Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MWIMBA INJILI REBBECA MALOPE ATUA DAR, KUINOGESHA SIKUKUU YA PASAKA LEO

Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya Tamasha la Pasaka, Alex Msama akiupokea ugeni wa Mwimbaji wa Muziki wa Injili kutoka nchini Afrika Kusini, Rebbeca Malope baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar. Mwakilishi wa Msama Promotion, Nyakwesi Mujaya akimvisha skafu Mwimbaji wa Muziki wa Injili kutoka nchini Afrika Kusini, Rebbeca Malope mara alipotua Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MWIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI KUTOKA AFRIKA KUSINI REBECCA MALOPE AWASILI USIKU HUU KUTUMBUIZA KESHO TAMASHA LA PASAKA JIJINI DAR.

 Mwimbaji wa muziki wa injili kutoka nchini Afrika Kusini anayetambulika kwa jina la Rebecca Malope akipungia  mkono mashabiki wake hawapo pichani mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Kambarage Nyerere (JNIA) jioni hii tayari kwa kutumbuiza katika tamasha la miaka 15 ya Tamasha la Pasaka linalofanyika kesho kwenye uwanja wa michezo wa Taifa jijini Dar es salaam, ambapo Solly Mahlangu mwanamuziki nguli mwingine wa muziki wa injili kutoka nchini humo atawasili...

 

11 years ago

Tanzania Daima

REBECCA MALOPE: Malkia wa Injili Afrika, gumzo kwa mashabiki Tamasha la Pasaka 2014

JINA la Rebecca Malope si geni masikioni na machoni mwa wengi, hasa kwa wapenzi, mashabiki na wadau wa muziki wa Injili. Rebecca aliyezaliwa mwaka 1968, yu miongoni mwa waimbaji wa...

 

10 years ago

GPL

MWIMBA INJILI ALIPUKIWA NA BOMU AKIWA DUKANI

Na Makongoro Oging’
Mwimba Injili, Victor Mwailenge (29) ambaye ni mkazi wa Mtaa wa Migombani,Tunduma, Wilaya ya Momba mkoani Mbeya, Machi 17, mwaka huu anadai kukumbwa na majeraha makubwa mkononi yaliyotokana na mlipuko wa bomu lililotupwa na polisi katika vurugu baina ya askari na wananchi. Mwimba Injili, Victor Mwailenge akipatiwa matibabu baada ya kujeruhiwa na bomu. Kijana huyo aliliambia Uwazi juzi katika mahojiano...

 

10 years ago

GPL

MWIMBA INJILI ATEKWA AKISAMBAZA ALBAMU YAKE

Na Mwandishi Wetu/Uwazi
MWIMBA Injili anayekuja kwa kasi Bongo, Elizabeth Ngaiza, Jumamosi iliyopita alijikuta katika wakati mgumu kufuatia watu wasiojulikana kumuweka chini ya ulinzi kwa dakika kadhaa wakitaka awape pesa ndani ya gari aina ya Toyota Vitz (pichani juu). Mwimba Injili anayekuja kwa kasi Bongo, Elizabeth Ngaiza. Kwa mujibu wa Elizabeth mwenyewe, tukio hilo lilijiri Babarara ya Kilwa, Dar maeneo ya Mivinjeni...

 

11 years ago

Michuzi

BAADA YA SHINYANGA,MWANAMUZIKI NYOTA WA INJILI KUTOKA AFRIKA KUSINI REBECCA MALOPE KUTUMBUIZA JIJINI MWANZA LEO



Mwimbaji Mahiri wa muziki wa nyimbo za Kiroho a.k.a Injili,Rose Muhando akiimba wimbo wake mpya wa Facebook na Twitter mbele ya mashabiki wake,katika uwanja wa Kambarage mapema jioni ya leo mkoani Shinyanga,ikiwa ni sehemu ya muendelezo wa tamasha la Pasaka.Tamasha hilo linaloandaliwa na Msama Promotions Ltd  kesho jumapili linaendelea katika uwanja wa CCM Kirumba jijiini Mwanza,ambapo Nyota wa Nyimbo za Injili kutoka nchini Afrika Kusini,Rebecca Malope atawatumbuiza wakazi wa jiji hilo...

 

11 years ago

GPL

WATOTO WALIVYOJIACHIA NA PROFESA CALABASH DAR LIVE SIKUKUU YA PASAKA

Mwanamazingaombwe Profesa Calabash baada ya kumchinja kuku tayari kwa kumpika bila kutumia moto. Profesa Calabash akimnyonyoa kuku kwa ajili ya kumpika bila kutumia moto.…

 

11 years ago

GPL

WATOTO WALIVYOJIACHIA NA PROFESA CALABASH NDANI YA DAR LIVE SIKUKUU YA PASAKA

Watoto wakijiachia kwa burudani mbalimbali ndani ya Dar Live katika Sikukuu ya Pasaka Aprili 20, 2014. Burudani hizo zilikuwa zikiongozwa na Profesa Calabash aliyewaburudisha kwa michezo kibao bila kusahau…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani