Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Mwenendo Bunge la Katiba safi’

Mahakama Kuu imebariki mwenendo wa Bunge la Katiba kuwa liliendeshwa kulingana na mamlaka yake kisheria.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

TAARIFA YA WAWAKILISHI WA TAASISI ZA DINI WA BUNGE MAALUM LA KATIBA TOKA WAJUMBE 201 KUHUSU MWENENDO WA SHUGHULI ZA BUNGE MAALUM LA KATIBA

 Sisi Wawakilishi wa Jumuiya na Taasisi za Dini, tuliopendekezwa na Taasisi zetu na baadaye kuteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, baada ya kushauriana na Rais wa Zanzibar kuwa Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, na kula kiapo cha utekelezaji wa jukumu hili kubwa.Tukiamini kuandaa Katiba Mpya kwa maridhiano ya Kitaifa kwa wananchi wote, tulipokea jukumu hili kama wajibu wetu Kitaifa.  Aidha tunaamini kwamba katika kupata maridhiano ya Kitaifa ni muhimu kuheshimu kila wazo na...

 

11 years ago

Habarileo

Baraza la Vyama lajadili mwenendo Bunge la Katiba

BARAZA la vyama vya siasa linatarajia kukutana kesho ambapo pamoja na mambo mengine, litazungumzia mustakabali wa Bunge Maalumu la Katiba.

 

11 years ago

Mwananchi

Mwenendo huu hautatupatia Katiba tuliyoitarajia

Mwenendo wa Bunge Maalumu la Katiba tangu lianze shughuli zake mjini Dodoma wiki iliyopita umeonyesha dalili za kuwapo uwezekano mkubwa wa Bunge hilo kushindwa kutunga Katiba Mpya ambayo wananchi wengi waliitarajia.

 

11 years ago

Michuzi

SITTA AMPA TAARIFA YA MWENENDO WA BUNGE MAALUM DKT. SHEIN

 Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Mhe. Samuel Sitta akimpatia taarifa juu ya mwenendo wa Bunge Maalum la katiba na ulipofikia, Rais Wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mheshimiwa Dkt. Ali Mohammed Shein, alipomtembelea nyumbani Ikulu ya Migombani Zanzibar. Mhe Sitta alikuwa Visiwani Zanzibar kwa lengo la kuonana na Mhe. Shein kumpatia taarifa kamili ya shughuli za Bunge Maalum la Katiba. Picha na Owen Mwandumbya - Bunge Maalum

 

11 years ago

Michuzi

LHRC YATOA TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU MWENENDO WA MCHAKATO WA UTUNGAJI WA KATIBA MPYA TANZANIA UNAOENDELEA DODOMA

Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Dk.Helen Kijo-Bisimba (kulia), akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu mwenendo wa mchakato wa utungaji wa Katiba Mpya ya Tanzania unaoendelea Dodoma. Kushoto ni Mtetezi wa Haki za Wanawake, Ananilea Nkya.
Mtetezi wa Haki za Wanawake, Ananilea Nkya (katikati), akizungumza katika mkutano huo. Kushoto ni Ofisa Mipango kutoka Taasisi ya Sikika, Patrick Kinemo na Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha...

 

10 years ago

Vijimambo

TAZAMA PICHA 5 ZA USINGIZI WA SPIKA WA BUNGE UZUNGUNI DODOMA KIROHO SAFI

Hatimaye Spika wa Bunge la Tanzania pale Dodoma atakuwa na makazi rasmi baada ya ujenzi wa nyumba ya Spika kukamilika na makabidhiano kufanyika. Nyumba hiyo ambayo ipo maeneo yaUzunguni nje kidogo ya Dodoma mjini imegharimu takribani Tshs Billion 1.5 imejengwa na kampuni ya Pacha Building Construction Company. Hii inakuwa nyumba ya kwanza rasmi ya Spika kwani hapo awali hapakuwahi kuwa na nyumba rasmi ya Spika.Mlango wa mbeleUpande wa nyuma wa jengoNgazi ndani ya jengo ambalo lina vyumba...

 

11 years ago

Michuzi

UKUMBI WA BUNGE LA KATIBA: Sekretarieti ya Bunge la Katiba kukabidhiwa Ukumbi Jumatano

Spika wa Bunge Mhe. Anna Makinda akijaribu mojawapo ya viti vipya vilivyofungwa katika ukumbi wa Bunge tayari kwa ajiri ya Matumizi wakati wa Bunge la Katiba. Mhe. Makinda aliongoza ujumbe wa Tume ya Utumishi wa Bnge kufanya ukaguzi wa mwisho kabla ukumbi huo haujakabidhiwa kwa Sekretariat ya Bunge la Katiba Jumatano wiki hii. Spika wa Bunge Mhe. Anna Makinda akiwa na wajumbe wa Tume ya Utumishi wa Bunge kukagua ukumbi huo. Spika wa Bunge Mhe. Anna Makinda, (katikati) Naibu Spika Mhe....

 

10 years ago

Michuzi

Ofisi ya Bunge yatoa ufafanuzi kuhusu malipo ya posho za Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba

OFISI ya Bunge Maalum la Katiba mjini Dodoma, imetoa ufafanuzi juu ya taarifa zilizotolewa kwenye vyombo vya habari kuhusu kuchelewa kwa malipo ya posho za Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba.
Ufafanuzi huo umetolewa leo na Mkurugenzi wa Habari na Itifaki Bw. Jossey Mwakasiyuka wakati alopokutana na waandishi wa habari kwa lengo la kutolea ufafanuzi kuhusiana na taarifa hizo zilizoikera ofisi hiyo ya Bunge Maalum.
Mwakasyuka amevieleza vyombo vya habari kuwa, ofisi ya Bunge Maalum imekerwa na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani