Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwili wa Massawe wafanyiwa upasuaji

HATIMAYE upasuaji wa mwili wa marehemu Elneema Massawe anayedaiwa kuuawa kutokana na kipigo cha polisi umefanyika katika Hospitali ya Taifa Muhimbili kama walivyotaka ndugu wa marehemu. Akizungumza na Tanzania Daima ...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Pacha waliotenganishwa wafanyiwa upasuaji

>Hatimaye mmoja kati ya pacha waliokuwa wameungana kabla ya kutenganishwa kwa upasuaji nchini India, Elikana jana  alifanyiwa upasuaji wa kuziba njia ya muda ya haja kubwa na kutengenezewa ya kudumu katika Hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Mbeya.

 

9 years ago

Michuzi

WATOTO 37 WAFANYIWA UPASUAJI MUHIMBILI

 Kaimu Mkuu wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), Profesa Mohamed Janabi katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) akizungumza na waandishi wa habari leo baada ya taasisi hiyo kufanikiwa kuwafanyia upasuaji watoto 37. Mkuu wa Kitengo cha Moyo cha Watoto katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH), Godwin Shirau akizungumza na waandishi wa habari kuhusu matatizo mbalimbali ya moyo. Waandishi wa vyombo mbalimbali vya habari nchini wakimsikiliza Profesa Mohamed Janabi leo katika...

 

10 years ago

GPL

HATIMAYE MWILI WA ASIHA MADINDA WAFANYIWA UCHUNGUZI KUZIKWA LEO MCHANA

Marehemu Mwanaisha Mohamed Mbegu ‘Aisha Madinda’enzi za uhai wake. Baada ya danadana nyingi, hatimaye mwili wa mnenguaji Aisha Madinda unafanyiwa upasuaji muda huu katika hospitali ya Muhimbili, jijini Dar es Salaam. Akizungumza na mtandao Saluti5, mkurugenzi wa Aset Asha Baraka amebainisha kuwa upasuaji umeanza dakika 10 zilizopita na ni zoezi linalotarajiwa kuchukua masaa mawili. Asha Baraka amesema baada ya zoezi...

 

10 years ago

CloudsFM

HATIMAYE MWILI WA AISHA MADINDA WAFANYIWA UCHUNGUZI KUZIKWA LEO MCHANA

Baada ya danadana nyingi, hatimaye mwili wa mnenguaji Aisha Madinda unafanyiwa upasuaji muda huu katika hospitali ya Muhimbili, jijini Dar es Salaam.
Akizungumza na mtandao Saluti5, mkurugenzi wa Aset Asha Baraka amebainisha kuwa upasuaji umeanza dakika 10 zilizopita na ni zoezi linalotarajiwa kuchukua masaa mawili.

Asha Baraka amesema baada ya zoezi hilo, watauosha mwili wa marehemu katika msikiti ulioko hapo Muhimbili ikiwa ni pamoja na uvishaji wa sanda kabla ya kuelekea nyumbani kwao...

 

10 years ago

GPL

ZITAMBUE VIMBE MBALIMBALI KATIKA MWILI WA MWANAMKE NA JINSI YA KUZIONDOA PASIPO KUFANYA UPASUAJI

Wiki iliyopita tulizitazama aina za vimbe, tuliishia katika kipengele cha pili kilichosema:
Fibroids au Mayoma:Hizi ni vimbe zinazotokea katika mji wa mimba na hizi ndizo vimbe zinazowasumbua watu wengi sana  katika jamii yetu ya sasa, na dalili zake ni kama; Hapa mwanamke hupatwa na maumivu chini ya kitovu lakini ni katikati siyo upande wa kulia wala upande wa kushoto na mara nyingi maumivu haya huambatana na maumivu ya...

 

11 years ago

Michuzi

Origins of the name "Massawe"

Basically Massawe has no meaning, but represent the society of pastoralists, traditional healers, agriculturalists etc. There are different sources, some information explains that Massawe were the legal specialists to Mangi (Chief) and they were experts in environments, particularly on rainfalls.
 As opposed to other developed nations, Tanzania has more that 100 tribes, reflecting an average of the same number of Mother Languages throughout the nation. However, with the influence of Mwalimu...

 

9 years ago

TheCitizen

Widow: How Massawe ‘robbed’ us

The widow of a tanzanite trader who was shot dead in 2011 has told the High Court of how a well-known city businessman Alex Machare, alias Alex Massawe, used forged documents to take over and sell her family’s multi billions shillings property located in an upmarket estate in Dar es Salaam.

 

11 years ago

Tanzania Daima

RC Massawe aipigania BUWASA

MKUU wa Mkoa wa Kagera (RC), Kanali mstaafu Fabian Massawe, amezicharukia taasisi, makampuni na watu binafsi wanaoshindwa kulipa bili za maji katika Mamlaka ya Majisafi na Majitaka ya Manispaa ya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

CCM wamshtaki Massawe kwa JK

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimemshtaki kwa Rais Jakaya Kikwete, Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Kanali Fabian Massawe, kikidai kuwa ndiye chanzo cha mgogoro kati ya Meya wa Manispaa ya Bukoba,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani