Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwigulu amwaga ahadi kibao Kalenga

>Naibu Katibu Mkuu wa CCM, Mwigulu Nchemba jana alizindua kampeni za chama hicho katika Jimbo la Kalenga mkoani hapa kwa kumwaga ahadi za kuwapatia wananchi maji, umeme na mawasiliano ambayo ni changamoto katika jimbo hilo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Ngeleja naye ajitosa, amwaga ahadi

SITTA TUMMA NA JOHN MADUHU, MWANZA

IDADI ya makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) waliotangaza nia ya kuwania urais kupitia chama hicho imefikia 11 baada ya Mbunge wa Sengerema, William Ngeleja naye kujitosa rasmi.

Ngeleja alitangaza nia jana katika ukumbi wa Chuo cha Benki Kuu ya Tanzania (BoT) tawi la Mwanza.
Akionekana kubwana na maswali magumu kutoka kwa waandishi wa habari juu ya tuhuma mbalimbali za ufisadi, Ngeleja aliwaahidi Watanzania neema ya maendeleo yatakayotokana na uchumi wa...

 

11 years ago

GPL

MWIGULU AMNADI MOMBEA WA CCM KALENGA

Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara, Mwigulu Nchemba akimnadi mgombea ubunge kwa tiketi ya CCM katika uchaguzi mdogo Jimbo la Kalenga, Gedfrey Mgimwa, katika mkutano wa uzinduzi wa kampeni za CCM uliofanyika leo, kwenye Uwanja wa Chuo Cha Ifunda, Iringa Vijijini. (Picha na Bashir Nkoromo)

 

11 years ago

Michuzi

MWIGULU ALIVYOZINDUA KWA KISHINDO KAMPENI ZA CCM KALENGA

 Abdul Adam, Mtoto wa Spika wa Bunge wa zamani Chifu Adamu Sapi Mkwawa, akimpongeza mgombea wa CCM katika Uchaguzi mdogo jimbo la Kalenga, Iringa Vijijini, Godfrey Mgimwa, wakati wa mkutano wa uzinduzi rasmi wa kampeni za CCM uliofanyika Viwanja vya Ifunda, Februari 27, 2014.  Wananchi wakinyoosha mikono kuunga mkono kuwa mgombea wa CCM anafaa, wakati wa mkutano wa uzinduzi rasmi wa kampeni za CCM uliofanyika Viwanja vya Ifunda, Februari 27, 2014.  Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara),...

 

11 years ago

Michuzi

MWIGULU NCHEMBA AMNADI MGOMBEA WA CCM JIMBO LA KALENGA,MKOANI IRINGA LEO

Naibu Katibu Mkuu wa CCM, Bara Mwigulu Nchemaba akimnadi mgombea ubunge kwa tiketi ya CCM katika uchaguzi mdogo jimbo la Kalenga Gedfrey Mgimwa, katika mkutano wa uzinduzi wa kampeni za CCM uliofanyika leo, kwenye Uwanja wa Chuo Cha Ifunda, Iringa Vijijini. (Picha na Bashir Nkoromo).

 

11 years ago

Michuzi

MWIGULU NCHEMBA ,MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA KALENGA WASHIRIKI MAZISHI YA WANANCHI WATATU KIJIJI CHA KIDAMALI MKOANI IRINGA

Naibu Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Mwigulu Nchemba na akishiriki mazishi ya wananchi watatu waliofarika kwa ajali ya gari,mazishi hayo yamefanyika jioni ya leo katika kijiji cha Kidamali kata ya Nzihi mkoani humo.  Mgombea Ubunge jimbo la Kalenga,mkoani Iringa,Ndugu Godfrey Mgimwa akishiriki mazishi ya wananchi watatu waliofarika kwa ajali ya gari,mazishi hayo yamefanyika jioni ya leo katika kijiji cha Kidamali kata ya Nzihi mkoani humo. Baadhi ya Wananchi wa kijiji cha Kidamali wakishiriki...

 

10 years ago

GPL

MBUNGE GODFREY MGIMWA ASEMA AMETUMIA ZAIDI YA TSH MILIONI 68 KWA MIENZI MITATU YA UBUNGE WAKE KUTEKELEZA AHADI 90 ZA MBUNGE WA KALENGA ALIYEFARIKI DUNIA DR WILIAM MGIMWA‏

Mbunge wa  jimbo la Kalenga Godfrey Mgimwa  (kulia) akikabidhi ahadi ya bati 100 alizokuwa ameziahidi mbunge aliyepita marehemu Dr. Wiliam Mgimwa kwa  viongozi wa kijiji cha Mangalali kwa ajili ya ujenzi  wa vyumba vya madarasa  shule ya msingi Lukwambe hadi  sasa ni asilimia 90 ya ahadi binafsi za mbunge aliyefariki  zimetekelezwa jimbo la Kalenga na mbunge Mgimwa…
...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani