Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwekezaji Liganga aomba unafuu kodi

Kampuni ya Sichuan Hongda Group ya China iliyowekeza katika miradi ya chuma cha Liganga na makaa ya mawe ya Mchuchuma, wamemwandikia barua Waziri Mkuu, Mizengo Pinda wakimwomba awasaidie kupata nafuu ya kodi kabla ya kuanza uzalishaji.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Zitto: Unafuu wa Paye haumsaidii mfanyakazi

Mbunge wa Kigoma Kaskazini (Chadema), Zitto Kabwe amesema unafuu wa Kodi ya Mshahara (Paye), uliotangazwa na Serikali kwamba umeshuka kutoka asilimia 13 hadi 12 ni mdogo hautamsaidia mfanyakazi kubaki na fedha kwa ajili ya matumizi wala kujiwekea akiba

 

10 years ago

Mwananchi

BVR yaonyesha unafuu baadhi ya maeneo

>Wakati baadhi ya maeneo wananchi wakitaabika kusimama foleni muda  mrefu kusubiri kuandikishwa kwenye Daftari la Kudumu la Wapigakura kwa kutumia mfumo wa Biometric Voter Registration (BVR), sehemu nyingine adha hiyo hakuna.

 

11 years ago

Mwananchi

Serikali sasa kupata unafuu wa mikopo

Waziri wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe, amesema Serikali itapunguza gharama za kukopa fedha kwa riba katika taasisi za fedha na benki nchini, baada ya Benki ya Rasilimali (TIB) kuingia makubaliano na Benki ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika, katika kutoa mikopo isiyokuwa na riba kwa miradi yote ya maendeleo ikiwamo ya sekta ya uchukuzi.

 

11 years ago

Mwananchi

Unafuu usitupeleke kwenye bidhaa bandia

Watanzania tumekuwa wateja wakubwa wa bidhaa bandia na zilizotengenezwa chini ya kiwango kutokana na kuangalia unafuu wa bei.

 

9 years ago

TheCitizen

Chinese company to use Liganga iron ore

A Chinese company, Avic Shantui Tanzania Limited, will now start distributing all its product ranges right from the soils of Tanzania as it promises to start producing the same locally using reserves of iron ore discovered at Liganga in the southern highlands.

 

10 years ago

TheCitizen

$3bn needed to develop Mchuchuma, Liganga

>The Mchuchuma coal project is facing financial constraints to generate electricity.The government is unable to provide funds as it is required to undertake the project.

 

9 years ago

MillardAyo

Matatu kutoka TRA >>>makusanyo ya kodi yaliyofikiwa, usajili wa pikipiki, walioshindwa kulipa kodi…

Mipango ya Rais Magufuli kuendelea kupambana na wabadhirifu wa mapato ya Serikali yameendeela kuchukua sura mpya. Kupitia Mamlaka ya Mapato TRA Rais aliweza kufanya mabadiliko makubwa ikiwa ni pamoja na kuwaondoa watendaji ambao walihusika katika upotevu wa fedha za umma pamoja na kuwabana wakwepa kodi ambao ni wafanyabiashara wakubwa. Kingine kilichonifikia leo kutoa  kutoka kwa […]

The post Matatu kutoka TRA >>>makusanyo ya kodi yaliyofikiwa, usajili wa pikipiki, walioshindwa kulipa kodi…...

 

5 years ago

Michuzi

Biteko amesema imetosha kuhusu Mchuchuma na Liganga


Waziri wa Madini Doto Biteko wa pili kushoto akimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Njombe Christophher Ole Sendeka wakati wa ziara yake mkoa humo wakiwa wilayani Ludewa.
Sehemu ya Wananchi kijiji cha Mundindi wilayani Ludewa wakimsikiliza Waziri wa Madini Doto Biteko hayupo pichani wakati wa kikao cha hadhara.

Waziri wa Madini Doto Biteko kushoto na Mkuu wa Mkoa wa Njombe Christophher Ole Sendeka wakiwasikiliza wananchi hawapo pichani wakati wa kikao katika kijiji cha Mundindi wilayani Ludewa ...

 

10 years ago

Michuzi

CHAMA cha Waandishi wa Habari za Kodi Tanzania (TAWNET) umeipongeza kampuni ya mawasiliano ya Vodacom kuwa walipa kodi bora wakubwa

CHAMA cha Waandishi wa Habari za Kodi Tanzania (TAWNET) umeipongeza kampuni ya mawasiliano ya Vodacom Tanzania kwa kuwa moja kati ya walipa kodi bora wakubwa wa pili kwa mwaka 2014.
Sambamba na kampuni ya Vodacom, TAWNET pia imeipongeza kampuni ya bia Tanzania (TBL) na Kampuni ya Sigara Tanzania (TCC) kuweza kushika nafasi katika makampuni matatu bora. Mwaka huu, mchango wa Vodacom katika pato la taifa umeongezeka na kuisukuma kampuni hiyo katika nafasi ya pili kutoka ya tatu waliyoshika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani