WATOTO 37 WAFANYIWA UPASUAJI MUHIMBILI
Kaimu Mkuu wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), Profesa Mohamed Janabi katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) akizungumza na waandishi wa habari leo baada ya taasisi hiyo kufanikiwa kuwafanyia upasuaji watoto 37.
Mkuu wa Kitengo cha Moyo cha Watoto katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH), Godwin Shirau akizungumza na waandishi wa habari kuhusu matatizo mbalimbali ya moyo.
Waandishi wa vyombo mbalimbali vya habari nchini wakimsikiliza Profesa Mohamed Janabi leo katika...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima22 Mar
Mwili wa Massawe wafanyiwa upasuaji
HATIMAYE upasuaji wa mwili wa marehemu Elneema Massawe anayedaiwa kuuawa kutokana na kipigo cha polisi umefanyika katika Hospitali ya Taifa Muhimbili kama walivyotaka ndugu wa marehemu. Akizungumza na Tanzania Daima ...
11 years ago
Mwananchi04 Jul
Pacha waliotenganishwa wafanyiwa upasuaji
11 years ago
BBCSwahili05 Sep
Watoto milioni 120 wafanyiwa ukatili duniani
11 years ago
Habarileo12 Aug
Upasuaji bure ubongo, mishipa ya fahamu Muhimbili
MADAKTARI bingwa wa upasuaji wa ubongo na mishipa ya fahamu, masikio na viungo kutoka nchini Misri wako nchini. Wamekuja kufanya kampeni maalumu ya afya, upasuaji na huduma mbalimbali kwa wagonjwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili na Kitengo cha Mifupa Muhimbili (MOI).
10 years ago
Mtanzania05 Dec
Upasuaji watoto wenye vichwa vikubwa wasuasua

Mtoto mwenye kichwa kikubwa
Hadia Khamis na Mwantum Saadi, Dar es Salaam
TAASISI ya Mifupa na Mishipa ya Fahamu (MOI), imekumbwa na uhaba mkubwa wa vifaa vya upasuaji wa watoto wenye vichwa vikubwa na uti wa mgongo ulio wazi.
Akizungumza katika mahojiano maalumu na MTANZANIA ofisini kwake Dar es Salaam jana, Meneja Ustawi wa taasisi hiyo, Almas Jumaa, alisema kukosekana kwa vifaa hivyo kumesabisha wazazi wengi ambao watoto wao wana matatizo hayo, kushindwa kupata huduma kwa wakati...
10 years ago
Tanzania Daima16 Nov
Watoto 60 wachunguzwa moyo Muhimbili
JUMLA ya watoto 60 wamefanyiwa uchunguzi wa afya ya moyo bure, Madaktari Bingwa wa Hospitali ya Taifa Muhimbili na watakaobainika watapatiwa matibabu. Watoto hao ni wale ambao wazazi wao wanakipato...
5 years ago
BBCSwahili13 Feb
Abigail Chamungwana: Mwanamuziki mwenye umri mdogo aliye na ndoto ya kuwa Daktari bingwa wa upasuaji moyo wa watoto
9 years ago
Michuzi
Muhimbili yapatiwa msaada wa vifaa vya kuokoa maisha ya watoto

Vifaa hivyo vina thamani ya Dola za Kimarekani Laki moja sawa na zaidi Sh milioni 2 vimetolewa na Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF),kwa lengo la kupunguza vifo vya watoto walio chini ya umri wa miaka mitano.
Baadhi ya vifaa vilivyotolewa ni Ventilator, medical, adult –child ,w/access pamoja na Warmer system , newborn,...
9 years ago
MichuziHOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI DAR ES SALAAM WANAWAKE 12 WAPATA WATOTO MKESHA WA KRISMAS
Afisa Muuguzi Msaidizi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili Jijini Dar es Salaam Mwanne Satara akimsaidia kumuelekeza Lulu Mohamed namna ya kumfunika nguo Mtoto aliyezaliwa usiku wa kuamkia Krismas Dar es Salaam ambapo akinamama 12 walipata watoto na Mmoja wa akinamama hao alipata mapacha 2 na kufanya watoto wa kiume kufikia 6 na wakike 7, kati yao akinamama waliofanyiwa upasuaji ni akinamama 10 na kati ya hao watoto njiti 2 na Hospitali ya Temeke akina mama waliojifungua hospitalini hapo...