Mwenyekiti mpya wa soka atajwa Nigeria
Shirikisho la soka nchini Nigeria NFF limemchagua Amaju Pinnick kama rais wake mpya baada ya kufanyika kwa uchaguzi.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili02 Oct
FIFA yamuunga rais mpya wa soka Nigeria
Rais wa FIFA Sepp Blatter amemuunga mkono Amaju Pinnick kama rais mpya wa shirikisho la soka nchini Nigeria NFF.
10 years ago
VijimamboDIAMOND ATAJWA KUWANIA TUZO NYINGINE NIGERIA
Diamond Platnumz ametajwa kuwania tuzo nyingine za kimataifa zinazofahamika kama ‘THE HEADIES 2014’, ambazo ni tuzo kubwa nchini Nigeria. Nasib Abdul ametajwa kuwania kipengele cha Msanii Bora wa Afrika (Best African Arstist) ambacho kinawaniwa na wasanii wa nje ya Nigeria. Katika kipengele hicho anashindana na Mafikizolo, Sarkodie na R2Bees.CREDIT:THECHOICE
9 years ago
Bongo522 Aug
Diamond atajwa kuwania ‘African Youth Choice Awards’ za Nigeria
Msimu wa tuzo kwa Diamond Platnumz a.k.a baba Tiffah bado unaendelea, ametajwa kuwania ‘African Youth Choice Awards’ AYCA2015 za nchini Nigeria. Muimbaji huyo wa ‘Nana’ anawania vipengele viwili kwenye tuzo hizo, ambavyo ni YOUTH CHOICE Artiste Of The Year pamoja na YOUTH CHOICE Best Male. Hivi ni vipengele anavyoshindania: YOUTH CHOICE Artiste Of The Year: […]
10 years ago
GPLDIAMOND PLATINUMZ ATAJWA KUWANIA NEA AWARDS 2015 NCHINI NIGERIA
Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond'. AFRICAN ARTIST:
Eddie kenzo
Sauti Sol
Diamond Platnumz
Sarkodie
Stonebwoy
AKA
Mzvee HOTTEST SINGLE:
Kiss Daniel – Woju
Lil Kesh – Shoki Remix Ft Olamide & Davido
Mavins – Dorobucci
Wizkid – Ojuelegba
Skales – Shake Body
BEST NEW ACT:
Kiss Daniel
Lil Kesh
Di’ja
CDQ
Ayo Jay
Falz
Korede… ...
9 years ago
Bongo530 Sep
Diamond atajwa kuwania tuzo zingine Nigeria, ‘The African Entertainment Legend Awards’ (AELA)
Diamond Platnumz a.k.a Baba Tiffah yuko kwenye orodha ya waliotajwa kuwania tuzo zingine za nchini Nigeria, ‘The African Entertainment Legend Awards (AELA)’. Platnumz ametajwa kuwania vipengele viwili, ‘African Legends Artist of The Year’ akichuana na Dbanj, P-Square, Faze, Reggie Rockstone, Asa, R2bees pamoja na 2face. Kipengele cha pili anachowania ni ‘Best collabolation’ kupitia wimbo wake […]
5 years ago
CCM BlogMWENYEKITI WA SOKA LA WANAWAKE MKOA WA DAR ES SALAAM DKT. MANENO TAMBA AFARIKI DUNIA
Mwenyekiti wa Soka la Wanawake Mkoa wa Dar es Salaam na mmiliki wa timu ya soka ya wanawake ya Mburahati Queens, Dkt. Maneno Tamba amefariki dunia leo mchana.
9 years ago
BBCSwahili06 Jan
Afisa wa soka Nigeria auawa kwa risasi
Afisa wa shirikisho la soka la Nigeria Ibrahim Abubakar amepigwa risasi na kuuawa kwenye nyumba yake mjini Abuja.
10 years ago
MichuziHONGERA MWENYEKITI MPYA
Makamu Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa,Mh. Mboni Mhita (kushoto) akimpongeza Mwenyekiti Mpya wa Serikali ya Mtaa wa Masaki,Kinondoni Jijini Dar es Salaam,Ndg. Kimweri Mhita wakati wa hafla fupi ya kumpongeza mara baada ya kuapishwa kwake,Kimweri ni mmoja wa Wenyeviti wapya waliochagulia katika Uchaguzi uliofanyika hivi karibuni nchini kote. Mwenyekiti Mpya wa Serikali ya Mtaa wa Masaki,Kinondoni Jijini Dar es Salaam,Ndg. Kimweri Mhita (katikati) akiwa...
10 years ago
Mwananchi30 Jan
Mugabe Mwenyekiti mpya wa AU
Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe, amechaguliwa kuwa Mwenyekiti mpya wa umoja wa Afrika Au kwenye mkutano unaoendelea mjini Addis Ababa Ethiopia
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania