Ngeleja naye ajitosa, amwaga ahadi
SITTA TUMMA NA JOHN MADUHU, MWANZA
IDADI ya makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) waliotangaza nia ya kuwania urais kupitia chama hicho imefikia 11 baada ya Mbunge wa Sengerema, William Ngeleja naye kujitosa rasmi.
Ngeleja alitangaza nia jana katika ukumbi wa Chuo cha Benki Kuu ya Tanzania (BoT) tawi la Mwanza.
Akionekana kubwana na maswali magumu kutoka kwa waandishi wa habari juu ya tuhuma mbalimbali za ufisadi, Ngeleja aliwaahidi Watanzania neema ya maendeleo yatakayotokana na uchumi wa...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Uhuru Newspaper11 Mar
Magige Nyerere naye ajitosa kuwania urais
NA KHADIJA MUSSA MTOTO mwingine wa Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere, Magige Nyerere, amejitokeza na kuonyesha nia ya kuwania urais katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba, mwaka huu. Magige ni mtoto wa pili wa Mwalimu Nyerere kuonyesha nia ya kuwania uras baada ya hivi karibuni Makongoro Nyerere, kutajwa kuwa ni miongoni mwa watu wanaowania nafasi hiyo. Mke wa Baba wa Taifa, Maria Nyerere amebariki watoto hao kuwania nafasi hiyo na kusema ni raia halali wa Tanzania na...
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-Jz7wHEpRnwU/VlQ-SCLIW7I/AAAAAAADCvQ/6CyJS5Pu5Os/s72-c/nkone.jpg)
Upendo Nkone naye ajitosa Tamasha la Krismasi
![](http://4.bp.blogspot.com/-Jz7wHEpRnwU/VlQ-SCLIW7I/AAAAAAADCvQ/6CyJS5Pu5Os/s400/nkone.jpg)
Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya tamasha hilo, Alex Msama Kamati imefanikisha makubaliano na mwimbaji huyo.Msama alisema Nkone anaungana na wenzake Rose Muhando, Ephraim Sekeleti...
11 years ago
Mwananchi28 Feb
Mwigulu amwaga ahadi kibao Kalenga
10 years ago
Vijimambo04 Mar
Ngeleja ajimaliza Escrow, Adai hajapokea mgawo peke yake, Naye kigogo Ikulu kula kibano leo.
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Ngeleja-04March2015.jpg)
Ngeleja (47), ambaye amewahi pia...
9 years ago
Mwananchi04 Oct
KONA YA MAKENGEZA : Ahadi za nani zitatufikisha kwenye nchi ya ahadi?
10 years ago
Mwananchi20 Oct
Ahadi, ahadi sasa zimetosha kwenye klabu
10 years ago
Mwananchi11 Feb
Ngassa amwaga mboga
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/f5QbJIEIZ4z0WhgNa1*D4BZ1G4*2uS*kf3K30TN2wElkjxKp2ZJ*06pcaDR1mWHhKt0vbcETHVvkdQIn2b*25smtTUTA5l9o/okwi.jpg)
Okwi amwaga chozi akisimulia
10 years ago
Mtanzania05 Mar
Mbasha amwaga machozi mahakamani
Na Veronica Romwald, Dar es Salaam
MWIMBAJI wa muziki wa injili, Emmanuel Mbasha, anayekabiliwa na kesi ya kumbaka mtoto wa miaka 17, jana alitoka kwenye chumba cha Mahakama ya Wilaya ya Ilala akibubujikwa machozi.
Hali hiyo ilimtokea mara baada ya shahidi wa pili wa kesi hiyo, aliyejulikana kwa jina la Suzan, kutoa ushahidi wake.
Kwa kuwa kesi hiyo inasikilizwa kwenye chemba (chumba maalumu ambacho waandishi na watu wasiohusika hawaruhusiwi kuingia) haikuweza kujulikana mara moja ni kitu...