masaki Okada baada ya kushuhudia utiaji saini wa mikataba ya fedha za ruzuku shilingi milioni 235 sawa na dola za Kimarekani 136,015 zilizotolewa na serikali ya Japan. Balozi wa Japan nchini, Mh. Masaki Okada (kulia) na Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili Dkt. Hussein Kidanto...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani