Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwigulu acharuka

WAZIRI wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Mwigulu N c h e m b a amesema hakutakuwa na msamaha na huruma kwa watakaobainika kuhujumu sekta ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi nchini.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MWIGULU HABARI NYINGINE HUKO IRAMBA MBIO ZA UBUNGE NDANI YA CCM,JAIRO NA WENZAKE WAJITOA,MWIGULU KUSHINDA KWA KISHINO

Mwigulu Nchemba akiondoka Viwanja vya Shelui mara baada ya Mkutano wa Kampeni Kumalizika.Mwigulu Nchemba akisalimiana na Wananchi wake Kata ya Shelui wakati wa Mkutano wa Kampeni ya kura ya Maoni za UBunge kuwania kuteuliwa kupeperusha Bendera ya CCM Wilaya ya IrambaMwigulu Nchemba akilakiwa na Wananchi wake kijiji cha Tulya wilayani Iramba wakati wa kampeni za Kura ya Maoni ya kuwania Ubunge ndani ya CCM.
Mwigulu Nchemba akifurahia mwenendo wa kampeni za kura ya maoni na Wananchi wake.

 

11 years ago

Habarileo

Waziri Nyalandu acharuka

WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu ameifutia umiliki wa vitalu vitatu kampuni ya Green Miles Safaris Ltd pamoja na vibali vya uwindaji kwa kuvunja sheria ya uhifadhi wa wanyamapori.

 

11 years ago

Habarileo

Profesa Muhongo acharuka

WAZIRI wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo amesema baadhi ya kampuni zinazotumiwa na Wakala wa Nishati Vjijini (REA) kuwaunganishia umeme wakazi wa vijijini, zinaomba rushwa, hivyo kuwaondolea matumaini ya kuondokana na umasikini.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Pinda acharuka Kiteto

WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda, ameagiza wakazi wa Wilaya ya Kiteto, mkoani Manyara wanaolima kwenye Hifadhi ya Jamii ya Emboley Murtangos waridhie amri ya Mahakama ya Rufaa ya kuwataka waondoke kwenye...

 

11 years ago

Habarileo

Kikwete acharuka kuhusu maabara

Rais Jakaya Kikwete akiwa na Mbunge wa Lushoto, Henry Shekifu (kushoto) na Mbunge wa Bumbuli, January Makamba (kulia) baada ya kuhutubia wananchi katika mkutano wa hadhara Jimbo la Bumbuli wilayani Lushoto jana. (Picha na Ikulu).RAIS Jakaya Kikwete ameagiza ifikapo Novemba mwaka huu, shule zote za sekondari nchini, ziwe na maabara kwa ajili ya masomo ya sayansi.

 

11 years ago

GPL

MADAI YA KUCHEPUKA KAJALA ACHARUKA

Stori: Musa Mateja
BAADA ya kuzagaa kwa taarifa mbalimbali kwamba mwigizaji wa Bongo, Kajala Masanja anachepuka nje, ameibuka na kukanusha madai hayo akisema hayana ukweli wowote. Mwigizaji wa Bongo movie Kajala Masanja Mitandao mbalimbali ya kijamii imekuwa ikiposti taarifa mbalimbali zinazomhusisha Kajala kutembea na wanaume tofauti kitu ambacho mwenyewe amesema hakina ukweli na wanaosambaza uvumi huo, wakome. Akizungumza...

 

10 years ago

GPL

KYLIE JENNER ACHARUKA MTANDAONI!

Mwanamitindo maarufu ambaye pia ni mtangazaji, Kylie Jenner. NEW YORK, Marekani MWANAMITINDO maarufu ambaye pia ni mtangazaji, Kylie Jenner juzikati amecharuka mtandaoni na kummwagia matusi shabiki wake aliyemuuliza swali kuhusu kazi ya lipsi zake kwenye ulimwengu wa mapenzi. Mwanamitindo huyo alionekana kuja juu kwanza kutokana na kitendo cha shabiki huyo kumchanganya jina kwa kumuita jina la dada yake, Kendall Jenner kisha...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mtikila acharuka Bunge la Katiba

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia (DP), Mchungaji Christopher Mtikila, amesema atajiuzulu ujumbe katika Bunge Maalumu la Katiba na kwenda mahakamani kama wajumbe wenzake watakataa kuirejesha Tanganyika. Mchungaji Mtikila aliyeteuliwa na...

 

9 years ago

GPL

WOLPER ACHARUKA KISA MIMBA

Imelda Mtema MWIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Jacqueline Walper ‘Wolper amecharuka vibaya mara baada ya kuulizwa habari za ujauzito.Juzikati mwanahabari wetu alipenyezewa ubuyu kuwa mwigizaji huyo haonekani viwanja kwa kuwa ni mjamzito ndipo mwanahabari wetu alipomvutia waya Wolper ambaye alijibu kwa hasira.  ...Soma zaidi===>http://goo.gl/abeA5L ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani