Mwenyekiti auawa, viungo vyapikwa kama mboga
![](http://4.bp.blogspot.com/-Wf9XuUVLrE0/VMTezqPHc9I/AAAAAAADWY4/zSfT42UNWxk/s72-c/unyama%2Bpicha%2B(1).jpg)
Mwenyekiti wa Kitongoji cha Songambele, Kata ya Ilela Tarafa Inyonga Wilaya ya Mlele Mkoa wa Katavi, Richard Madirisha (31), ameuawa kikatili kwa kuchinjwa shingo na kutenganishwa na kiwiliwili na kisha kunyofolewa viungo vya mikono na miguu na sehemu za siri na kichwa chake na viungo hivyo kupikwa ndani ya safuria kama mboga.Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Katavi, Dhahiri Kidavashari mauaji hayo ya kikatili na kutisha yalitokea jana saa 5.30 usiku nyumbani kwa...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi25 Jan
Mwenyekiti auawa, viungo vyapikwa kama mboga
10 years ago
Habarileo25 Jan
Mwenyekiti ACT auawa na viungo vyake kupikwa nyama
MWENYEKITI wa kitongoji cha Songambele katika wilaya ya Mlele mkoani Katavi kupitia chama cha ACT, Richald Madirisha (31) ameuawa kwa kuchinjwa na kiwiliwili chake kutenganishwa akituhumiwa kunyang’anya mke wa mtu.
10 years ago
Mtanzania02 Feb
Askari JWTZ auawa, anyofolewa viungo
Na Shomari Binda, Musoma
ASKARI wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Kikosi cha 27 Makoko kilichopo Musoma, Praiveti Wilfred Koko amekutwa ameuawa na kuondolewa sehemu ya viungo vya mwili katika eneo la kikosi hicho.
Taarifa iliyotolewa na Jeshi la Polisi mkoani Mara ilisema askari huyo MT-78227, aliokotwa katika eneo la jeshi Januari 30, mwaka huu saa sita mchana mwili wake ukiwa hauna baadhi ya viungo ukiweamo mguu wa kulia, viganja vya mikono yote na sehemu za siri.
Kaimu Kamanda wa...
11 years ago
Mwananchi14 May
Albino auawa, wauaji watoweka na viungo
9 years ago
Habarileo06 Nov
Auawa, anyofolewa viungo kwa imani za kishirikina
WATU wawili wamekufa katika matukio tofauti yaliyotokea mkoani Katavi akiwemo mkazi wa kijiji cha Mgasa, Tarafa ya Kabungu wilayani Mpanda, Chiza Lamaeck (23) kuuawa kikatili kwa kunyofolewa viungo vyake vya mwili zikiwemo sehemu zake za siri kwa imani za kishirikina.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Y4MVF3b94yILHIeEOAcQzEobCVeJ6g51e0G3hUb5n8zE56m36xB08eC21Gs9NPf*B02AnpvREo1eMRAhuRFiTIEWjhJJ20BD/1ALBINO2.jpg?width=650)
ALBINO AUAWA, ACHUKULIWA VIUNGO VYAKE HUKO SIMIYU
11 years ago
MichuziWakulima Mbeya Waneemeka na Elimu ya uzalishaji wa Mboga Mboga kutoka TAHA
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-8T5IxAuJsJQ/U70FnqaKnsI/AAAAAAAFzx4/nG73G-MozCc/s72-c/unnamed+(6).jpg)
Mh. Chiza akagua bustani ya mboga mboga katika banda la Magereza,Sabasaba
![](http://3.bp.blogspot.com/-8T5IxAuJsJQ/U70FnqaKnsI/AAAAAAAFzx4/nG73G-MozCc/s1600/unnamed+(6).jpg)
11 years ago
GPLWAKULIMA MBEYA WANEEMEKA NA ELIMU YA UZALISHAJI WA MBOGA MBOGA KUTOKA TAHA