Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Pogba amshukuru Pirlo kumpa elimu

Paul-Pogba-JuventusTURIN, ITALIA

KIUNGO wa klabu ya Juventus, Paul Pogba, amesema anamshukuru sana kiungo wa zamani wa klabu hiyo, Andrea Pirlo, kwa kumpa elimu ya kupiga mipira ya adhabu.

Pogba juzi alifanikiwa kupachika bao kwa mpira wa adhabu katika mchezo wa Kombe la Copa Italia dhidi ya Torino, ambapo Juventus ilishinda mabao 4-0, hivyo akasema ujuzi huo ameupata kwa Pirlo.

“Pirlo alikuwa ni mtu ambaye alikuwa anapenda kunifundisha kupiga mipira ya adhabu wakati tukiwa pamoja katika klabu hii,...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Wilshere akamia kumdhibiti Pirlo

Rio de Janeiro, Brazil. Kiungo Jack Wilshere amesema kumdhibiti Andrea Pirlo wa Italia itakuwa kipaumbele cha England wakati wa mchezo wa kwanza baina ya nchi hizo kwenye fainali za Kombe la Dunia mjini Manaus hapo Jumamosi.

 

9 years ago

Mtanzania

Pirlo akanusha kuondoka New York City

Andrea-Pirlo-juveTURIN, ITALIA

KIUNGO wa Klabu ya New York City FC, Andrea Pirlo, amesisitiza kuwa hana mpango wa kuondoka katika klabu hiyo na kujiunga na Manchester City na Inter Milan kama taarifa zilivyosambaa.

Nyota huyo ambaye alikuwa anakipiga katika Klabu ya Juventus ya nchini Italia, alijiunga na Klabu ya New York City
wakati wa majira ya joto, lakini timu hiyo yenye mastaa kama vile David Villa, Frank Lampard na Pirlo imeshindwa kufanya vizuri msimu huu katika Ligi Kuu nchini Marekani ambapo...

 

10 years ago

Habarileo

Mwekezaji amshukuru RC

MWEKEZAJI wa Shamba la Tanzania Plantation, Pradeep Lodhia ameishukuru Serikali kupitia kwa Mkuu wa Mkoa wa Mkoa wa Arusha, Magesa Mulongo kwa kutoa maamuzi ya kuwa anamiliki shamba kihalali na si kama ilivyodaiwa awali kuwa shamba hilo ni mali ya Serikali.

 

11 years ago

Habarileo

Mtoto aliyeungua mwili amshukuru JK

KIJANA Bakari Katumbaku (20) aliyeungua moto mwili mzima akiwa na miaka 6, amemshukuru Rais Jakaya Kikwete kwa msaada wa matibabu na elimu aliompatia.

 

9 years ago

BBCSwahili

Trump amshukuru Putin kwa kumsifia

Kwenye hotuba kwa taifa Putin alimtaja Donald Trump kama mtu anayependeza na mwenye ujuzi. Trump naye amemsifu sana Rais Putin

 

10 years ago

Michuzi

Waziri wa Elimu atembelea Banda la Mamlaka ya Elimu Tanzania kwenye maonyesho ya Elimu mjini Dodoma

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk. Shukuru Kawambwa akimsikiliza Kaimu Mkurugenzi wa Uhamasishaji rasilimali wa Mamlaka ya Elimu Tanzania, Sylvia Lupembe, alipotembelea Banda la Mamlaka ya Elimu Tanzania Jumatano Tarehe 13 Mei 2015.

 

10 years ago

Habarileo

Chibulunje amshukuru Mungu kwa miaka 20 ya utumishi

Ezekiah ChibulunjeMBUNGE wa Jimbo la Chilonwa wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma Ezekiah Chibulunje (CCM) amesema anamuomba Mungu apatikane kiongozi bora kurithi nyayo zake katika kuongoza jimbo hilo.

 

10 years ago

Bongo Movies

Shamsa Ford Amshukuru Nay Kwa Kumvisha Pete!

Kupitia ukurasa wake kwenye mtandao picha wa Instagram, staa wa Bongo Movies Shamsa Ford amemshukuru ‘Cousin’ wake Nay Wa Mitego kwa kumvisha pete.

“Thank u my cousin .nimeipenda kidole kinang'aaaa” Shamsa aliandika mara baada ya kuweka picha hiyo akiwa amavalia pete hiyo.

Kwa muda sasa mastaa hao wanaendelea kukanusha kuwa kwenye mahusiano ya kipenzi mbali na kuonekana kuwa na ukaribu unaotiliwa mashaka.

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS WA TFF JAMAL MALINZI AMSHUKURU LEODGER TENGA

Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF), Jamal Malinzi amemshukuru Rais wa CECAFA, Leodgar Tenga kwa kuipa Tanzania uenyeji wa mashindano ya Vilabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati (Kagame Cup) iliyomalizika jana kwa klabu ya Azam FC kutawazwa Mabingwa wapya wa michuano hiyo.
Aidha Malinzi ameishukuru Kamati ya Ndani ya Uendeshaji ya Michuano hiyo (LOC) kwa kazi nzuri waliyoifanya ya kuandaa na kuhakikisha michuano hiyo inafanyika na kumalizika katika hali ya usalama na amani. ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani